Mwanafunzi ajaribu kujiua kwa kujikata tumbo baada ya kudaiwa kumuua mwenzake

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake Julias Gervas (26) ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho sababu ikitajwa kuwa wivu wa mapenzi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kubainisha kuwa baada ya Julius kufanya mauaji hayo alijaribu kujiua kwa kujikata tumbo na sasa anapatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa Mkoa wa Dodoma.

Ofisa muuguzi wa hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Ester Ngoloki amesema Septemba 7, 2022 walimpokea Julias akiwa na jeraha la kuchomwa na kitu chenye ncha kali tumboni.

Amesema walimpokea Winfrida akiwa amefariki na mwili wake ukiwa na majeraha ya kitu chenye ncha kali.

“Majeruhi yupo hospitali akiendelea kupatiwa matibabu na anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa upasuaji na mwili wa Winjfrida umechukuliwa na ndugu kwa ajili ya taratibu za familia,” amesema.

Chanzo: Mwananchi
 
Mtiririko wa matukio ya kikatili kwenye mahusiano au ndoa inatokana na wanaume kuacha kile ambacho Mungu alituusia namna ya kuishi na wanawake....na kamwe mwanadamu hawezi kubakia salama kwa kuacha kufuata maelekezo ya aliyemuumba......

Ni mfano wa mashine inayokuja na kitabu Cha maelekezo ya namna ya kuitumia kutoka kwa aliyeitengeneza.......hayo maelekezo hupewi kwa kuwa anakupangia matumizi ya kifaa chako ulichonunua kwa pesa yako bali kwa ajili ya usalama wa hicho kifaa ili kikufae kwa muda mrefu na kwa usalama wako wewe ambaye ni mtumiaji wa hicho kifaa.......

Kuishi kwa akili na wanawake maana yake ni kuwaza na kuyatazama mambo au hali ilivyo mbele yake na kuchukua hatua wakati yeye bado amelala kwenye usingizi wa hisia......

Ndio maana kuna wakati mwanamke kihisia anaweza kukuzuia kwenda kwenye mihangaiko kwa kuwa anahitaji kuwa na wewe kwa kuwa anakupenda lakini wewe kwa kutumia akili yako na kuangalia jukumu lililopo mbele yako kama baba wa familia unaamua kutumia nguvu kumtoka na kwenda kutafuta ridhiki......

Vijana waache kuwaza na kuishi kama wanawake katika ulimwengu wa hisia bali warudi kwenye akili zao na hapo ndipo watakarejewa na fahamu zao na kufanya maamuzi sahihi pasi na kuelemewa na msukumo wa moyo........

Ukiweka hisia pembeni na kutumia akili zako utaona viashiria na muelekeo wa ndoa yako au mahusiano yako na hapo ndipo utakapo lazimika kushindana na msukumo wa moyo wako na kufanya maamuzi sahihi yatakayo kuepusha na majuto kwako na kwa wapendwa wako.........

Word is enough for the wise.....
 
Mimi nadhani sio binadamu wa kawaida ...na miaka yangu hii 23 sijawahi fall in love wala sijawahi mpenda mwanamke yoyote...I see them nothing to me..
Mniombee tu..

Lakin watu mpaka wanauana kisa wivu ? Mimi huwa nishangaa sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sio wew tu , Mimi Nina 25 sijawahi na wala sijui kupenda .lkn mbususu nachakata kama kawaida
 
Mimi mpaka umri huu kupenda huwa sikujui kabisa ila huwa nina tamani tu..na ni miongoni mwa wanaume ambo tukichukua namba ya simu ya mwanamke nakuwa mzito wa kumpigia..nikiwa njiani nikakutana na mwanamke mwenye msambwanda nikijaribu kumuongelesha asiponijibu huwa imetoka hiyoooo...nikimpigia mwanamke asipopokea huwa nafuta namba😂😂.......zaidi ya yote huwa siwezi kumnyenyekea na kumbembeleza mwanamke ili anipende au kwa sababu ya mapenzi yeye aendee...na nikiondoka huwa sigeuki nyuma...wanawake waliojichanganya kunipenda nimeishia kuwaumiza kihisia....mimi ni miongoni mwa watu wasiojari hisia za mwanamke.....

.
 
Mimi nadhani sio binadamu wa kawaida ...na miaka yangu hii 23 sijawahi fall in love wala sijawahi mpenda mwanamke yoyote...I see them nothing to me..
Mniombee tu..

Lakin watu mpaka wanauana kisa wivu ? Mimi huwa nishangaa sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hapa mtaani watu wananishangaa hawajawahi niona na demu
 
Kila jambo na wakati wake.......upendo hukuingia pasi na wewe kujua na hakuna anayepanga amepende nani kwani hakuna funguo za upendo.......Iko siku utakutana na mtu atakaye ushtua moyo wako.......

Haya mambo ni kumuomba tu Mungu atuongoze kwa hekima na atuletee watu wema watakaotufanya tuyafurahie maisha na upendo.....lakini kama kiumbe ambaye bado upo chini ya jua usimalize maneno........
 
Sidhani 30+.....??🤔
 
Kuliko kujikata tumbo bora angejaribu njia hii 👇🐒

images - 2022-09-09T072903.655.jpeg
 
Mimi nadhani sio binadamu wa kawaida ...na miaka yangu hii 23 sijawahi fall in love wala sijawahi mpenda mwanamke yoyote...I see them nothing to me..
Mniombee tu..

Lakin watu mpaka wanauana kisa wivu ? Mimi huwa nishangaa sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ni kweli sio binadamu wa kawaida. Subiri ufike miaka 30 ndo nye*e zitakupanda. Utajarudi humuhumu JF kulia ww mapenzi yamekutesa, ukitafuta ushauri. Wakubwa wako tupo tutakuombea mema.
 
Mimi nadhani sio binadamu wa kawaida ...na miaka yangu hii 23 sijawahi fall in love wala sijawahi mpenda mwanamke yoyote...I see them nothing to me..
Mniombee tu..

Lakin watu mpaka wanauana kisa wivu ? Mimi huwa nishangaa sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Naweka lamination hii comment kuwa makini mdogo wangu utakuja kujinyonga ..kuwa na malengo yako kama kusoma kama unataka kuoa nenda kwenu ni pazuri humo vyuoni ni utapeli tu!
 
Back
Top Bottom