mwanafunzi aliyemaliza udsm

mwanafunzi aliyemaliza udsm

Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi

kuna kitu inaitwa 'in office training'! ni ujuzi ambao mtu anapewa katika mazingira ya kazi ili ku-sharpen skills zake! huyo mwajiriwa mpya anatakiwa apate hiyo kitu na sio kumtenga na kumsema.
 
Inawezekana huko ofisini hakuna kazi nyingi za kufanya, zingekuwepo sidhani kama angepata muda mwingi wa kufanya hayo.
 
Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi

Ina maana mlimpa ajira bila ya kumfanyia enterview? jambo lingine si kwamba kila mtu anaye hitimu UDSM anakuwa na uwezo wa juu katika kufanya kazi. kwa hivyo hiyo ofisi yenu mjipange kabla ya kutoa hizo ajira.
 
acha majungu,,,,jipange brother,,karibu UDSM
 
Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi

Acha majungu, kwani viongozi hawaoni kuwa hatoi mchango kwa kampuni/taasisi? Wee fanya yako naye afanye yake ya internet. Labda ameajiriwa kufuatia mambo fulani online. Acha manjungu dogo.:A S-confused1:
 
Well said mkuu!! wana wivu sana hawa watu coz enzi zetu ukikosa nafasi UDSM basi wewe ni kilaza..unafikiri kukalia kimbweta mchezo,kuattend lecture Nkurumah Hall,Theater 1&2 wachache sana tumepata hiyo nafasi..Kuishi hall 2 hali ya hewa km sio dar vile full kiupwe!! hahaa..

Mtajibeba!! apige kazi huyo aache majungu
mkuu kwa sie ambao tumesoma udsm sio kwa bahati ni kwa ajili ya akili zetu tumejua mengi na sidhani kama huyu mleta mada yuko makini kwa Ud kozi zinazoogopwa na Vilaza ni Kama Law then Ikifuatiwa na PSPA .watu wote ambao hawakusoma ud ni kwamba hawakuweza kufikia cut off point ndo ziliwalazimisha kwenda vyuo vingine na wasidanganye umma
 
teh teh ana roho ya kwaniniii? hakusoma udsm. pole yake ana inferiority
 
Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi

Wewe pia hujui maadili ya kazi, right ungelijua wala usingekurupuka na kuanzisha uzi hapa, wisely ungemkalisha na kumpa ABC za sheria hizo!
Hujastaraabika kbs, si mzigo kkwa ofisi tu bali hata taifa!
 
Una machungu na UDSM wewe,kila leo mada za kuponda flan UDSM.nafikiri unafanya michezo ya sizitaki mbichi hizi... Ha ha haaa...pole sana!

ukiona hivyo aliipenda usdm lkn walimpiga chin hawakumdahili kwa kua hakua na sifa ya kudahiliwa na udsm!!,kwanza yy mwenyewe amepost hapa saa 3 asubuh tena siku ya kazi,badala ya kufanya kaz anashinda jamii forums!!
 
anaebomoa maendeleo ni yule anaekaa kimya wakati ana uwezo wa kuyakemea na si yule anaebomoa kwa vitendo. U A THE PROBLEM IN THE OFFICE N NOT HIM.
 
chuo cha taifa, unajua kimeshika nafac ya ngapi Africa? pole kwa kusoma chuo cha kata..
 
Mnh!
Elimu yetu mbona unaidhalilisha!!?basi ingekuwa hakuna hata
Umuhimu wa kuwepo kwa vyuo,shule za sek,na advance...na wala wa2 wacngekuwa wana apply schollarship kutoka vyuo mbalimbali..
#think twice uliepost kwa kumkosoa au kumteta huyo kijana wa watu.
 
DEGREE YA PSPA-(POLITICAL SCIENCE & PUBLIC ADMINISTRATION) eti anashindia net badala ya kufanya kazi,hii ni sawa

kwa maana huko ndiko anakotafuta mambo mengi kwa wingi kuliko majungu yako.

Kwa taarifa yako ndani ya miezi mitatu huyo kijana atakuwa smart ajabu kikazi na kama unaanzisha majungu ili kulinda cheo

chako umenoa na ukumbuke kuwa kijana yule kukalia net mara kwa mara ni kukupotezea hadithi zako zisizokuwa na maana.
 
Back
Top Bottom