Jackson996 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2019 Posts 773 Reaction score 1,355 Mar 25, 2023 #141 Lexus SUV said: Mke wake ni pisi balaaaaaaaa Click to expand... Picha mkuu
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 May 25, 2024 #142 Vesper-valens said: FA sahv ni level zingine kabisa Kuna post kama tatu Insta AY alimpost na kum tag ila jamaa haja reply hata moja Kuanzia pongezi ya kua naibu waziri Birthday wishes Tbt Ila msi mjudge mh FA ni ubize wa majukumu tuu Click to expand... Ukiwa busy vp hata mafanikio vp usisahau familia YAKO na washikaji , ndugu, jamaa na marafiki zetu this is a point to NOTE
Vesper-valens said: FA sahv ni level zingine kabisa Kuna post kama tatu Insta AY alimpost na kum tag ila jamaa haja reply hata moja Kuanzia pongezi ya kua naibu waziri Birthday wishes Tbt Ila msi mjudge mh FA ni ubize wa majukumu tuu Click to expand... Ukiwa busy vp hata mafanikio vp usisahau familia YAKO na washikaji , ndugu, jamaa na marafiki zetu this is a point to NOTE
Rashidi Jololo JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 1,704 Reaction score 2,858 May 25, 2024 #143 Yoda said: Ubunge wa kupewa Click to expand... Ubunge wa kupewa na Mwendazake, ni kati ya wabunge MAMLUKI ambao hawatarudi bungeni tena. Andikeni hii
Yoda said: Ubunge wa kupewa Click to expand... Ubunge wa kupewa na Mwendazake, ni kati ya wabunge MAMLUKI ambao hawatarudi bungeni tena. Andikeni hii
Rashidi Jololo JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 1,704 Reaction score 2,858 May 25, 2024 #144 kakolaki said: But why kuhangaika na maisha ya mtu ambaye fact zake hazina impact kwenye maisha yako Click to expand... We juha, huyo ni kioo cha jamii na pia serikali ya CCM imemzawadia madaraka makubwa yenye impact kwenye maisha ya wengi. Ni haki yetu kufahamu weledi wake, shule ulienda kusomea ujinga?
kakolaki said: But why kuhangaika na maisha ya mtu ambaye fact zake hazina impact kwenye maisha yako Click to expand... We juha, huyo ni kioo cha jamii na pia serikali ya CCM imemzawadia madaraka makubwa yenye impact kwenye maisha ya wengi. Ni haki yetu kufahamu weledi wake, shule ulienda kusomea ujinga?