kama unaijua bible vizuri hiyo Yohana 1:1 haikusemwa na yesu kristo wala hazikunasibishwa naye na mtunzi wa injili kulingana na Yohana.hivyo mistari hiyo si hoja kuonyesha uungu wa Yesu,hasa unapozingatia shaka walizonazo wanazuoni wakristo kuhusu Injili ya nne.Wanazuoni wa Biblia waliotunga THE FIVE GOSPELS( Injili Tano ) wamesema " Sura mbili zilizochorwa na Yohana na waandishi wa Injili tatu nyingine SYNOPTIC GOSPELS, yaan injili ya Mathayo, Marko na Luka) haziwez kuwa zote kwa pamoja ni sahihi kihistoria" MANENO YALIONASIBISHWA NA YESU KATIKA INJILI YA NNE NI KAZI YA MWINJILISTI KWA SEHEMU KUBWA.
Pia neno la kiyunan kwa Mungu liilotumika ktk ibara
naye "neno alikuwa kwa mungu' ni aina ya wazi
hotheos inayomaanisha "Mungu". Hata hivyo ktk ibara ya pili "
naye neno alikuwa mungu" neno la kiyunan lililotumika si aina hiyo ya dhahiri
tontheos, linalomaanisha "mungu" kwa hiyo Yohana1:1 kwa usawa zaid inatakiwa itafsriwe.
Hapo mwanzo kulikuwa na Neno naye Neno alikuawa kwa Mungu .Hivyo ikiwa neno alikuwa kwa Mungu kwa maana yake halisi itamanisha ipo miungu miwili.Hata hivyo ktk lugha ya bible neno "mungu" linatumika kuashiria mamlaka na nguvu.Mfano, Paulo alimuita shetani "mungu" ktk 2 wakorintho 4:4 "
Hao hawaamini sababu yule mungu wa ulimwengu amezitia giza akili zao...."Musa pia ameitwa mungu ktk kutoka 7:1 "
Mungu akamuambia Musa tazama mimi nakufanya kama mungu kwa farao, nae ndugu yako aaron atakuwa nabii wako" tuwasiliane ndugu yangu pengine mimi siijui vizuri biblia basi nifafanulie vizuri ili niijue ipi haki ipi batili. Let us discus bcause DISCUSSION IS AN EXCHANGE OF INTELLIGENCE AND ARGUMENT IS AN EXCHANGE OF IGNORANCE!
achu2488@yahoo.com
Mkuu umejitaid sana kuelezea hii sehemu lakini ukiona bado kuna upinzani wa ulichoandika na fungu ulilochambua jua ushahidi sio huo tu wa kumthibitisha Mungu.
Ngoja tujumuike kwenye hii [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Mtu wa tatu kutoka kizazi cha adam ananeno haya yafuatayo(Enock)
Yuda 1:14-15 " Na Henoko, mtu wa saba baada ya adamu,alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu, 15 ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu,........
[emoji433] [emoji433] [emoji433] [emoji433] Ayubu 19:25-26
Lakini mimi najua ya kuwa mtetezi wangu yu hai, na ya kuwa hatimae atasimama juu ya nchi.
26 Na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi, lakini pasipokuwa na mwili wangu nitamwona Mungu;.
[emoji421] [emoji421] [emoji421] [emoji421] Zaburi 96:11-13
11. Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie, Bahari na ivume na vyote viijazavyo, 12. Mashamba nacyashangilie, na vyote vilivyomo, Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha; 13. Mbele za BWANA, kwa maana anakuja, Kwa maana anakuja aihukumu nchi Atauhukumu ulimwengu kwa haki, Na mataifa kwa uaminifu wake.
[emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381]Isaya 25:9
Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliemngoja atusaidie; Huyu ndie Bwana tuliemngoja, Na tushangilie na kufurahi wokovu wake.
[emoji404] [emoji404] [emoji404] Juu ni mafungu ya agano la kale. Manabii na mitume wakiwa katika subira ya mkombozi na Mungu wa mbinguni, je huyu anaesubiriwa na mitume na manabii ni Kristo????????
Agano jipya linasemaje???
[emoji433] [emoji433] [emoji433] Yon 14:2-3
Msifadhaike miyoyoni mwenu mnamwamini Mungu niaminini na mimk. 2. Nyumbani mwa baba yangj mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali. 3. Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu,; ili mahali nilipo mimi nanyi muwepo.
[emoji421] [emoji421] [emoji421] Math. 25:31-32
Hapo atakapokuja mwana wa adamu katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake; 32. Na mataifa watakusanyika mbele zake ; naye atawabagua kama vile mchungaji abaguavyo kondoo na mbuzi.
[emoji433] [emoji433] Ufunuo 1:7
Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za Dunia wataomboleza kwaajili yake. Naam. Amina.
Tujifunze taratibu tupate maarifa zaidi, dunia tunapita tuwe na staha katika kujifunza.