Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Ndo uzuri wa sayans inaenda kwa evidence
..Africa huenda hayo yalikuwa yanafanyika miaka 400,000 iliyopita; maana mtu wa kale zaidi inasemekana aliishi East Africa miaka 2.4 milioni hadi 1.4 milioni iliyopita. Na ustaarabu, kilimo, sayansi, demokrasia, nk vilianzia Africa.Kikundi cha wanaakiolojia kimesema wamegundua kwamba binadamu walianza kuoka mikate mapema zaidi kabla ya kuanza shughuli za kilimo.
Utafiti uliotolewa kwenye Jarida la PNAS la Marekani unaonesha kuwa wanaakiolojia wamegundua mabaki ya mikate ya kuokwa yenye historia ya miaka 14,400 katika makazi ya kale ya binadamu kaskazini mashariki mwa Jordan
Watafiti kutoka wamegundua kuwa binadamu wa kale walisaga, kuchuja, kukanga na kupika nafaka pori, zikiwemo shayiri na ngano
Wamesema kuoka mikate kwa nafaka pori kuliwahimiza binadamu wa kale kuanza kulima nafaka, na kuleta mapinduzi ya kilimo katika enzi ya zama za mwisho za mawe.
Usiseme binadamu wa kale sema warabu wa kale.Afrika hakukuwa na ngano, imeletwa juzi tuu.Waafrika wa kale walikula wanyama, matunda na asali za poriniKikundi cha wanaakiolojia kimesema wamegundua kwamba binadamu walianza kuoka mikate mapema zaidi kabla ya kuanza shughuli za kilimo.
Utafiti uliotolewa kwenye Jarida la PNAS la Marekani unaonesha kuwa wanaakiolojia wamegundua mabaki ya mikate ya kuokwa yenye historia ya miaka 14,400 katika makazi ya kale ya binadamu kaskazini mashariki mwa Jordan
Watafiti kutoka wamegundua kuwa binadamu wa kale walisaga, kuchuja, kukanga na kupika nafaka pori, zikiwemo shayiri na ngano
Wamesema kuoka mikate kwa nafaka pori kuliwahimiza binadamu wa kale kuanza kulima nafaka, na kuleta mapinduzi ya kilimo katika enzi ya zama za mwisho za mawe.
Si hiyo mikate ya kuokwaEvidence iko wapi?
Si hiyo mikate ya kuokwa
Sasa kwahiyo waarabu wa kale wao siyo wanadamu?Usiseme binadamu wa kale sema warabu wa kale.Afrika hakukuwa na ngano, imeletwa juzi tuu.Waafrika wa kale walikula wanyama, matunda na asali za porini
Kuna kitu kinaitwa carbon14Kihusu miaka wamejuaje maana wote hatukuwepo
Hili hata ukitumia ''ubongo'' bila utafiti wa kisayansi unaweza kuona logic yake. Mtu hawezi kuanza kilimo kabla hajajua manufaa ya kilimo. Hivyo hivyo kwenye ufugaji... Uwindaji ndiyo ulizaa ufugaji. Kwa mfano mtu anakwenda kuwinda kitoweo kinamnogea anafikiri... hivi nikipata ndege wengi kwa nini nisile wachache na wengine niwatengenezee tundu ili kila napotaka kula nisihangaike kwenda kuwinda?
Jifunze kuwa unasoma mpaka mwisho mkuu kabla ya kukomenti..Kama walikua hawalimi walioka nini sasa ,maana umesema kabla ya kilimo ππ π ππ π π π πΆπΆπΆπΆπΆπΆπΆπΆπΆ,chai imejaa majani