Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!


Na huo ndio ukweli kwani dini wao wameichukulia kama utamaduni flani wakati anaoa au wakati anazikwa lakini asilimia kubwa wapo wapo na wala sio wanaichukulia kivile kama sie kiasi tunabishania dini mpaka misuli ya shingo inajitokeza. Mfano mzuri, huku kwetu kila kitu hata vile ambavyo vipo ndani ya uwezo wetu utasikia mungu hakupenda au nguvu ya shetani. Magonjwa hayaishi tunaugua na tunakufa kwa wingi huku tukiwa na imani kubwa juu ya mungu wetu lakini wenzetu pamoja na kuruhusu ushoga sehemu za kuabudu lakini bado idadi ya vifo vitokanavyo na magonjwa na vichache, sasa kwanini sie inatokea hivi wakati tunajitahidi kumshirikisha mungu katika kila tatizo letu
 
Unahusishaje uzembe wa kufikiri na dini?
 
Unahusishaje uzembe wa kufikiri na dini?

Kwa uzoefu wa watu waliowengi huku uraiani, mtu ameshindwa kufuata kanuni na taratibu mbalimbali na kupelekea kupatwa na matatizo anasingizia shetani huku akijipa moyo kwamba mungu hajampangia kufanikiwa katika kipindi hicho tatizo limetokea wakati si kweli na ndio maana nika-link wenzetu na sie.
 
Nakuelewa sana ndugu ndugu yangu Nyani Ngabu, wewe huwa uko postive sana. Hata hivyo kaa chonjo, nimesikia Bunsen Burner inakuja kuonana na wewe huko! Sijui mtakubaliana nini.
 

Hilo ndo jibu halisi usijiumize kusingizia dini!
 
If the human brain were so simple that we could understand it, we
would be so simple that we couldn't. - Emerson M. Pugh
 
Sitaki kuamini kuwa na wale wanaojisaidia pembeni wakati wanaliona tundu la choo lipo, kuwa nao wametumia 10% ya uwezo wao kufikiri

sometimes huwa inabidi nicheke kama appreciation kwa mtu anayeongea ukweli, kitu acha akili kubwa huku akikiwakilisha so sarcastically....big up
 
Pia uje kuna
-wanaokufa kwa ujinga,
-kuna wanaokufa kwa mahati mbaya.
-kuna wanaokufa kwa kuwawa na wengine.
-Biblia pia inasema yale Mungu wake anasimamia ...watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..
-Pia uje suala la Kufuru lipo ila si watu kulitumia kama kinga baada ya kuupindisha ukweli na kutaka mnyamazisha mwingine.Ni kama makosa mengine ya udhalilishaji katika sheria za kidunia.Tofauti kwamba anayedhalilishwa hapa ni Mungu, ama amoja kwa moja au hata amri zake.
- hata huko ulaya kuna watu wengi tuu wana iamni na familia zao zina vfo kidogo sana vitokanavyo na magonjwa yajayo kwa hali ya hela na ya kushtukiza, na hawafi kizembe kama wauta sigara, walevi waliokubuhu, magonjwa ya ukimwi, etc
Pia ujue kumweka shetani aktik kila kosa kuna makosa pia watu wanafanya wao ila kwa kutojua wanamtaja shetani.Mara nyingin setai anaweza kuwa mwezeshaji, na mara zote ni mshitaki.
 

Nimekupata mkuu
 
Soma kitabu THE VOICE OF KNOWLEDGE by don Miguel Ruiz unaweza kujua kwanini tunatumia tu 10%

Wengine hapa, hatuna access ya kupata na kusoma kitabu hicho ebu mkuu tupia mawili matatu ni kwanini binadamu anatumia 10% tu ya uwezo wake kufikiri.
 
Nazielewa sana hizo verse zina ukweli mkubwa ndani yake

Sent from myself
 
Tuangalie katika positive way hii dunia ingekuwa zaidi ya hapa kimaendeleo

Sent from myself
 
Ukitaka kujua hatutumii uwezo wetu kikamilifu muangalie yule mchizi Nik Wallenda aliyevuka Niagara Falls akitembea juu ya kamba.

Mungu anatumika tu kueleza yale ambayo hatujayaelewa.

We are more than that we can think of ourselves

Sent from myself
 
he he! bado sijaelewa kitu hapo
asilimia 10% ndo inayotumika kama ni asilimia 10% ndo inatumika/imetumika wamegunduaje kuwa mwanadamu anatumia 10 tu kwenye 100 kama hawajazijua hizo 90..? ama ni nadharia tu..?
 
Mkuu umejitaid sana kuelezea hii sehemu lakini ukiona bado kuna upinzani wa ulichoandika na fungu ulilochambua jua ushahidi sio huo tu wa kumthibitisha Mungu.

Ngoja tujumuike kwenye hii [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Mtu wa tatu kutoka kizazi cha adam ananeno haya yafuatayo(Enock)
Yuda 1:14-15 " Na Henoko, mtu wa saba baada ya adamu,alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu, 15 ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu,........

[emoji433] [emoji433] [emoji433] [emoji433] Ayubu 19:25-26
Lakini mimi najua ya kuwa mtetezi wangu yu hai, na ya kuwa hatimae atasimama juu ya nchi.
26 Na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi, lakini pasipokuwa na mwili wangu nitamwona Mungu;.

[emoji421] [emoji421] [emoji421] [emoji421] Zaburi 96:11-13
11. Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie, Bahari na ivume na vyote viijazavyo, 12. Mashamba nacyashangilie, na vyote vilivyomo, Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha; 13. Mbele za BWANA, kwa maana anakuja, Kwa maana anakuja aihukumu nchi Atauhukumu ulimwengu kwa haki, Na mataifa kwa uaminifu wake.

[emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381]Isaya 25:9
Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliemngoja atusaidie; Huyu ndie Bwana tuliemngoja, Na tushangilie na kufurahi wokovu wake.

[emoji404] [emoji404] [emoji404] Juu ni mafungu ya agano la kale. Manabii na mitume wakiwa katika subira ya mkombozi na Mungu wa mbinguni, je huyu anaesubiriwa na mitume na manabii ni Kristo????????

Agano jipya linasemaje???

[emoji433] [emoji433] [emoji433] Yon 14:2-3
Msifadhaike miyoyoni mwenu mnamwamini Mungu niaminini na mimk. 2. Nyumbani mwa baba yangj mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali. 3. Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu,; ili mahali nilipo mimi nanyi muwepo.

[emoji421] [emoji421] [emoji421] Math. 25:31-32
Hapo atakapokuja mwana wa adamu katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake; 32. Na mataifa watakusanyika mbele zake ; naye atawabagua kama vile mchungaji abaguavyo kondoo na mbuzi.

[emoji433] [emoji433] Ufunuo 1:7
Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za Dunia wataomboleza kwaajili yake. Naam. Amina.



Tujifunze taratibu tupate maarifa zaidi, dunia tunapita tuwe na staha katika kujifunza.
 
Tutafute namna ya kutumia uwezo wetu wote ili utusaidie!
Kwenye upande huo kama kuna ukweli na sio sukari imeongezwa mkuu kwanini yeye aligundua hivyo hasiweze kuenhenence iq angalau 6% au ndio hawa freemind wanataka tufikilie kumkosa muumba zaidi ya hapa?
 
Hujanielewesha wewe unaamini mungu yupi unaemtolea maelezo kama hayo ni mungu mwezi yule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…