Charles Elias
Member
- Aug 14, 2012
- 61
- 4
Cku ukipata nafas ya kusoma UDSM,utayaacha hayo majungu yako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi

mkuu kwa sie ambao tumesoma udsm sio kwa bahati ni kwa ajili ya akili zetu tumejua mengi na sidhani kama huyu mleta mada yuko makini kwa Ud kozi zinazoogopwa na Vilaza ni Kama Law then Ikifuatiwa na PSPA .watu wote ambao hawakusoma ud ni kwamba hawakuweza kufikia cut off point ndo ziliwalazimisha kwenda vyuo vingine na wasidanganye ummaWell said mkuu!! wana wivu sana hawa watu coz enzi zetu ukikosa nafasi UDSM basi wewe ni kilaza..unafikiri kukalia kimbweta mchezo,kuattend lecture Nkurumah Hall,Theater 1&2 wachache sana tumepata hiyo nafasi..Kuishi hall 2 hali ya hewa km sio dar vile full kiupwe!! hahaa..
Mtajibeba!! apige kazi huyo aache majungu
Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks huyu mwanafunzi hiyo pspa sijui aliisomaje kiukweli ni mzigo kwenye ofisi
Una machungu na UDSM wewe,kila leo mada za kuponda flan UDSM.nafikiri unafanya michezo ya sizitaki mbichi hizi... Ha ha haaa...pole sana!
Inawezekana huko ofisini hakuna kazi nyingi za kufanya, zingekuwepo sidhani kama angepata muda mwingi wa kufanya hayo.
HA HA Ha UDSM SIKU HIZI PAKAWAIDA SANAA[/QU pa kawaida?labda kama kuna udsm nyingine lakini cio mlimani.see www.finalresorttz.blogspot.com