Mungu amuumbe shetani ye mwenye halafu sisi turithi dhambi?
Sijui.
Ndio hapo theologia inapokuwa muhimu.Kwanza soam universal values+uje katika Sifa za Mungu.Then unaweza pata sense katik tfsiri ya Mungu.
Kwanza Mungu kawapa viumbe wake "freedom" freedom ni issue by itself.Uliza kwa nini serikali nyingi zin asheria kandamizi, au hata wazazi.Hata wewe mwenyewe unaweza kuwa karibu kila siku unailiia serikali iwafungie sijui gazeti gani, cenema gani, sijui uvaaji gani etc. Nadhani umeona shinda.Freedom ni "sacred". Then Mungu kaweka rules, ila pia ili "kuheshimu" uhuru wako na lazima akupe njia ya kuzikataa, hata kama amekuumba yeye na dunia ani yake.Nadhani hilo pi aunadai kwa baba yako(kakuzaa na unakaa katika nyumba yake ila unalilia san auhuu wako)?Shetani alikuwa na huo uhuru akaupiga chini ili akajitegemee kivyake kwa staili ya kuchagua kuwa muasi.Uasi ni kosa.Linahitaji adhabu.Shetani ni mwasi number moja,na ndiye mkazi wa kwanza Jehanum.Hakuna doubt kuwa huyu jamaa yupo.Waafrica wanajua hilo(tunawaona matajiri wa hayo mambo na wana mwisho illussional, tunaona albino wanavyopotezwa).
Halafu katik uhuru wetu tunaanzisha mahusiano na shetani.Nadhani umeona vijana waliotoka home na kuishi gheto na kufanya matendo ya ajabu ajabu huku wakipata hela, wakifanya anasa nyingi, wakipiga miziki na kula unga.Vijana wangapi huyatamani hayo maisha na kujaribu kuwafuata?Na baada ya kuwafuta hukukaribisha katik hiyo life na baadaye kukolea na mwisho kuhama nyumbani?Hivyo ndivyo nasi tumuhasivyo Mungu na kuingia katik mikataba ya bila jijua na shetani.Na kwa vile tulikuwa na mcheche tuliingia mikataba mikubwa sana na hatuwezi lipa.Hapo ndipo Mungu inabidi aonyeshe upendo kam sifa yake ingine, atafute njia ya kututoa.Ila lazima atende haki kwa shetani bila hivyo shetani atamnyooshea vidole na kumlalamiki kwa haki .Kwanini achukue kilicho chake kama keshamfukuza Mbinguni?Kama ni baba inabidi kumtoa mtoto lazima alipe bill za unga na madeni mengine achukue mzigo wake.hapo shetani au hata hao gheto boys lazima wadai zaidi toka kwa kibopa mzee.Kwa issue ya Shetani, Damu ya kondoo haitoshi kwani mara nyingi Binadamu huwa waliahidi dunia na Mbingu(damu za kwao wenyewe, na watoto wao), so hapa patahitaji damu ya binadamu.Imagine mfalme anamwambia mwanaume mroho mwache huyo binti masikini, ila chagua binti mwingine yoyote,halafu mfalme ana mabinti?Halafu fikiria mfalme anakuja gundua kuwa kuna mabinti wengi wapo katik hatari hiyo ya kujikuta wakidaiwa na mwanamme mroho na hivyo kuamua kuweka dili na huyu mroho kuwa atahitaji bei gani kulipwa kwa wote.
Baada ya hapo fikiri atena kuwa pamoja na Mungu kulipa deni la kila mtu bado anahitajika kuhakikisha hawi dicator na hivyo lazima aheshimu uhuru wa watu.Na hivyo katik walillipiwa kuna wengine wanaamua kukataa na kusema watajilipia wenyewe.Na hawa wanafanya kazi maisha yao yote ili kulipa deni kubwa (mwishowe wanashindwa ,wengine wanaamua ingia katik program ya msaada iliyolipiwa).
Kuhusu kurithi shida .hembu fikiria wazee wanavyokula viapo kirahisi kuwa anaapa kwa maisha yake na ya watoto wake?hembu fikiria watu wanavyotakwia lipa madeni ya kidunia aliyokuwa akidaiwa baba yao au hata babu yao.Hembu fikiria binadamu walivyokuwa wakiiuzwa kwa mikataba iliyoweka wazi kuwa kuwa na mtoto ni mali ya mnunuzi,na aliyetumboni akizaliwa ni wa mnunuzi.Sijui kama ulishwahi nunua mbuzi akazaa ukamrudisha mtoto uliponunu mamake?
Well, sitaki uamue kutokana na niliyoandika ila ni njia rahisi ya kukupa picture jinsi gani hayo mambo yanaleta sense zaidi ya unavyofikira.Hapo Mungu anapaswa fiti katika sifa anazostahili ili awe Mkuu kuliko(yaani aweze kila Kitu).Yaani aweze kuwa sehemu zaidi ya Moja kwa muda mmoja, aweze kuwa na maumbile tofauti, awe mwema, awe na huruma, atende haki,aweze sikiliza na kumtendea kil mmoja.aweze umba, aweze angamiza kila kitu(matter and soul),awe mkweli,awe mwaminifu, aweze kujua future, awe na nguvu zote,..vyote hivi vinamfanya asienee katik fikra zetu,na awe msafi kwa kiwango cha juu sana.Na hivyo kumwachia jukumu lingine la kututafuta na kutupa namna ya kumfuata kwa vile hatupo popote na ni dhaifu sana.Na ukisoma Bible utaona Dhambi kubwa ilikuja baada ya Adamu kudai "uhuru wa kuamua na kutumia akili yake mwenyewe kw auelewa wake mwenyewe" wa kufanya mambo yake katik dunia aiyoijua.Huko ndiko alikojikuta ameabudu mungu mwingine zaidi ya MUNGU .Fikiria mtoto anavyolilia kuhama ili kajitegmee ila kichwani anataka uhuru wa kwenda kununua machangu...
Mara nyingi waru wanaodai uhuru kwa nguvu bila kujiandaa hujikuta katika taabu kabla ya kutengamaa na baadaye hizo taabu kuja wasumbua hata wakitengamaa.
Ukritu umechangia sana ukuaji wa maadili ya kimang`aribi katik kutenda haki,kusaidia, kuwa na uimara wa misimamo, na kujismamia, sayansi na mengineyo.