Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu kwani ngono ni hitaji muhimu kama ilivyo kwa chakula?Huyu bwana huwa anasema humu na kuwashauri vijana wenzie waikatae taasisi ya ndoa kwamba ni utapeli.
Vijana watapona vipi ikiwa wake hawana?
Atakua na 30 yrsMpaka upepelez uishe atakuwa kaisoma namba na kutaman kurudisha muda nyuma
Kwahiyo unataka kusema chanzo cha kifo ni vumbi la kongo ama??? [emoji38][emoji38]Mbususu ziendelee kuliwa hiyo ni ajali kama ajali zngine kwani basi likipinduka ndo watu waache usafiri?
Je, huko migodini au ni wapi hakuña ajali? Angaliźo ACHENI MATUMIZI YA MADAWA ÝA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
Naskia huwa wanakusumbua sana madamAlikua 4m 5?
Maana hawa ni wasumbufu kweliii.
Hilo dume sio madam, usivamie wazee wa upindeNaskia huwa wanakusumbua sana madam
Upo sahihi kama unaweza kujizuia usiowe na usipige punyeto pia!Sasa mkuu kwani ngono ni hitaji muhimu kama ilivyo kwa chakula?
Mbona inawezekana.
Kwa upande wangu kama unaweza kujizuia KATAA NDOA, kama huwezi OA.
Lakini ukwel ni kwamba kwenye NDOA KUNA CHANGAMOTO LUKUKI.(1 wakorintho 7:28)
Nisijue sana, lakin kwa ninachokiona kwetu mmmmh bora kutokuoa aiseee.Upo sahihi kama unaweza kujizuia usiowe na usipige punyeto pia!
Mimi nipo kwenye ndoa now 10+ yrz unadhani changamoto sizioni?baba zetu baba yako akiwepo hizo changamoto unazoziona wewe leo usiejua ABCs za ndoa wao unadhani hawakuziona?