Wewe maini ya kuku kweli!!! Show ya The Finest watu tulienjoy zaidi ya ufikiriavyo coz ilikuwa ya kishua sana maana wote waliokuja walikuwa na private transport so show ilifikia malengo

Hv hajampelekea hyo 3m mpaka leo? MwanaFATUMA Noma bwana peleka hela ile kwa mama albert mangweha.
wewe kweli ni masikini wa kipato na fikra leo bongo unajivunia private transport wakati mpk wauza viazi mbalizi wana private transport nowadays. Usafiri sio issue tena Bongo siku hizi hata mapolisi wanajaza parking achilia walimu wa shule za msingi na wachuuzi sokoni. Upeo wako mdogo sana unaongea utafikiri tuko miaka ya 80
Njoo wewe na familia yako niwahudumie ndiyo utatambua mimi ni nani mtoto mzuri.
..................................umeandika wewe lakini aibu nasikia mimi!!!!!!!!
kwani Yahaya unaishi wapi.......
Private transport ndo ilikuwa lengo la show yenu!!!!!!!!!!
we mwenzio nimetamani kujificha ujue!
ahahahhahahah ila bana puraivet transport sio mchezo!
*Yaani ni lazima apeleke pesa alizoahidi kwa kweli maana aliahidi mwenyewe na ikiwezekana afanye kama alivyofanya KALA JEREMIAH kwa kupeleka TUZO kama heshima na pesa kidogo kwa ajili ya MAMA mzazi wa ALBERTHii ilikua ahadi ya MwanaFa kwamba asilimia 15 ya mapato ya shoo yake itaenda kwa mama Albert Mangweha.
Kama target ilikua watazamaji 400 na tukatangaziwa kwamba tiketi zimeisha....
i.e 400 * 50,000=20,000,000
15/100 * 20,000,000 = 3,000,000
*Kama vipi atafutwe kokote pale alipo ili aseme ni lini japo anaugulia maumivu lakini pesa alizoahidi zipelekwe tena King'asti andaa listi ya wataokwenda pia naomba usinisahau jina langu kwenye huu msafara wa kwenda kumpa pole MAMA ALBERTkwani hizi hela tunazisindikiza lini? Nshazishonea sare.