MwanaFA anatufundisha nini?

Na hawa madogo bangi smart pia walikuwa wananyota ya kupendwa sana na mademu ingawaje walikuwa maselective sana,hawali kila demu
Mimi nimesoma Chuo na jamàa wanavuta bangi sana, Ila class wapo smart na huwezi kujua huyu anavuta bangi sijui kaungua mdomo sijui mdomo umekua mweusi hakuna, kuna sehemu moja nilikua napiga kazi sasa kipindi hicho mimi ndio nimejoin baada ya siku mbili tatu sina hili wala lile tukawa tunatoka mda wa break tunaenda kupata chakula eeh team yangu yote nikaja kubaini kumbe wanavuta bangi kuanzia team leader mpaka wanawake wale madada du sikuamini macho yangu tena wanawake ndio wanapewa wanyonge msokoto, nikachoka kabisa Ila ukiingia ofisini ni smart sana pamba kali wamechomekea fresh muonekano nadhifu Ila wakimaliza kazi ni mwendo wa bangi tu
 
Dah!,hadi mademu
 
Pumbavu huna akili! IFM kasoma Cheti cha IT, then kasoma Diploma ya Bima, then kaenda kusoma UK,Masters ya Finance! Sasa kafikaje Masters wakati hana sifa zakusoma hiyo ndude??

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app

IFM hakusoma Diploma. Bali alisoma Advance Diploma ambayo inachukua miaka mitatu kama degree.

Advance diploma inakupa nafasi ya kusoma Masters bila shida yoyote
 
Vijana wa mziki mna taabu sana, tangu ushoga uingie huko imekuwa balaa

CV ya boss wenu hiyo
View attachment 2564437

Mkuu Mwana FA alisoma Advance Diploma IFM ,Labda ni Typo kwenye web ya bunge! Nilikuwa naenda IFM kumtembelea jamaa yangu alikuwa anasoma naye Advance Dip......Halafu Dip ni mwaka mmoja tu , Advance Dip ni miaka mitatu.(eqvnt 2 Degree)
 
Uwakatae marafiki zako wazamani kisa kugombea ubunge na kushinda, na Kisha kula teuzi, tukumbuke fadhila na tulipotoka.
 
Vijana wa bongo fleva acheni ubishi, nendeni shule mkajifunze tofauti ya diploma na advance diploma.

Kwa utaratibu wa IFM na vyuo vingine vinavyotambulika na TCU muhitimu wa certificate hawezi kujiunga na advance diploma bali atajiunga na diploma.

Msanii mwenzenu elimu yake ni ya hapa na pale, alihitimu cheti hapo IFM na kisha kujiunga na diploma na baadae kuunga unga masters huko nje ya nchi. Elimu yake ni kama mama sa100 tu

Ambayo yeye FA aliifanya makumbusho ya taifa akiwa na njenje
 
Mkuu Mwana FA alisoma Advance Diploma IFM ,Labda ni Typo kwenye web ya bunge! Nilikuwa naenda IFM kumtembelea jamaa yangu alikuwa anasoma naye Advance Dip......Halafu Dip ni mwaka mmoja tu , Advance Dip ni miaka mitatu.(eqvnt 2 Degree)
Kwenye diploma hakuna SUPP? Niamini ndugu nakupa taarifa za jikoni kabisa hapa, au unataka nianike hadi matokeo yake ya semister aliyo supp hadi kujikuta anatumia miaka yote hiyo kuhitimu diploma?
 
Kwenye diploma hakuna SUPP? Niamini ndugu nakupa taarifa za jikoni kabisa hapa, au unataka nianike hadi matokeo yake ya semister aliyo supp hadi kujikuta anatumia miaka yote hiyo kuhitimu diploma?

Mkuu mimi siyo taarifa za kupewa ,mimi nimemuona anasoma IFM na akamaliza...Nilikuwa naenda hadi room kwao.
 
IFM hakusoma Diploma. Bali alisoma Advance Diploma ambayo inachukua miaka mitatu kama degree.

Advance diploma inakupa nafasi ya kusoma Masters bila shida yoyote
Kama alisoma Advanced Diploma hapo sawa! Maana hata mimi nilisoma Advanced Diploma then, after 3 years nikaenda kusoma Masters Degree!

Ila napo uwe na pass nzuri, la sivyo Post Graduate itakuhusu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mimi siyo taarifa za kupewa ,mimi nimemuona anasoma IFM na akamaliza...Nilikuwa naenda hadi room kwao.
Kumuona mtu yuko chuo na kujihakiki na anachosomea ni vitu viwili tofauti. Hatutaki kumdhalilisha Boss wenu hapa, tungeweka matokeo yake ya supp ili uone namna alivyo hangaika kuipata hiyo diploma yake ya Bima hapo IFM.

Wewe hujawahi kusikia habari za watu walioopoa dada poa pale kona bar wakiaminishwa ni mwanachuo wa Ustawi wa jamii kwa kupelekwa hadi hostel za chuo?

Hiyo masters yake ni kama PhD ya Babu tale na Msukuma tu
 
Nimekujibu ulivyosema unazo taarifa za ndani ,sasa mimi nimekujibu mimi siyo kwamba nimepewa taarifa la hasha mimi nimemuona anasoma na akamaliza(Ame graduate) na nilienda kwenye graduation kavaa hadi joho.

Umeulizwa na Asprin imekuwaje akasoma Masters bila kuwa na Degree(Advance Diploma)? Hatupo hapa kubishana mbona "Kantrewedi" aka "wudilendi" ana Phd na wala hatujamdiss ingawa tunatofautiana kimtazamo? Nimekwambia amesoma class moja na mshikaji wangu na mimi nilikuwa nikienda room kwa mshikaji nawakuta na Mwana FA wanfanya discussion ,huyu mshikaji wangu na yeye ana Advance Dip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…