Mwanadamu wa kale alioka mikate kabla ya kuanza kilimo

Mwanadamu wa kale alioka mikate kabla ya kuanza kilimo

Sasa kwahiyo waarabu wa kale wao siyo wanadamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kiswahili? Unajumuisha na waafrika kuwa walikula mikate wakati sio kweli.Ukisema wanadamu wa kale unajumuisha wazungu,wachina,waafrika nk.Wangeandika warabu wa kale sio kujumuisha wife wakati wengi hawakula hip mikate.Habari za wazungu unatakiwa uzitafsiri vizuri maana wanapenda kukuza mambo.
 
Back
Top Bottom