Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Naskia umeme wa majumbani hauui, unakutisha tuu. Hapo angekunywa Azam energy + panadol + sumu ya panya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia umeme wa majumbani hauui, unakutisha tuu. Hapo angekunywa Azam energy + panadol + sumu ya panya.
Huyu kijana anaonekana ni mbovu sana katika suala la elimu kwa vitendoNaskia umeme wa majumbani hauui, unakutisha tuu. Hapo angekunywa Azam energy + panadol + sumu ya panya.
Mapenzi hayana umri.....refer mzee Mengi.....Sidhani 30+.....??🤔
Kwa hiyo alishindwa hata kugoogle njia nyepesi ya kujiua
Wanamtibu ili hakimu akumfunge jela kifungo cha maisha
Mshamba tu huyu!Julius ( 26)View attachment 2350938
Nafikiri adhabu hii ingefaa sana kwa mafisadi serikalini.Watu kama hao wangekuwa wanapewa adhabu ya kurushwa kwenye cage yenye chatu, simba au mamba...
Makazini vilishakuwa vingi ila hawauani physically wanarogana na kuchomeshana ila tunakoenda ht huko watu watakuwa na vipanga vyao kwenye droo za ofisiNinaongelea kitu kimoja kama mtanielewa ni hivi !! Mapenzi yako overrated sana haswa maeneo ya chuoni hata elimu ya chuo sasa watu wako na ushamba wakifika wanajiona ndo wamemaliza Maisha yaani vi miaka 4-5 unajikuta unajua mambo mengi sana...eti kuwa chuo bila ya demu haiwezekani? Vijana kutoka kijijini anafikria ivyo kafika dar anajikuta kamaliza Maisha kabisa!!
Chuo unaweza kuwa uko serious na mambo yako huna kesi na mtu ,kwa mtazamo wangu makazini miaka ijayo visa ya mapenzi vitakuwa vingi mno watu kumalizana maana hao wanafunzi ndo wafanyakazi wa baadae
SharobarooooJulius ( 26)View attachment 2350938
Kazini ni balaa yaani ....kwa kizazi hiki mkuu utoto utakuwa mwingi makazini miaka ijayo itakuja sikia " mkurugenzi kamuua mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi" miaka ijayo hyoMakazini vilishakuwa vingi ila hawauani physically wanarogana na kuchomeshana ila tunakoenda ht huko watu watakuwa na vipanga vyao kwenye droo za ofisi
Shida iko hapa.Kazini ni balaa yaani ....kwa kizazi hiki mkuu utoto utakuwa mwingi makazini miaka ijayo itakuja sikia " mkurugenzi kamuua mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi" miaka ijayo hyo
Exactly hua nashangaa sana inakuajeMimi nadhani sio binadamu wa kawaida ...na miaka yangu hii 23 sijawahi fall in love wala sijawahi mpenda mwanamke yoyote...I see them nothing to me..
Mniombee tu..
Lakin watu mpaka wanauana kisa wivu ? Mimi huwa nishangaa sana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kama analamba nyapu haina shidaWe sio mwanaume
Kuna upepo mbaya wa mauaji umeipitia hii nchi!