Chuo gani kinafundisha ethics za kazi? Chuo gani kinafundisha wanafunzi kushinda kwenye internet? Nadhani hoja yako ni zile zile za kuponda vyuo hasa UDSM. Simple minded!Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi