Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!

Mawazo ya kimasikini hayo.
Kwann usifikirie labda tungetumia akili zetu vizuri tusingekuwa wabinafsi na badala yake tunge-share the true natural love.
 
Yah, God created human and gave him an ability to think. How ever the human is limited, there are some ideas he cannot exploit!

Nani kakuambia uko limited?
What are your limitations?
 
umeifafanua vema mdau
 
Last edited by a moderator:
Eiyer.
Swali langu ni kwanini watu dunia nzima tumetofautiana kuielewa Biblia?

Take your time and think!

nadhani sababu kubwa ni kwamba biblia tofauti na magaazeti, ni kitabu kinacho hitaji kufikiria sana..na ni hapo, kwene "kufikiria" ndipo binadamu tunapotofautiana humu duniani
 
Ukitaka kujua hatutumii uwezo wetu kikamilifu muangalie yule mchizi Nik Wallenda aliyevuka Niagara Falls akitembea juu ya kamba.

Mungu anatumika tu kueleza yale ambayo hatujayaelewa.

Last edited by a moderator:
Ukitaka kujua hatutumii uwezo wetu kikamilifu muangalie yule mchizi 9Nik Wallenda0 aliyevuka Niagara Falls akitembea juu ya kamba.

Mungu anatumika tu kueleza yale ambayo hatujayaelewa.

Upo mkuu?
Mi nilishamuona huyo jamaa.
Vp umewahi kumuona ICE MAN?
Alishakuja kupanda kilimanjaro akiwa kifua wazi, kaptula na viatu vya wazi.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na Kiranga hapo juu.Ndo maana hata Yesu miujiza aliyofanya tunaishangaa,kumbe ule ni ujumbe kuwa yapo mengi sana yanayoweza kufanywa na akili zetu kama tutataka kuzitumia!
 
Kuvuka kwa kamba hiyo Niagra falls mbona na swala la mazoezi tu ya sarakasi? hamna maajabu hapo wachina kila siku wanatembea kwenye kamba hata bongo wapo kibao usifananishe miujiza ya CHRIST na na hayo mazoezi kila mtu anaweza kutembea hapo
 
Kwahiyo mambo aliyoyafanya "CHRIST" aliyafanya kwa kutumia nguvu ya kibinadamu au some powers beyond the human capability?
 
Tiger
He himself is the power above all powers
 
Nani kakuambia uko limited?
What are your limitations?

Limitations mbona ziko nyingi sana???!!! Ni kuwa huzioni au ndio uvivu wa kufikiri (yaani inawezekana hata hiyo 10% wanayosema hujaifikia wewe). Nitakupa mifano miwili mitatu ili upate akili ndio urudi na maswali ya kitoto kama haya.

  1. Hakuna mtu anayeweza kuishi bila oxygen wala maji.
  2. Huwezi kuutoa ubongo wako mwenyewe na kuushika mkononi na kisha kuurudisha katika fuvu.
  3. Huwezi kwenda kasi zaidi ya kasi ya mwanga.
Unaweza kuendelea kutaja limitation nyingi tu. Kwa hiyo uwe unafikiri kwanza kdgo kabla ya kukurupuka.
 
Nakubaliana na Kiranga hapo juu.Ndo maana hata Yesu miujiza aliyofanya tunaishangaa,kumbe ule ni ujumbe kuwa yapo mengi sana yanayoweza kufanywa na akili zetu kama tutataka kuzitumia!
Wewe naye hebu jaribu (hapa nina maana wewe au binadamu mwingine yeyote yule) kufufua mfu tuone. Acheni utani na miujiza ya mitume na manabii. Na tangu lini wewe ndiyo umeanza kuwa mfasiri wa ujumbe wa bwana Yesu (amani iwe kwake).
 
kuna kitu gani muhimu sana ungependa kukifanya ila unakwama kwakuwa huweziishi bila Oxygen?
Wakati unajibu hilo zingatia kuwa kuna watu wanaenda anga za mbali ambako hakuna oxygen na kwakujua hilo watu wakaunda vifaa maalumu.
Kuhusu ubongo,
ungefanikiwa kuushika ubongo wako mkononi ungeufanyaje?
Swali jingine, niambie ungeweza(wewe) kwenda kwa kasi zaidi ya mwanga ungefanya kitu gani muhimu kwa ajili yako au dunia?
Usizungumzie vitu visivyo na tija bana.
 
Wewe si umeuliza limitations? Ulitegemea upate jibu gani?? Halafu unasema vitu havina tija, una maana Oksijeni haina tija au unajaribu kusema kitu gani. Na hao wanaokwenda hizo anga za mbali wanakwenda huko bila Oksijeni??!!!
 
Yaani wewe hata haujui watu wanajadili nini hapa...ama unafanya makusudi kuongea ujinga usiohusiana na jambo lililoko mbele yako.
 
Wewe si umeuliza limitations? Ulitegemea upate jibu gani?? Halafu unasema vitu havina tija, una maana Oksijeni haina tija au unajaribu kusema kitu gani. Na hao wanaokwenda hizo anga za mbali wanakwenda huko bila Oksijeni??!!!

Jiangalie wewe,
sijasema Oxygen haina tija, ila hiyo mifano yako.
Na kama kweli hiyo mifano yako inatija, jibu basi maswali
niliyokuuliza.
 
Wewe si umeuliza limitations? Ulitegemea upate jibu gani?? Halafu unasema vitu havina tija, una maana Oksijeni haina tija au unajaribu kusema kitu gani. Na hao wanaokwenda hizo anga za mbali wanakwenda huko bila Oksijeni??!!!

Angalia unapotea wewe,
sikusema Oxygen haina tija ila mifano yako.
Na kama wewe unaona inatija jibu hayo maswali niliyokuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…