MwanaFA anatufundisha nini?

MwanaFA anatufundisha nini?

FA sahv ni level zingine kabisa

Kuna post kama tatu Insta AY alimpost na kum tag ila jamaa haja reply hata moja

Kuanzia pongezi ya

kua naibu waziri

Birthday wishes

Tbt

Ila msi mjudge mh FA ni ubize wa majukumu tuu
Ukiwa busy vp hata mafanikio vp usisahau familia YAKO na washikaji , ndugu, jamaa na marafiki zetu this is a point to NOTE
 
But why kuhangaika na maisha ya mtu ambaye fact zake hazina impact kwenye maisha yako
We juha, huyo ni kioo cha jamii na pia serikali ya CCM imemzawadia madaraka makubwa yenye impact kwenye maisha ya wengi. Ni haki yetu kufahamu weledi wake, shule ulienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom