Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!


Ni sawa, uko sawa
 
mjasiria,siwezi kuanzisha mada nyingine inayozungumzia aliyoyafanya Yesu na aliyafanya kwaajili ya nani na kwanini,kama unaweza sema hapa.Uliposema ni jambo rahisi kwa alieumba mtu kumfufua,do u believe Yesu aliumba(i know u don't)Pili,kama unadhani mimi nitaona ajabu wewe ukimfufua mtu,utakua umekosea sana,najua inawezekana uena kwa neno dogo tu,kwa asiejua ni ajabu na haiwezekani!
 
Last edited by a moderator:
Eiyer I believe Yesu alifufua kwa mamlaka ya aliyeumba, so automatically uki-apply transitive theory hapo anayefufua anakuwa yule aliyeumba. Kuhusu wewe kuweza kufufua unaonaje ukifafanua kama kweli ni jambo rahisi (kwa faida yangu na wengine) kuliko kuwa cryptic kama unavyofanya sasa.

Kuhusu suala la kuongelea habari ya Yesu kwa undani, kama nilivyosema mwanzo hapa siwezi kwa sababu itakuwa ni uchakachuzi wa uzi jambo ambalo si zuri kwa kweli.
 
mjasiria,kuna ugumu gani wa wewe kuelewa urahisi wa wewe kumfufua mtu wakati jibu umelitoa mwenyewe?Yesu alivyofanya na wewe unafanya vivyo hivyo.Usiogope ni jambo la kawaida mada kuzaa mada we sema tu kwanini Yesu alifanya aliyofanya na aliyafanya kwaajili ya nani!
 
Last edited by a moderator:
Eiyer suala ni kuwa alichofanya yesu hakufanya kwa maamuzi yake bali kwa maamuzi ya aliyeumba. Kwa maneno mengine ni kuwa sio kwamba kila mtu anaweza kufanya alichofanya Yesu bali ni hadi pale Mungu atakapoamua iwe hivyo na kwa kuwa Mungu haamui hivyo kila siku na kwa mtu yeyote yule ndiyo maana inaitwa miujiza.

Kuhusu mada kuzaa mada ni kuwa huenda wewe huna tatizo sana na hilo lakini mimi suala la kuchakachua nyuzi huwa silipendi na linanikera hivyo hapo utanisamehe. Kama unataka kweli tujadili hiyo hoja, tupia uzi mpya kwani kuna ugumu gani?
 
Last edited by a moderator:

Nipe mfano wa system moja iliyo perfectly efficient at macro level.

Wewe Makanyaga ungekuwa perfectly efficient usingekula wala kunya (ashakum si matusi)

Kunya - the production of waste products- ni mfano wa an inefficient system.

Na hata kama unaongelea the character hapa JF, nayo ishaproduce waste products barazani mara kibao mpaka tumefunga pua zetu hapa πŸ™‚
 
mjasiria,inaonekana labda wewe na mimi tunazungumzia watu wawili tofauti.Nasema hayo kwa sababu ulivyosema aliyofanya Yesu alifanya pale Mungu alipomruhusu na Mungu haamui hivyo mara kwa mara.Kwanza tangu lini umekua msemaji wa Mungu?Pili,Yesu aliwaambia wanafunzi wake "na isha hizi zitafuatana nao waaminio,watanena kwa lugha mpya,watatoa pepo,watawawekea mikono wagonjwa watapata afya.... . . ."sasa hayo unayosema hayawezekani leo sijui ni kwa mujibu wa nani?Kuhusu mada nyingine unaonaje ukiiweka wewe?
 
Last edited by a moderator:
Kiranga u made ma day kwa posti yako hapo juu.Dah angalau nimetabasamu kwa siku ya leo. . . !!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ni wapi nimesema naiamini hiyo 10%?
 

Inawezekana nilisoma post ya mtu mwingine aliyesema, so and so inafanya watu wamuone yesu...
Any way never mind brother.
Kufuatilia posts zilizopita kwa simu(natumia simu) inaboa kidogo.
Hilo swala la Jesus kuwa fictional siwezi kulipinga coz i don't have enough evidence kuthibitisha/kukanusha uwepo wake.
 

πŸ™‚
ha ha haaa!
The last point is awesom.
 

Refer to my first response to you. Kuhusu kuziba pua, uko sahihi. Nina rangi nyingi, and be preapred for more as long as uko tayari kusoma post zangu.
 

Mendel's law: Regardless of the level of mutation, Mbuzi hajaweza kuzaa/kugeuka kuwa Ng'ombe tangu kuumbwa kwa ulimwengu!
The Universe: Regardless of supernovae explosions and other energy exchange Mechanisms, the amount of energy has been constant since its formation, Tatizo nikikueleza hivi utaingia tena kwenye let's say mechanical energy na kuanza ku-argue pale
Tunaelewana lakini kijana, acha taarabu siyo ngazi yako. Civilisation siyo somo linalofundishwa darasani, ila liko hidden ndani ya curriculum kulingana na level ya darasa ulilopo.
 
Hiyo 10% inapimwa kwa vigezo vipi?

Sidhani kama kuna njia maalumu ya kupima na kupata hiyo % zaidi ya makadilio na assumptions.
By the way kuna scientists bado hawakubaliani na swala hilo.
 
Mkuu Eiyer nilikuwa nakula sikukuu kwanza, anyway kama bado uko interested na hii argument tunaweza kuendelea. Naposema Mungu hafanyi hivyo kila siku, well sijui kama unaweza kunipa tukio lolote la kufufuana kabla ya Yesu na baada yake.
 
Last edited by a moderator:

Kwa nini kitendo hicho kisiwe upande wa efficiency? What is the rule? What is the effect to the system in case of its malfunctioning, negative or positive? If positive, whey then the action be associated with inefficiency? Kwa nini isiwe kutokunya ndiyo inefficiency?
 

Mi naomba nichangie hili la "kunya" kidogo.
Ili hilo tendo liwe efficient inabidi mtu akila chakula na akajisaidia basi kwenye hayo mav*i kusiwe na mabaki ya chakula, la sivyo kutakuwa na mapungufu ya kiujendaji.
Je, vipi zile gas(ushuzi) zitokazo huko haziwezi kuwa dalili au causes za inefficiency?
 

Efficient system haina waste product. Waste is not a sign of efficiency. A 100% efficient efficient system would not even need input because it would be self propagating, and that is against the laws of physics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…