Mwanafunzi aliyefeli darasa la Saba anaweza kurudia darasa katika shule ya Serikali nyingine?

kibuzi

Member
Joined
Aug 22, 2021
Posts
21
Reaction score
18
Wakuu habari ya November Nina dogo yuko Dodoma ndani ndani Kijiji kimoja kinaitwa Ibedya amemaliza darasa la Saba amepata wasatani wa 'D'/amefeli naomba nifahamu inawzekana akaja Dar akarudia darasa kwenye shule ya Serikali? Kama inawzekana process zake ziko vipi?



Natanguluza shukrani!
 
Mambo yakurudia darasa LA Saba MBNA Kama yakizamani sana
 
Watu huwa wanawarudisha kwa kutafta majina shule jirani
 
Mtoto wa kike au wa kiume, nikuelekeze pm, Kuna shule wanasaidia watoto wa kike kusoma, wale waliotoka familia duni.
 
Kwanza wewe unaona akili zake zinachaji ila kafeli bahati mbaya? Usiwe unampotezea muda wa kufanya kitu kingine cha maana zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…