Ingekua umbea je? Hahahah jus kiddin
Au Gwajima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekua umbea je? Hahahah jus kiddin
ndugu yangu udini umekukaa maana kusema tu mmoja raia wa bosnia umeona haitoshi mpaka utaje dini yake eti muislamu wa bosnia hao wengine 5 wa serbia mbona hujataja dini zao.
Sijaelewa kwamba huyo mwanafunzi alisababishaje Vita? na sijaona umemtaja huyo mwanafunzi, au nimesoma vibaya ngoja nirudie si unajua uzee..
Hiyo ndio picha ya mwanafunzi huyo alie tajwa
Kuna wakati yakupasa kufikiri zaidi kabla hujapost,maana yake ni kwamba,ikiwa umegundua udhaifu ktk posting au hoja ya mtoa hoja,kabla hujamfanyia direct attack na judgemental comment,hebu mshauri kwa kumrekebisha lile jambo udhanialo kuwa ni amekosea na umueleze angefanya nini badala yake,hapo hujasaidia pia,theme ya thread si kuonyesha dini au imani za watu bali kukujuza au kukuelimisha tu miongoni mwa sababu kadhaa za hiyo vita na hii pia ilikuwa na ujazo wake.Nikikuuliza unaijua imani yangu utaitaja?
Hivi mtu akisema kwa mfano,kuna mkutano Ulaya Wa wafanyabiashara saba maarufu ulimwengun mmoja Wa wafanyabiashara hao ni mwafrika, kwa mwenye kufikiria sana kuna wakati hahitaji kuhoji kwanini wengine sita hawajatajwa utaifa wao,sio dini tu yako mambo mengi tunajikuta tukiyaexpress kimtindo Wa kiubaguzi Fulani kwa mwenye mawazo ya kibaguzi ingawa kwa Bahati mbaya mwandishi anaweza kuwa hata kidogo hana idea na huo ubaguzi. iko mifano mingi sana,kikubwa ujiondolee hali ya kuhisi kubaguliwa kwa namna yoyote.
Think greatly.
Nimeshaiona hiyo sehemu mkuu.Ila nimejikuta napata maswali mengi kuliko majibu basi tu ngoja nikae kimya.
Asante kwa taarifa.
Tanganyika yetu ilikuwa wapi wakati huo?