Kwa nini huwezi kuvipuza (kuvipuuza)? Kwani wao hawakosei? Wao wanajua kila kitu?
Ha ha ha mchokozi sana wewe.Unataraji nani ajibu swali hili?Mimi au Tiger ?
Mkuu Tiger,ambae ni mchokozi ni Ngabu bana!
Unataraji nani ajibu swali hili?Mimi au Tiger ?
Kama hawajui,kwanini wanakataa hawakuumbwa?
Hicho ndicho ninachomaanisha.....Wavivu wa kufikiri na kuwajibika always wanajilinda na neno "KUFURU" sababu akishasema kufuru then humpeleki popote hata umfunge nyororo ujue hapo utamnyofoa mwili na mkono wake utabakia kwenye nguzo yake iitwayo KUFURU!!Tufunguke jamani waliotuletea dini wamerelax sisi huku tunakosa usingizi na kuchapana bakora kwa kitu ambacho hukuchagua mwenyewe(tumechaguliwa na wazazi wetu)...kua mkristo,mwislam,mhindu,mbudha n.k hatukua na option yoyote!!! Turelax kwanza then ndo tuzungumze ukweli at the end tutaelewana tu watanzania wenzangu!!!
Kwani wewe unaelewa nini kuhusu kuumba?
This is boring sasa.
We una-introduce kitu halafu unataka mi ndio nije kukitolea maelezo.
Hebu sema kwanza unavyoelewa wewe.
Ulikuwa unalenga nini?
Nilikuuliza maksudi kwa sababu uliamua "kujitoa" akili na kujidai hujui kuumba ni nini!Ok,nenda kasome kitabu cha mwanzo utajua nazungumzia nini,kama huna Biblia unaweza ukagoogle,halafu uniambie una matatizo gani na uumbaji,huelewi wapi mpaka useme ni complex!!
Nilisema hivyo kwakuwa uumbaji wa kwenye bible si sawa na wa kwenye quran, pia sijui budha, hindus na dini nyingine zinasemaje.
Pamoja na hilo kwann tuamini kuwa uumbaji wa kwenye bible ndio standard?
What if evolution theory inzungumzia uumbaji in a different way?
Tiger,biblia na kuran ni vitu viwili tofauti as well as dini nyingine.Kutofautiana huko ni kutokana kuwa dini hizi kutoka vyanzo tofauti.So that kujadili uumbaji ulioko kwenye biblia simaanishi ndo uumbaji ulio sahihi kwa kila mtu ila ndo umbaji ninaouamini!
Well said_kwa akili hii naamini duniani pangekuwa mahali pazuri sana pa kuishi....i.e kusingekua na kujitoa mhanga kuuwa wengine ama kuchukia wengine kwa visingizio vya kuona imani yako ni bora zaidi ya mwingine,...mawazo mazuri sana hayo mkuu
Tiger,biblia na kuran ni vitu viwili tofauti as well as dini nyingine.Kutofautiana huko ni kutokana kuwa dini hizi kutoka vyanzo tofauti.So that kujadili uumbaji ulioko kwenye biblia simaanishi ndo uumbaji ulio sahihi kwa kila mtu ila ndo umbaji ninaouamini!
Yeah_hoja za msingi sana hizo mkuu,...watu tumeaminisha eti habari za bible na quran ndio standard za maisha siku zote,...nasi tumekubali na kubweteka,...utafikiri hakuna dini zingine.