mwanafunzi aliyemaliza udsm

mwanafunzi aliyemaliza udsm

Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi
Chuo gani kinafundisha ethics za kazi? Chuo gani kinafundisha wanafunzi kushinda kwenye internet? Nadhani hoja yako ni zile zile za kuponda vyuo hasa UDSM. Simple minded!
 
kwa hiyo wewe ethics yako ndo imekutuma kuleta habari za ofisici huku!
 
Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi

ah kweli kwel fulu majungu kwanza huo ni wizu jinsi anavyocheza na internet kwa we mwenyewe hi thread umeiandika masaa ndo ukaipost kwenda huko jinga hilooo
 
Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi[/QUOTE
alimaliza UDSM bado ni mwanafunzi, kwani hapo ofisini kwenu mnafundisha?
 
UDSM imekuwa ya 7 kwa sasa kwa Ubora wa Universities kwa Afrika zikiongozwa na Universities za South Africa.
 
Tumezoea kuwaona wakijisifu kwenye socio-net lakini uwezo wao ni mdogo sana, ni watu wa misifa tu lkn hawana kitu kichwani ndo maana hawaishi kupiga kelele kuwa wao ni bora sana kuliko wanafunzi kutoka vyuo vingine. Kumbuka kama wewe ni bora huhitaji kupiga kelele watu wataona wenyewe uwezo wako.
 
I think this is because of the fall of UDSM rise of other universities as a super power in the county that's why the former degrades the later.
 
mmmmmmmmmhhhhh udsm!!udsm for what purpose please watz we have to discuss important matters not this stupid one coz each university having chance to contribute to the national development either human resources or ushauri so tukifanya hayo tutaendelea udom saut ardhi tumaini and others wake up juzi mmeona udasa walichofanya kuhusu mustakabali wa elimu katika nchi yetu na haya ndo tunanoyahitaji na sio bla bla 2 everyday!
 
Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi

sasa wewe unataka sisi tufanye nini??? kwani hapa kuna mtu ni mwajiri wake?? fanya kazi acha majungu hamchokiii tuu??
 
huyu jamaa naona ana matatizo mm nilifikiri hawezi kazi, angeleta evidence kuwa hawezi kazi tungejadili lkn maneno yake yana lengo la kujaribu kuichafua UDSM baada ya ile post ya jana iliyoonesha udsm ni chuo cha 6 Afrika kwa ubora, roho ilimuuma, mwache apoze maumivu yake, wengine tunazidi kusonga mbele

Well said mkuu!! wana wivu sana hawa watu coz enzi zetu ukikosa nafasi UDSM basi wewe ni kilaza..unafikiri kukalia kimbweta mchezo,kuattend lecture Nkurumah Hall,Theater 1&2 wachache sana tumepata hiyo nafasi..Kuishi hall 2 hali ya hewa km sio dar vile full kiupwe!! hahaa..

Mtajibeba!! apige kazi huyo aache majungu
 
Tumezoea kuwaona wakijisifu kwenye socio-net lakini uwezo wao ni mdogo sana, ni watu wa misifa tu lkn hawana kitu kichwani ndo maana hawaishi kupiga kelele kuwa wao ni bora sana kuliko wanafunzi kutoka vyuo vingine. Kumbuka kama wewe ni bora huhitaji kupiga kelele watu wataona wenyewe uwezo wako.

waone mara ngapi na ilihali ni chuo pekee tz kilichoingia ktika vyuo bora africa? Wivu acheni penye ukweli semeni acheni kujing'atang'ata.
 
Well said mkuu!! wana wivu sana hawa watu coz enzi zetu ukikosa nafasi UDSM basi wewe ni kilaza..unafikiri kukalia kimbweta mchezo,kuattend lecture Nkurumah Hall,Theater 1&2 wachache sana tumepata hiyo nafasi..Kuishi hall 2 hali ya hewa km sio dar vile full kiupwe!! hahaa..

Mtajibeba!! apige kazi huyo aache majungu

pengne hata waliomba udsm wakakosa nafasi , majungu tu
 
Well said mkuu!! wana wivu sana hawa watu coz enzi zetu ukikosa nafasi UDSM basi wewe ni kilaza..unafikiri kukalia kimbweta mchezo,kuattend lecture Nkurumah Hall,Theater 1&2 wachache sana tumepata hiyo nafasi..Kuishi hall 2 hali ya hewa km sio dar vile full kiupwe!! hahaa..

Mtajibeba!! apige kazi huyo aache majungu

mkuu ulitaka kusahau Hall 5 na hall 6.
 
Huku kwenye jukwaa la elimu pumba na majungu ya kuponda vyuo vimezidi .ndio maana huwa sipendi sana kuingia huku kwani utoto ni mwingi sana.

Mleta uzi kaleta pumba moja kubwa sana, kama ambavyo huwa wanafanya wengine ila nimeshangaa sana kuona leo anapondwa .huyu kijana angetajwa kwamba anatoka chuo kingine chochote kile nadhani mleta uzi angeonekana kaleta bonge la hoja na hawa waliomkosoa wala wasingesema waliyosema wangezama kuponda chuo.

Kiukweli hizi mada za ushindani wa vyuo zinatu bore sana watu tunaotumia akili kufikiri.
 
Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi

we ndiyo ujui kitu kwa sababu muda mwingi unatumia kuwachunguza wenzako
 
daah...nimemis sana happy moments pale UD...kweli kila kitu kinapita na mambo yake yanapita...hhaha
 
Tumezoea kuwaona wakijisifu kwenye socio-net lakini uwezo wao ni mdogo sana, ni watu wa misifa tu lkn hawana kitu kichwani ndo maana hawaishi kupiga kelele kuwa wao ni bora sana kuliko wanafunzi kutoka vyuo vingine. Kumbuka kama wewe ni bora huhitaji kupiga kelele watu wataona wenyewe uwezo wako.

Mbona umetanguliza kusema hawana kitu kichwani?
Haya ni maneno yanayoonyesha "a constricted outlook" jaribu kufikiri kwa mapana then utoe komenti!
 
Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi

Unajua unaonekana wewe ndio unashinda mitandaoni kwa sababu ni mhudhuriaji mkubwa wa Jukwaa la siasa....
Jinsi comment zako zilivyo kule unaonesha wewe ndie empty headed na hujui ethics za kazi....sasa pengine umeona mwenzio yuko serious na kazi ukaamua kutokuwa na ethics kabisa kwa kuleta umbea jukwaani hapa....
Nilishawahi kuona chizi pale C1 Bugando akimuita Daktari chizi chizi hilo....so sikushangai!
 
Back
Top Bottom