Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!

Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!

Of course the conservation of mass/energy forbids the creation / destroying of energy in a closed system.

From the efficiency point
of view there is a loss of energy involved in the change of energy from one form to another.

Maji yakibadilika kwenda barafu inabidi energy itumike, ndo maana friji linatumia umeme.

Mbao ikibadilika kuwa majivu moto unatumika.Energy nyingine ina escape kuwa gases etc. So you cannot contain this process and make it perfect.

This is why you cannot have a self perpetuating machine.

Bado huwezi kuwa na a perfectly efficient system, mtu yeyote mwenye knowledge ndogo tu ya physics anajua hilo.

Ni sawa, uko sawa
 
mjasiria,siwezi kuanzisha mada nyingine inayozungumzia aliyoyafanya Yesu na aliyafanya kwaajili ya nani na kwanini,kama unaweza sema hapa.Uliposema ni jambo rahisi kwa alieumba mtu kumfufua,do u believe Yesu aliumba(i know u don't)Pili,kama unadhani mimi nitaona ajabu wewe ukimfufua mtu,utakua umekosea sana,najua inawezekana uena kwa neno dogo tu,kwa asiejua ni ajabu na haiwezekani!
 
Last edited by a moderator:

Eiyer I believe Yesu alifufua kwa mamlaka ya aliyeumba, so automatically uki-apply transitive theory hapo anayefufua anakuwa yule aliyeumba. Kuhusu wewe kuweza kufufua unaonaje ukifafanua kama kweli ni jambo rahisi (kwa faida yangu na wengine) kuliko kuwa cryptic kama unavyofanya sasa.

Kuhusu suala la kuongelea habari ya Yesu kwa undani, kama nilivyosema mwanzo hapa siwezi kwa sababu itakuwa ni uchakachuzi wa uzi jambo ambalo si zuri kwa kweli.
 
mjasiria,kuna ugumu gani wa wewe kuelewa urahisi wa wewe kumfufua mtu wakati jibu umelitoa mwenyewe?Yesu alivyofanya na wewe unafanya vivyo hivyo.Usiogope ni jambo la kawaida mada kuzaa mada we sema tu kwanini Yesu alifanya aliyofanya na aliyafanya kwaajili ya nani!
 
Last edited by a moderator:
Eiyer suala ni kuwa alichofanya yesu hakufanya kwa maamuzi yake bali kwa maamuzi ya aliyeumba. Kwa maneno mengine ni kuwa sio kwamba kila mtu anaweza kufanya alichofanya Yesu bali ni hadi pale Mungu atakapoamua iwe hivyo na kwa kuwa Mungu haamui hivyo kila siku na kwa mtu yeyote yule ndiyo maana inaitwa miujiza.

Kuhusu mada kuzaa mada ni kuwa huenda wewe huna tatizo sana na hilo lakini mimi suala la kuchakachua nyuzi huwa silipendi na linanikera hivyo hapo utanisamehe. Kama unataka kweli tujadili hiyo hoja, tupia uzi mpya kwani kuna ugumu gani?
 
Last edited by a moderator:
Lakini mimi nimekuwa makanyaga tangu JF ianze mpaka leo. how do you argue about such efficiency? naona kumbe tunaongelea kitu kimoja, wewe uko katika micro, mimi kwenye macro. Samahani kwa kushindwa kukuelewa. However any system is perfectly efficient at macro level!

Nipe mfano wa system moja iliyo perfectly efficient at macro level.

Wewe Makanyaga ungekuwa perfectly efficient usingekula wala kunya (ashakum si matusi)

Kunya - the production of waste products- ni mfano wa an inefficient system.

Na hata kama unaongelea the character hapa JF, nayo ishaproduce waste products barazani mara kibao mpaka tumefunga pua zetu hapa 🙂
 
mjasiria,inaonekana labda wewe na mimi tunazungumzia watu wawili tofauti.Nasema hayo kwa sababu ulivyosema aliyofanya Yesu alifanya pale Mungu alipomruhusu na Mungu haamui hivyo mara kwa mara.Kwanza tangu lini umekua msemaji wa Mungu?Pili,Yesu aliwaambia wanafunzi wake "na isha hizi zitafuatana nao waaminio,watanena kwa lugha mpya,watatoa pepo,watawawekea mikono wagonjwa watapata afya.... . . ."sasa hayo unayosema hayawezekani leo sijui ni kwa mujibu wa nani?Kuhusu mada nyingine unaonaje ukiiweka wewe?
 
Last edited by a moderator:
Kiranga u made ma day kwa posti yako hapo juu.Dah angalau nimetabasamu kwa siku ya leo. . . !!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimetumia theory unayoiamini wewe kukuonesha udhaifu wako. Kwa kifupi ni kuwa nimesema kuwa inawezekana hufikii hiyo 10% assuming kuwa hiyo theory ni fact (of which it is not, lakini kwa kuwa wewe unaikubali well then ngoja tuitumie katika hili).

Natumaini umenisoma mkuu. Tuendelee kuongea hoja zenye msingi, tutafika tu Mungu (hapa ni according to my belief) akipenda

Mkuu ni wapi nimesema naiamini hiyo 10%?
 
Jesus nimemtaja wapi hapo juu?

Umenipa kazi ya kurudia posts zangu zote nitafute wapi nilipomtaja Jesus, sijapaona.

Far from kuwa perfect, kuna wengine wame argue kwamba Jesus never existed at all, he is a fictional character and at best a mish mash of fact and fiction.

Inawezekana nilisoma post ya mtu mwingine aliyesema, so and so inafanya watu wamuone yesu...
Any way never mind brother.
Kufuatilia posts zilizopita kwa simu(natumia simu) inaboa kidogo.
Hilo swala la Jesus kuwa fictional siwezi kulipinga coz i don't have enough evidence kuthibitisha/kukanusha uwepo wake.
 
Nipe mfano wa system moja iliyo perfectly efficient at macro level.

Wewe Makanyaga ungekuwa perfectly efficient usingekula wala kunya (ashakum si matusi)

Kunya - the production of waste products- ni mfano wa an inefficient system.

Na hata kama unaongelea the character hapa JF, nayo ishaproduce waste products barazani mara kibao mpaka tumefunga pua zetu hapa 🙂

🙂
ha ha haaa!
The last point is awesom.
 
Nipe mfano wa system moja iliyo perfectly efficient at macro level.

Wewe Makanyaga ungekuwa perfectly efficient usingekula wala kunya (ashakum si matusi)

Kunya - the production of waste products- ni mfano wa an inefficient system.

Na hata kama unaongelea the character hapa JF, nayo ishaproduce waste products barazani mara kibao mpaka tumefunga pua zetu hapa 🙂

Refer to my first response to you. Kuhusu kuziba pua, uko sahihi. Nina rangi nyingi, and be preapred for more as long as uko tayari kusoma post zangu.
 
Nipe mfano wa system moja iliyo perfectly efficient at macro level.

Wewe Makanyaga ungekuwa perfectly efficient usingekula wala kunya (ashakum si matusi)

Kunya - the production of waste products- ni mfano wa an inefficient system.

Na hata kama unaongelea the character hapa JF, nayo ishaproduce waste products barazani mara kibao mpaka tumefunga pua zetu hapa 🙂

Mendel's law: Regardless of the level of mutation, Mbuzi hajaweza kuzaa/kugeuka kuwa Ng'ombe tangu kuumbwa kwa ulimwengu!
The Universe: Regardless of supernovae explosions and other energy exchange Mechanisms, the amount of energy has been constant since its formation, Tatizo nikikueleza hivi utaingia tena kwenye let's say mechanical energy na kuanza ku-argue pale
Tunaelewana lakini kijana, acha taarabu siyo ngazi yako. Civilisation siyo somo linalofundishwa darasani, ila liko hidden ndani ya curriculum kulingana na level ya darasa ulilopo.
 
mjasiria,inaonekana labda wewe na mimi tunazungumzia watu wawili tofauti.Nasema hayo kwa sababu ulivyosema aliyofanya Yesu alifanya pale Mungu alipomruhusu na Mungu haamui hivyo mara kwa mara.Kwanza tangu lini umekua msemaji wa Mungu?Pili,Yesu aliwaambia wanafunzi wake "na isha hizi zitafuatana nao waaminio,watanena kwa lugha mpya,watatoa pepo,watawawekea mikono wagonjwa watapata afya.... . . ."sasa hayo unayosema hayawezekani leo sijui ni kwa mujibu wa nani?Kuhusu mada nyingine unaonaje ukiiweka wewe?
Mkuu Eiyer nilikuwa nakula sikukuu kwanza, anyway kama bado uko interested na hii argument tunaweza kuendelea. Naposema Mungu hafanyi hivyo kila siku, well sijui kama unaweza kunipa tukio lolote la kufufuana kabla ya Yesu na baada yake.
 
Last edited by a moderator:
Nipe mfano wa system moja iliyo perfectly efficient at macro level.

Wewe Makanyaga ungekuwa perfectly efficient usingekula wala kunya (ashakum si matusi)

Kunya - the production of waste products- ni mfano wa an inefficient system.

Na hata kama unaongelea the character hapa JF, nayo ishaproduce waste products barazani mara kibao mpaka tumefunga pua zetu hapa 🙂

Kwa nini kitendo hicho kisiwe upande wa efficiency? What is the rule? What is the effect to the system in case of its malfunctioning, negative or positive? If positive, whey then the action be associated with inefficiency? Kwa nini isiwe kutokunya ndiyo inefficiency?
 
Mi naomba nichangie hili la "kunya" kidogo.
Ili hilo tendo liwe efficient inabidi mtu akila chakula na akajisaidia basi kwenye hayo mav*i kusiwe na mabaki ya chakula, la sivyo kutakuwa na mapungufu ya kiujendaji.
Je, vipi zile gas(ushuzi) zitokazo huko haziwezi kuwa dalili au causes za inefficiency?
 
Kwa nini kitendo hicho kisiwe upande wa efficiency? What is the rule? What is the effect to the system in case of its malfunctioning, negative or positive? If positive, whey then the action be associated with inefficiency? Kwa nini isiwe kutokunya ndiyo inefficiency?

Efficient system haina waste product. Waste is not a sign of efficiency. A 100% efficient efficient system would not even need input because it would be self propagating, and that is against the laws of physics.
 
Back
Top Bottom