Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehemu nimeikuta hii taarifa:wanasema alipochekiwa hakukutwa na mayai(ovaries), wala hapati siku zake, na hana uume. asa sijui una tu apply vipi u-bisexual hapo.
du kwel mwisho wa dunia unakaribia...hana penis, nadhani hapo ni mkono tu unatumika, kuna toys pia
ina mana ana two sex organs???Kuna sehemu nimeikuta hii taarifa:
Caster Semenya Gender Results - South African Runner is a Hermaphrodite - BetUS
Kuna post hata kuzifungua unakuwa kama umefanya dhambi kama wao dah wapi dunia hiiAmpe mimba sasa
Anakimbia kundi la wadada, sasa anabeba 'jukumu la wakaka'. Caster! Caster!Oh! God! 🙁🙁🙁
Naam, hivyo ndivyo alivyoumbwa na Munguina mana ana two sex organs???