stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Mimi nimesoma Chuo na jamàa wanavuta bangi sana, Ila class wapo smart na huwezi kujua huyu anavuta bangi sijui kaungua mdomo sijui mdomo umekua mweusi hakuna, kuna sehemu moja nilikua napiga kazi sasa kipindi hicho mimi ndio nimejoin baada ya siku mbili tatu sina hili wala lile tukawa tunatoka mda wa break tunaenda kupata chakula eeh team yangu yote nikaja kubaini kumbe wanavuta bangi kuanzia team leader mpaka wanawake wale madada du sikuamini macho yangu tena wanawake ndio wanapewa wanyonge msokoto, nikachoka kabisa Ila ukiingia ofisini ni smart sana pamba kali wamechomekea fresh muonekano nadhifu Ila wakimaliza kazi ni mwendo wa bangi tuNa hawa madogo bangi smart pia walikuwa wananyota ya kupendwa sana na mademu ingawaje walikuwa maselective sana,hawali kila demu