Mwanadada mwanariadha Caster Semenya akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa

Mwanadada mwanariadha Caster Semenya akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa

Msishangae na wala msihuzunike. Haya yote tumeyataka wenyewe. Sasa hivi idadi ya wanawake ni zaidi ya mara mbili ya wanaume. Sasa mnategemea nini kama mmeshindwa kuwaoa kinadada hao? Wameamua wajioe wenyewe.
 
Mlidhani ni mila za wazungu kufanya ujinga huu? Hapana sisi pia ni mabingwa wa kuiga!
 
Ha ha ah haaaa these creatures [emoji23][emoji23][emoji23], anyway wanatuongezea research topics
 
Back
Top Bottom