Mwanafamilia mpya wa JamiiForums

Mwanafamilia mpya wa JamiiForums

Mm Ni mpekukuz Sana Wa mitandao huwa natafutaga ufumbuz Wa maswala mbali mbali haswa ya kibiashara n.k so huwaga naona watu wengi hutatua mambo yao kupitia hii blog so nkaona bora nijiunge
Sawa mtatuzi, ila cheza vizur usitatue marinda.
 
Nimecheka sana, hii speed ya mgeni iko juu sana. Traffic wasiposhughulikia kuna ajali mbele.
 
Back
Top Bottom