Kuna clip inatembea mitandaoni ya Esta akikata mauno kwenye mchiriku kwa kweli huyu hakustahili hata kuitwa mwanamfunzi bali kahaba angewaharibu wanafunzi wengine
Mwanafunzi kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Panda hill, Esther Noah (18) amesema chanzo cha kutoroka shuleni ni kunyanyaswa kingono na mwalimu wa shule hiyo anayejulikana kwa jina la mwalimu Jimmy.