Mwanafunzi ajaribu kujiua kwa kujikata tumbo baada ya kudaiwa kumuua mwenzake

KUTOKA NA TUTOTO TWA MIAKA CHINI YA 29, NI KUJITAFUTIA MATATIZO.
KUWA SALAMA KWA KUTOKA NA MAMA ZAO.
UTANISHUKURU BAADAYE
 
Ona sasa!!!

Si niliwaambia! Wana wakaniona chizi.
 
Mtu mpaka anajiua haoni huruma kwa wazazi wake muda na mali walizotumia mpaka yy kufika hapo alaf kisa mapenzi 🙂 mitoto mingine gaddemu kabisa
 
Hawafai,Kuna jamaa yangu aliwapenda Sana wanawake,wakamtenda na juzi hapa amekufa kwa Ngoma
 
Ipo haja ya kuwa na wizara ya mapenzi na ndoa.
 
kizazi cha nyoka yaani hivi vitoto vya juzi tu vikishaota matiti tu na tumatako baaasi kazi ni moja kunyanduana tu hakuna anayesikia la mzazi wala mwalimu , ndio matokeo ya kizazi kilichoshindikana haya , kwakweli kuna jambo la kujifunza sana hapa hasaa kwa wazazi, imekua toomuch, na by the way minyapu ilivyojaa unahangaika nini na kuua mtu kisa utelezi
 
Ukiwa maskini hata miaka 70 utakuwa bado huwezi kupenda. Umaskini ni hatari kwa uhai na maisha ya binadamu, huharibu kila kitu, umaskini ni hatari kuliko kitu chochote kile, fanyeni bidii sana muushinde umaskini.
 
Na hii kutokuwa na mbadala ndiyo inatupoteza wanaume, Kuna muda si kwamba umempenda saaana mwanamke la hasha, sema unakuwa upo na huyo huyo mmoja kiasi unafikiria akiondoka uta struggle kupata mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…