Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!

Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!

Kwa nini huwezi kuvipuza (kuvipuuza)? Kwani wao hawakosei? Wao wanajua kila kitu?

As far as the theory(evolution) is concerned siwezi kupuuza kila kitu kwakuwa mchango wake si haba.
Kumbuka:
hapa nilikuwa naeleza mtazamo wangu "mimi".
 
Mkuu Tiger,ambae ni mchokozi ni Ngabu bana!

Origin of species bado ni swali gumu kwa wanasayansi mpaka sasa,
kwahiyo hata mimi sina jibu la swali husika.
 
Last edited by a moderator:

Kama hawajui,kwanini wanakataa hawakuumbwa?
 
Hicho ndicho ninachomaanisha.....Wavivu wa kufikiri na kuwajibika always wanajilinda na neno "KUFURU" sababu akishasema kufuru then humpeleki popote hata umfunge nyororo ujue hapo utamnyofoa mwili na mkono wake utabakia kwenye nguzo yake iitwayo KUFURU!!Tufunguke jamani waliotuletea dini wamerelax sisi huku tunakosa usingizi na kuchapana bakora kwa kitu ambacho hukuchagua mwenyewe(tumechaguliwa na wazazi wetu)...kua mkristo,mwislam,mhindu,mbudha n.k hatukua na option yoyote!!! Turelax kwanza then ndo tuzungumze ukweli at the end tutaelewana tu watanzania wenzangu!!!

Kweli umenena - hapo kwenye red.
 
Kwani wewe unaelewa nini kuhusu kuumba?

This is boring sasa.
We una-introduce kitu halafu unataka mi ndio nije kukitolea maelezo.
Hebu sema kwanza unavyoelewa wewe.
Ulikuwa unalenga nini?
 
Nilikuuliza maksudi kwa sababu uliamua "kujitoa" akili na kujidai hujui kuumba ni nini!Ok,nenda kasome kitabu cha mwanzo utajua nazungumzia nini,kama huna Biblia unaweza ukagoogle,halafu uniambie una matatizo gani na uumbaji,huelewi wapi mpaka useme ni complex!!
 
Nilisema hivyo kwakuwa uumbaji wa kwenye bible si sawa na wa kwenye quran, pia sijui budha, hindus na dini nyingine zinasemaje.
Pamoja na hilo kwann tuamini kuwa uumbaji wa kwenye bible ndio standard?
What if evolution theory inzungumzia uumbaji in a different way?
 
Yeah_hoja za msingi sana hizo mkuu,...watu tumeaminisha eti habari za bible na quran ndio standard za maisha siku zote,...nasi tumekubali na kubweteka,...utafikiri hakuna dini zingine.
 
Tiger,biblia na kuran ni vitu viwili tofauti as well as dini nyingine.Kutofautiana huko ni kutokana kuwa dini hizi kutoka vyanzo tofauti.So that kujadili uumbaji ulioko kwenye biblia simaanishi ndo uumbaji ulio sahihi kwa kila mtu ila ndo umbaji ninaouamini!
 
Last edited by a moderator:
Yeah_hoja za msingi sana hizo mkuu,...watu tumeaminisha eti habari za bible na quran ndio standard za maisha siku zote,...nasi tumekubali na kubweteka,...utafikiri hakuna dini zingine.

Kila mmoja ana uhuru wa kuamini atakacho!!
 
Tiger,biblia na kuran ni vitu viwili tofauti as well as dini nyingine.Kutofautiana huko ni kutokana kuwa dini hizi kutoka vyanzo tofauti.So that kujadili uumbaji ulioko kwenye biblia simaanishi ndo uumbaji ulio sahihi kwa kila mtu ila ndo umbaji ninaouamini!

Well said_kwa akili hii naamini duniani pangekuwa mahali pazuri sana pa kuishi....i.e kusingekua na kujitoa mhanga kuuwa wengine ama kuchukia wengine kwa visingizio vya kuona imani yako ni bora zaidi ya mwingine,...mawazo mazuri sana hayo mkuu
 
Kweli kabisa,ukiona mtu anakulazimisha uabudu dini yake dini hiyo ni dhaifu na haifai!
 
Tiger,biblia na kuran ni vitu viwili tofauti as well as dini nyingine.Kutofautiana huko ni kutokana kuwa dini hizi kutoka vyanzo tofauti.So that kujadili uumbaji ulioko kwenye biblia simaanishi ndo uumbaji ulio sahihi kwa kila mtu ila ndo umbaji ninaouamini!

Tukiujadili uumbaji wa kwenye bible unayoiamini wewe tutakuwa hatujajadili "uumbaji" bali itakuwa uumbaji kwa mujibu wa bible.
Vipi, unaweza kukubali kuwa uumbaji ni complex concept?
Note:
umeongelea kipengele kimoja tu cha maswali yangu yaliyotangulia
 
Last edited by a moderator:
Yeah_hoja za msingi sana hizo mkuu,...watu tumeaminisha eti habari za bible na quran ndio standard za maisha siku zote,...nasi tumekubali na kubweteka,...utafikiri hakuna dini zingine.

Hizo dini zenyewe zina madhehebu kadhaa kuonesha kuwa even a particular religion haijaeleweka kwa waumini wake.
Sasa mafundisho yepi kati ya hayo yatakuwa sahii?
 
Back
Top Bottom