Mwanadada mwanariadha Caster Semenya akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa

Mwanadada mwanariadha Caster Semenya akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa

Shemale Ni tranny. Yaani mwanaume aliyejibadilisha kuwa mwanamke. Sasa Chaka kivipi? Au tuambie unavyofahamu wewe au STFU!

Hahaaa hahàaaaa duh ya nini kujivua nguo asubuhi yote hii.......duh aibu
 
Matokeo ya uchunguzi yalimkuta ana uke, na hivyo hana uume, hana mayai ya kike ila ana kokwa za kiume (ambazo hazikuweza kushuka chini kuwa pumbu). Kokwa hizi zinatoa kichocheo cha tetratrone ambayo inampa Caster ujasiri wa kiume kutokea ndani lakini kwa umbile huko chini ni mwanamke hana uume na hakojoi shahawa na hivyo hawezi kutia mimba!!! Nawasilisha!
Aisee!
 
Ni dume tu huyo wahuni wameamua kuuhadaa ulimwengu. yani unaikatalia dunia kwamba wewe sio mwanaume halafu baadae unaoa dada mzundwenye afya yake safi kabisa....dah
Basi mkuu umenichanganya kweli maana nlivyofungua mara ya kwanza nkadhani anayeolewa n huyo mwanamke ambaye ndo mwanariadha sasa nakuja kushangaa comments mara hanauume mara nini aargh ndio ku Google nmeelewa sasa yupi anamzungumziwa
 
Tangu mwanzoni mimi nilikuwa na wasiwasi kama kweli ni mwamke au walidanganya ili apate unfair advantage ya kuwazidi wenzake kwa kuwa na hormone za kiume nyingi na misuli iliyojengeka zaidi.
 
Watoto wazuuri sana hao! Hawa unakamua kisawasawa.
 
Sasa yeye anapiga bao vipi?? Wenzie tunapiga bao 4 kuendelea, kama AZAM
 
Back
Top Bottom