idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Wewe maini ya kuku kweli!!! Show ya The Finest watu tulienjoy zaidi ya ufikiriavyo coz ilikuwa ya kishua sana maana wote waliokuja walikuwa na private transport so show ilifikia malengo
naona unajaribu kupaka rangi upepo.!!!