Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
- Thread starter
- #261
Na lengo la kuleta dini kutawala na si kwamba walikua wazuri sana wa kutaka sisi waafrika tukale bata huko wakoita peponi..thats why wachina leo wako mbali kiuchumi sababu ya misingi iliyowekwa na Mao siku hizo hakutaka kusikia watu wake wanaambiwa habari ya "kwa neema"...yeye aliamini mtu atapata gud tym kwa juhudi zake mwenyewe!!!!alichinja sana wamisionari...!!!
Maendeleo ya China hayana tofauti na Ujerumani ya Hitler,Urusi ya Gorbachev,USA ya sasa,himaya ya Ottoman,Rumi,Babel n.k.Yote hayo yapo kwa sababu maalum na sio unavyodhani wewe!