DOKEZO Mwanafunzi asimamishwa masomo baada ya kukutwa nyumbani kwa Mwalimu Saa 6 Usiku wakidaiwa kufanya mapenzi, Mwalimu analindwa na mamlaka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mwalimu akimgonga mwanafunzi huwa ni habari kubwa na ya kuvalia njuga,lakini wanafunzi hao hao huku mtaani ni malaya kupindukia na tunaona kawaida.
Waalimu jipoozeni
 
  • Thanks
Reactions: K11
Hili limeshafika sehemu sahihi...litafanyiwa Kazi na hao wanaoficha uovu ni muda wao wa kujitathmini.
 
Ya wezekn mwl alibakw na huyo mwanafunz wa form six

Huku Mozambique hakun kesi za ubakaji kam mtu alifanyia mapenz ndan ya nyumba atakam uko under 18
 
Hapo atokee rc kama makonda achukue hatua papo hapo utaskia watu rc hafuati sheria. Sasa haya kuna walimu hapo tuhuma za miaka na bado wanatizamwa tu. Mungu atuhurumie
 
View attachment 3007666
👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi.

👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni.

👉Mkakati wa kuficha tuhuma kumsaidia mwalimu wabainika- viongozi watajwa kuhusika.

👉Mzazi wa mwanafunzi amaliza siku tatu akifuatilia jeshi la polisi kuchukua hatua.

Wakati serikali na Bunge kwa pamoja wakipiga mbiu ya kukemea vitendo vya udhalilishaji wa wanawake na wasichana kingono, wasichana katika shule za bweni wilayani Kibondo wako katika hatari ya kuacha masomo au kufanya vibaya kwenye masomo kutokana na walimu kuwalazimisha kufanya mapenzi!

Hivi karibuni Mwalimu Peter Mahela kutoka Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mkugwa iliyopo halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma alishikiliwa na jeshi la polisi wilayani humo kwa tuhuma za kuwa na uhusiano wa kimapenzi na baadhi ya wanafunzi shuleni hapo.

Mwalimu huyo alifikishwa polisi mara baada ya kufumaniwa na mwanafunzi (jina linahifadhiwa) wa kidato cha tano majira ya saa sita usiku wa kuamkia tarehe 11 mwezi Mei 2024, akiwa amelala nyumbani kwa mwalimu huyo.

Katika shule hiyo wapo walimu wengine wawili, mwalimu Lamech Chanda na Enock Baraka ambao kwa nyakati tofauti wamekuwa wakituhumiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi ya mara kwa mara na wanafunzi ikiwemo kuwapa ujauzito licha ya vikao vya nidhamu kukaa mara nyingi ila bado tabia hiyo imekuwa sugu shuleni hapo.

Akizungumza na timu ya waandishi wa habari wanaochunguza tukio hilo, mkuu wa shule hiyo Martha Kajoro amesema walimu hao watatu wamekuwa na matukio hayo na kwamba wamekuwa wakileta changamoto za mara kwa mara licha ya kukosekana kwa ushahidi dhabiti.

Ametaja baadhi ya tuhuma kwa walimu hao kwa kipindi cha mwaka 2019 mpaka sasa kuwa mwalimu Peter Mahela anasadikika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi nane, watano wa kidato cha sita na watatu wa kidato cha Tano, mwalimu Lamech Chanda anasadikia kuwa na wanafunzi wanne na mwalimu Enock Baraka kuwa na wanafunzi watatu.

Mkuu wa shule amesema baadhi ya wanafunzi waliokuwa na mahusiano ya kimapenzi na walimu hao walishika ujauzito na kufukuzwa shule huku walimu hao wakiendelea na utumishi.

“Pale ambapo tumekuwa tukihisi kuwa kuna mahusiano ya kimapenzi baina ya mwalimu na mwanafunzi tumekuwa yukiwaonya walimu waliohusika kwa mdomo na kwenye vikao vya nidhamu ili kujaribu kuondoa au kupunguza hali ile sanbamba na kutoa taarifa kwa mamlaka za utumishi na udhibiti ngazi ya wilaya lakini tabia hizo zinaendelea jambo linaloshusha hadhi ya shule" Amesema mkuu wa shule.

Akizungumzia tukio la usiku wa tarehe 10 kuamakia tarehe 11 Mei, 2024 Makamu mkuu wa shule hiyo Mwl. Silas Kaige, anakiri kushuhudia tukio hilo kwakuwa aliamshwa na na askari polisi majira ya saa sita usiku kwenda kugonga mlango kwa mwalimu Mahela ambaye aligongewa mlango na polisi hao bila mafanikio.

“Niliitwa usiku majira ya saa sita ili kumgongea mwalimu Mahela afungu mlango, kwakuwa polisi waligonga kwa zaidi ya nusu saa ila hakufungua, nadhani ni kwasababu waligonga kimya kimya, ila nilipofika mimi na kugonga huku nikitaja jina lake aliamka na kufungua mlango ndipo tuliposhuhudia akiwa na binti na kisha jeshi la polisi wakamuweka chini ya ulinzi kwa kosa hilo” Alisema Kaige.

Alisema baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya polisi na mwalimu Mehala walifikia makubaliano ambayo yeye hakuyafahamu na akaachiwa huru huku mwanafunzi akibaki kituoni.

“Kuna matukio mengi ambayo yamekuwa ni magumu sana, bila busara ya mkuu wa shule wangekuwa wameshafukuzwa shule kwa mfano mwalimu Lamech Chanda alishakutwa na matukio kama hayo, tutamuweka chini na kumuonya, alikataa kwakuwa hatukuwa na ushahidi wa kutosha kwakuwa masula ya mapenzi huwa yanafanyika kwa usiri mkubwa” Alisema Kaige.

Amesema tabia ya walimu hao imekuwa kama mazoea na kwamba hawaheshimu tena mamlaka za shule na idara ya elimu wilayani kwakuwa wamekuwa wakiongea mara nyingi hata kwa kutumia mamlaka za juu akiwemo mkurugenzi ila bado waliendelea na tabia hizo.

Mwalimu Kaige ametaja kukosekana kwa uzio katika shule hiyo kama sababu ya baadhi ya wanafunzi kwenda kwenye nyumba za walimu na kuiomba serikali kuwajengea.

Juhudi za kumpata kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma ili kueleza hatua zinazochukuliwa dhidi ya uhalifu huo hazikufanikiwa kutokana na RPC kutopatikana, hata hivyo imeelezwa kuwa jeshi la polisi linamsaka mwalimu Mahela ambaye alitoweka muda mfupi baada ya kukamatwa na askari polisi wa kituo kidogo cha Mkugwa

Mwanafunzi huyo ambaye kwa sasa anahifadhiwa kwa siri nyumbani kwa afisa ustawi ambaye pia anatuhumiwa kuwa sehemu ya mkakati wa kuficha siri hiyo, anakiri kufanya mapenzi na mwalimu wake na kwamba alikubali kufanya hivyo baada ya kutongozwa sana huku kukiwepo na ushawishi wa wanafunzi wenzake kumhimiza akubali kitendo hicho ili asibughudhiwe kwenye masomo yake.

"Nilienda kwa mwalimu wakati wanafunzi wenzangu wakiwe Prepo, na tukafanya mapenzi na mwalimu na hatukutumia kinga, ilikuwa mara yangu ya kwanza kwenda kwake, ninaomba nisamehewe, sitarudia tena kufanya kitendo hicho," anasema mwanafunzi huyo kutoka mkoani Geita anayesoma katika shule ya sekondari ya wasichana Mkugwa wilayani Kibondo.

Aidha mzazi wa mwanafunzi amekiri kupeleka mashataka hayo kituo cha polisi Kibondo ambako anataja kupewa ahadi ya kulishughulikia jambo hilo na kumrejesha mtoto katika masomo yake.

Hata hivyo anaeleza kuwa hakufurahishwa na kitendo cha mwanaye kushikiriwa na Jeshi la Polisi na kusimamishwa masomo wakati mwalimu akiachwa bila hatua za haraka, huku akiweka msimamo wa kutokubali mwanae kukosa elimu.
Hapo hakuna mkuu wa shule wala police
 
Kuna vitu hua sivielewi kabisa form 4/5/6 si nimtu mzima anaejitambua anaejua kua hilo nikosa wanashindwaje kwenda wasemea kwa mkuu wa nidhamu km na wao hawapendi huo mchezo,mapenzi ni makibaliano ya pande mbili sasa hapa wazazi,wanafunzi,walimu lazima waamke hii kitu inawabeba sn wanafunzi lkn kiuhalisia anauwezo mkubwa wakuamua km hilo sijambo jema.
Sikwamba nashabikia matendo ya walimu but what students do nimakubaliano km amembaka hapo nitamuelewa lkn mtotowakike amekubali and she is ready to do that.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Wanafunzi wenyewe wamevurugwa sijui ata ni nini shida wakuu sasa walimu ndo wapo nao close kila siku si mtihani huo mana sisi wa mtaani tu tunajaribiwa na hivi visichna una kiangalia kinavojipitisha na kujichekesha basi unajisemea kimoyo kimoyo hiki kitanipa nini ilihali hakina hata simu kubwa basi nacheka tu 😀😀😀
 
Ajabu sana, mwanafunzi ndie ameendelea kushikiliwa kituo cha polisi, huku mwalimu akiachiwa huru, polisi sijui huwa wanatumia akili gani kwenye mambo yao.
Hii nchi imeoza, matatizo ya hii nchi ni makubwa kuliko watu tunavyoweza kufikiri.

Wapo watu wanajifanyia mambo vile wanapenda na hakuna wa kuwafanya chochote.
 
Kazi ya laana, hao ni kufukuza kazi na kupewa ukilema kidogo
 
Kuna vitu hua sivielewi kabisa form 4/5/6 si nimtu mzima anaejitambua anaejua kua hilo nikosa wanashindwaje kwenda wasemea kwa mkuu wa nidhamu km na wao hawapendi huo mchezo,mapenzi ni makibaliano ya pande mbili sasa hapa wazazi,wanafunzi,walimu lazima waamke hii kitu inawabeba sn wanafunzi lkn kiuhalisia anauwezo mkubwa wakuamua km hilo sijambo jema.
Sikwamba nashabikia matendo ya walimu but what students do nimakubaliano km amembaka hapo nitamuelewa lkn mtotowakike amekubali and she is ready to do that.
Kuna watu wananyanyaswa kingono hadi vyuoni na ni wakubwa kabisa, unashindwa kuelewa faida ya elimu kwao ni ipi.
 
Huko makazini kuna mengi...tafakarini kabla hamjaanza kuwalaumu!!
 
Mambo mengine ni ya kutengenezwa.....nimeshuhudia mtu kutengenezewa zengwe mpaka daktari akahongwa kuthibitisha kwamba mtu kabakwa jamaa yupo ndani........ila malipo ni hapa hapa duniani waliomtengenezea uzushi wanateseka sana na mambo mbalimbali magonjwa, ajali, ufukara vifo n.k....na yule daktari kwa sasa yupo sober house ni teja na anakiri uovu alioufanya na anaweweseka kama chizi,,,,,,,
Al badeer.
 
Nilienda kwa mwalimu wakati wanafunzi wenzangu wakiwe Prepo, na tukafanya mapenzi na mwalimu na hatukutumia kinga, ilikuwa mara yangu ya kwanza kwenda kwake, ninaomba nisamehewe, sitarudia tena kufanya kitendo hicho,"
Tunapambana na nature, kamwe hatutafanikiwa. Maturity ya kingono kwa msichana ni pale anapovunja ungo (anapobalehe), wala siyo miaka 18.

Balehe ikishafika msichana huwa na kiu kali sana ya kutaka kuchakatwa. Kumzuia msichana huyu ili asichakatwe ni ukatili wa hali ya juu sana.

Ifike mahali Sasa tuziangalie upya sheria zetu
 
View attachment 3007666
👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi.

👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni.

👉Mkakati wa kuficha tuhuma kumsaidia mwalimu wabainika- viongozi watajwa kuhusika.

👉Mzazi wa mwanafunzi amaliza siku tatu akifuatilia jeshi la polisi kuchukua hatua.

Wakati serikali na Bunge kwa pamoja wakipiga mbiu ya kukemea vitendo vya udhalilishaji wa wanawake na wasichana kingono, wasichana katika shule za bweni wilayani Kibondo wako katika hatari ya kuacha masomo au kufanya vibaya kwenye masomo kutokana na walimu kuwalazimisha kufanya mapenzi!

Hivi karibuni Mwalimu Peter Mahela kutoka Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mkugwa iliyopo halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma alishikiliwa na jeshi la polisi wilayani humo kwa tuhuma za kuwa na uhusiano wa kimapenzi na baadhi ya wanafunzi shuleni hapo.

Mwalimu huyo alifikishwa polisi mara baada ya kufumaniwa na mwanafunzi (jina linahifadhiwa) wa kidato cha tano majira ya saa sita usiku wa kuamkia tarehe 11 mwezi Mei 2024, akiwa amelala nyumbani kwa mwalimu huyo.

Katika shule hiyo wapo walimu wengine wawili, mwalimu Lamech Chanda na Enock Baraka ambao kwa nyakati tofauti wamekuwa wakituhumiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi ya mara kwa mara na wanafunzi ikiwemo kuwapa ujauzito licha ya vikao vya nidhamu kukaa mara nyingi ila bado tabia hiyo imekuwa sugu shuleni hapo.

Akizungumza na timu ya waandishi wa habari wanaochunguza tukio hilo, mkuu wa shule hiyo Martha Kajoro amesema walimu hao watatu wamekuwa na matukio hayo na kwamba wamekuwa wakileta changamoto za mara kwa mara licha ya kukosekana kwa ushahidi dhabiti.

Ametaja baadhi ya tuhuma kwa walimu hao kwa kipindi cha mwaka 2019 mpaka sasa kuwa mwalimu Peter Mahela anasadikika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi nane, watano wa kidato cha sita na watatu wa kidato cha Tano, mwalimu Lamech Chanda anasadikia kuwa na wanafunzi wanne na mwalimu Enock Baraka kuwa na wanafunzi watatu.

Mkuu wa shule amesema baadhi ya wanafunzi waliokuwa na mahusiano ya kimapenzi na walimu hao walishika ujauzito na kufukuzwa shule huku walimu hao wakiendelea na utumishi.

“Pale ambapo tumekuwa tukihisi kuwa kuna mahusiano ya kimapenzi baina ya mwalimu na mwanafunzi tumekuwa yukiwaonya walimu waliohusika kwa mdomo na kwenye vikao vya nidhamu ili kujaribu kuondoa au kupunguza hali ile sanbamba na kutoa taarifa kwa mamlaka za utumishi na udhibiti ngazi ya wilaya lakini tabia hizo zinaendelea jambo linaloshusha hadhi ya shule" Amesema mkuu wa shule.

Akizungumzia tukio la usiku wa tarehe 10 kuamakia tarehe 11 Mei, 2024 Makamu mkuu wa shule hiyo Mwl. Silas Kaige, anakiri kushuhudia tukio hilo kwakuwa aliamshwa na na askari polisi majira ya saa sita usiku kwenda kugonga mlango kwa mwalimu Mahela ambaye aligongewa mlango na polisi hao bila mafanikio.

“Niliitwa usiku majira ya saa sita ili kumgongea mwalimu Mahela afungu mlango, kwakuwa polisi waligonga kwa zaidi ya nusu saa ila hakufungua, nadhani ni kwasababu waligonga kimya kimya, ila nilipofika mimi na kugonga huku nikitaja jina lake aliamka na kufungua mlango ndipo tuliposhuhudia akiwa na binti na kisha jeshi la polisi wakamuweka chini ya ulinzi kwa kosa hilo” Alisema Kaige.

Alisema baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya polisi na mwalimu Mehala walifikia makubaliano ambayo yeye hakuyafahamu na akaachiwa huru huku mwanafunzi akibaki kituoni.

“Kuna matukio mengi ambayo yamekuwa ni magumu sana, bila busara ya mkuu wa shule wangekuwa wameshafukuzwa shule kwa mfano mwalimu Lamech Chanda alishakutwa na matukio kama hayo, tutamuweka chini na kumuonya, alikataa kwakuwa hatukuwa na ushahidi wa kutosha kwakuwa masula ya mapenzi huwa yanafanyika kwa usiri mkubwa” Alisema Kaige.

Amesema tabia ya walimu hao imekuwa kama mazoea na kwamba hawaheshimu tena mamlaka za shule na idara ya elimu wilayani kwakuwa wamekuwa wakiongea mara nyingi hata kwa kutumia mamlaka za juu akiwemo mkurugenzi ila bado waliendelea na tabia hizo.

Mwalimu Kaige ametaja kukosekana kwa uzio katika shule hiyo kama sababu ya baadhi ya wanafunzi kwenda kwenye nyumba za walimu na kuiomba serikali kuwajengea.

Juhudi za kumpata kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma ili kueleza hatua zinazochukuliwa dhidi ya uhalifu huo hazikufanikiwa kutokana na RPC kutopatikana, hata hivyo imeelezwa kuwa jeshi la polisi linamsaka mwalimu Mahela ambaye alitoweka muda mfupi baada ya kukamatwa na askari polisi wa kituo kidogo cha Mkugwa

Mwanafunzi huyo ambaye kwa sasa anahifadhiwa kwa siri nyumbani kwa afisa ustawi ambaye pia anatuhumiwa kuwa sehemu ya mkakati wa kuficha siri hiyo, anakiri kufanya mapenzi na mwalimu wake na kwamba alikubali kufanya hivyo baada ya kutongozwa sana huku kukiwepo na ushawishi wa wanafunzi wenzake kumhimiza akubali kitendo hicho ili asibughudhiwe kwenye masomo yake.

"Nilienda kwa mwalimu wakati wanafunzi wenzangu wakiwe Prepo, na tukafanya mapenzi na mwalimu na hatukutumia kinga, ilikuwa mara yangu ya kwanza kwenda kwake, ninaomba nisamehewe, sitarudia tena kufanya kitendo hicho," anasema mwanafunzi huyo kutoka mkoani Geita anayesoma katika shule ya sekondari ya wasichana Mkugwa wilayani Kibondo.

Aidha mzazi wa mwanafunzi amekiri kupeleka mashataka hayo kituo cha polisi Kibondo ambako anataja kupewa ahadi ya kulishughulikia jambo hilo na kumrejesha mtoto katika masomo yake.

Hata hivyo anaeleza kuwa hakufurahishwa na kitendo cha mwanaye kushikiriwa na Jeshi la Polisi na kusimamishwa masomo wakati mwalimu akiachwa bila hatua za haraka, huku akiweka msimamo wa kutokubali mwanae kukosa elimu.
Kwani shida ni mwanafunzi kudinywa na mwalim au mwanafunzi kudinywa?
So huyo studee hakuwahi kudinywa kakutwa bikra?

Huyo mzaz asipoteze pesa zake amkazanie mwanafunzi ili afaulu la sivyo atakosa vyote haki na kufaulu kwa mtoto wake

Walimu tunawachukulia kama malaika? Wanafunzi wenyewe maadili mabovu wanamitego yao na kujitongozesha kwa walimu
 
Kama sheria haifanyi kazi basi mzazi kama ushahidi unao na umejiridhisha basi isaidie kwa haya mambo madogo madogo.
Mwanao kafukuzwa shule, na ticha bado anadunda, nenda umkate mikono huyo ticha nae atulie home kama mwanao.
 
View attachment 3007666
👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi.

👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni.

👉Mkakati wa kuficha tuhuma kumsaidia mwalimu wabainika- viongozi watajwa kuhusika.

👉Mzazi wa mwanafunzi amaliza siku tatu akifuatilia jeshi la polisi kuchukua hatua.

Wakati serikali na Bunge kwa pamoja wakipiga mbiu ya kukemea vitendo vya udhalilishaji wa wanawake na wasichana kingono, wasichana katika shule za bweni wilayani Kibondo wako katika hatari ya kuacha masomo au kufanya vibaya kwenye masomo kutokana na walimu kuwalazimisha kufanya mapenzi!

Hivi karibuni Mwalimu Peter Mahela kutoka Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mkugwa iliyopo halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma alishikiliwa na jeshi la polisi wilayani humo kwa tuhuma za kuwa na uhusiano wa kimapenzi na baadhi ya wanafunzi shuleni hapo.

Mwalimu huyo alifikishwa polisi mara baada ya kufumaniwa na mwanafunzi (jina linahifadhiwa) wa kidato cha tano majira ya saa sita usiku wa kuamkia tarehe 11 mwezi Mei 2024, akiwa amelala nyumbani kwa mwalimu huyo.

Katika shule hiyo wapo walimu wengine wawili, mwalimu Lamech Chanda na Enock Baraka ambao kwa nyakati tofauti wamekuwa wakituhumiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi ya mara kwa mara na wanafunzi ikiwemo kuwapa ujauzito licha ya vikao vya nidhamu kukaa mara nyingi ila bado tabia hiyo imekuwa sugu shuleni hapo.

Akizungumza na timu ya waandishi wa habari wanaochunguza tukio hilo, mkuu wa shule hiyo Martha Kajoro amesema walimu hao watatu wamekuwa na matukio hayo na kwamba wamekuwa wakileta changamoto za mara kwa mara licha ya kukosekana kwa ushahidi dhabiti.

Ametaja baadhi ya tuhuma kwa walimu hao kwa kipindi cha mwaka 2019 mpaka sasa kuwa mwalimu Peter Mahela anasadikika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi nane, watano wa kidato cha sita na watatu wa kidato cha Tano, mwalimu Lamech Chanda anasadikia kuwa na wanafunzi wanne na mwalimu Enock Baraka kuwa na wanafunzi watatu.

Mkuu wa shule amesema baadhi ya wanafunzi waliokuwa na mahusiano ya kimapenzi na walimu hao walishika ujauzito na kufukuzwa shule huku walimu hao wakiendelea na utumishi.

“Pale ambapo tumekuwa tukihisi kuwa kuna mahusiano ya kimapenzi baina ya mwalimu na mwanafunzi tumekuwa yukiwaonya walimu waliohusika kwa mdomo na kwenye vikao vya nidhamu ili kujaribu kuondoa au kupunguza hali ile sanbamba na kutoa taarifa kwa mamlaka za utumishi na udhibiti ngazi ya wilaya lakini tabia hizo zinaendelea jambo linaloshusha hadhi ya shule" Amesema mkuu wa shule.

Akizungumzia tukio la usiku wa tarehe 10 kuamakia tarehe 11 Mei, 2024 Makamu mkuu wa shule hiyo Mwl. Silas Kaige, anakiri kushuhudia tukio hilo kwakuwa aliamshwa na na askari polisi majira ya saa sita usiku kwenda kugonga mlango kwa mwalimu Mahela ambaye aligongewa mlango na polisi hao bila mafanikio.

“Niliitwa usiku majira ya saa sita ili kumgongea mwalimu Mahela afungu mlango, kwakuwa polisi waligonga kwa zaidi ya nusu saa ila hakufungua, nadhani ni kwasababu waligonga kimya kimya, ila nilipofika mimi na kugonga huku nikitaja jina lake aliamka na kufungua mlango ndipo tuliposhuhudia akiwa na binti na kisha jeshi la polisi wakamuweka chini ya ulinzi kwa kosa hilo” Alisema Kaige.

Alisema baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya polisi na mwalimu Mehala walifikia makubaliano ambayo yeye hakuyafahamu na akaachiwa huru huku mwanafunzi akibaki kituoni.

“Kuna matukio mengi ambayo yamekuwa ni magumu sana, bila busara ya mkuu wa shule wangekuwa wameshafukuzwa shule kwa mfano mwalimu Lamech Chanda alishakutwa na matukio kama hayo, tutamuweka chini na kumuonya, alikataa kwakuwa hatukuwa na ushahidi wa kutosha kwakuwa masula ya mapenzi huwa yanafanyika kwa usiri mkubwa” Alisema Kaige.

Amesema tabia ya walimu hao imekuwa kama mazoea na kwamba hawaheshimu tena mamlaka za shule na idara ya elimu wilayani kwakuwa wamekuwa wakiongea mara nyingi hata kwa kutumia mamlaka za juu akiwemo mkurugenzi ila bado waliendelea na tabia hizo.

Mwalimu Kaige ametaja kukosekana kwa uzio katika shule hiyo kama sababu ya baadhi ya wanafunzi kwenda kwenye nyumba za walimu na kuiomba serikali kuwajengea.

Juhudi za kumpata kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma ili kueleza hatua zinazochukuliwa dhidi ya uhalifu huo hazikufanikiwa kutokana na RPC kutopatikana, hata hivyo imeelezwa kuwa jeshi la polisi linamsaka mwalimu Mahela ambaye alitoweka muda mfupi baada ya kukamatwa na askari polisi wa kituo kidogo cha Mkugwa

Mwanafunzi huyo ambaye kwa sasa anahifadhiwa kwa siri nyumbani kwa afisa ustawi ambaye pia anatuhumiwa kuwa sehemu ya mkakati wa kuficha siri hiyo, anakiri kufanya mapenzi na mwalimu wake na kwamba alikubali kufanya hivyo baada ya kutongozwa sana huku kukiwepo na ushawishi wa wanafunzi wenzake kumhimiza akubali kitendo hicho ili asibughudhiwe kwenye masomo yake.

"Nilienda kwa mwalimu wakati wanafunzi wenzangu wakiwe Prepo, na tukafanya mapenzi na mwalimu na hatukutumia kinga, ilikuwa mara yangu ya kwanza kwenda kwake, ninaomba nisamehewe, sitarudia tena kufanya kitendo hicho," anasema mwanafunzi huyo kutoka mkoani Geita anayesoma katika shule ya sekondari ya wasichana Mkugwa wilayani Kibondo.

Aidha mzazi wa mwanafunzi amekiri kupeleka mashataka hayo kituo cha polisi Kibondo ambako anataja kupewa ahadi ya kulishughulikia jambo hilo na kumrejesha mtoto katika masomo yake.

Hata hivyo anaeleza kuwa hakufurahishwa na kitendo cha mwanaye kushikiriwa na Jeshi la Polisi na kusimamishwa masomo wakati mwalimu akiachwa bila hatua za haraka, huku akiweka msimamo wa kutokubali mwanae kukosa elimu.
Mkitaka haya yote yaishe zingatieni yafuatayo....

1. Zaeni Watoto wenye Akili ili wasiwe Chambo kwa Walimu kwani hakuna Mwalimu anayetongoza Mwanafunzi Mwerevu.

2. Serikali ikazane sana na Vita dhidi ya Umasikini kwani hakuna Mwanafunzi wa Kike atokaye katika Familia Masikini akihongwa Pesa na Mwalimu atakataa na hatovua Chupi ili Kukazwa.

3. Elimu ya Maadili itiliwe Mkazo si tu kwa Walimu bali hata kwa Wanafunzi.

4. Waambieni Wanafunzi wenu wa Kike waache tabia zao za Kimakusudi za Kuwatega Walimu ili wapate mteremko wa Kitaaluma Shuleni.

5. Elimu zaidi iwekwe kwa Wanafunzi wa Kike kuhakikisha kuwa hata kama wanapenda Kukazwa ( kutokana Nyege zao Kupanda ) kama nami pia nipendavyo Kukaza Kunakotukuka basi wawe ama wanaenda Kwanza kupima na hao Walimu au walazimishe Kinga ziwe zinatumika.

6. Walimu wa Kike wa Shule za Tanzania waache kuwa Wachoyo wa Kukazwa na Walimu wa Kiume kwani kitendo hiki cha Woo kuwa Wachoyo wa Mbunye zao husababisha Walimu wa Kiume kutafuta mbadala na mbadala wa haaka na wenye Urahisi wa Kitonga ni wa Kutongoza Wanafunzi wa Kike wa hizo Shule zao.

7. Wazazi jiahidini mnapozaa basi mzae Watoto wa Kike wabaya ( wenye Sura mbaya ) na Maumbo mabaya ( yasiyo na Mvuto ) kwani hakuna Mwanaume rijali na mwenye Hisia na Damu inayozunguka 24/7 akiona Binti ( Mwanafunzi ) Mrembo ama asidindishe Mnara wake wa Babeli au asitake Kumbandua / Kumkaza.

Halafu kutokana na Maelezo hapa mbona kama vile naona huyu Mwalimu Mkuu wa Kike ana Bifu au Hasira fulani na Wana?
 
Ajabu sana, mwanafunzi ndie ameendelea kushikiliwa kituo cha polisi, huku mwalimu akiachiwa huru, polisi sijui huwa wanatumia akili gani kwenye mambo yao.
kwani fomu ya kujiunga polisi hapa tanzania ulisoma vizuri ?
 
Mkitaka haya yote yaishe zingatieni yafuatayo....

1. Zaeni Watoto wenye Akili ili wasiwe Chambo kwa Walimu kwani hakuna Mwalimu anayetongoza Mwanafunzi Mwerevu.

2. Serikali ikazane sana na Vita dhidi ya Umasikini kwani hakuna Mwanafunzi wa Kike atokaye katika Familia Masikini akihongwa Pesa na Mwalimu atakataa na hatovua Chupi ili Kukazwa.

3. Elimu ya Maadili itiliwe Mkazo si tu kwa Walimu bali hata kwa Wanafunzi.

4. Waambieni Wanafunzi wenu wa Kike waache tabia zao za Kimakusudi za Kuwatega Walimu ili wapate mteremko wa Kitaaluma Shuleni.

5. Elimu zaidi iwekwe kwa Wanafunzi wa Kike kuhakikisha kuwa hata kama wanapenda Kukazwa ( kutokana Nyege zao Kupanda ) kama nami pia nipendavyo Kukaza Kunakotukuka basi wawe ama wanaenda Kwanza kupima na hao Walimu au walazimishe Kinga ziwe zinatumika.

6. Walimu wa Kike wa Shule za Tanzania waache kuwa Wachoyo wa Kukazwa na Walimu wa Kiume kwani kitendo hiki cha Woo kuwa Wachoyo wa Mbunye zao husababisha Walimu wa Kiume kutafuta mbadala na mbadala wa haaka na wenye Urahisi wa Kitonga ni wa Kutongoza Wanafunzi wa Kike wa hizo Shule zao.

7. Wazazi jiahidini mnapozaa basi mzae Watoto wa Kike wabaya ( wenye Sura mbaya ) na Maumbo mabaya ( yasiyo na Mvuto ) kwani hakuna Mwanaume rijali na mwenye Hisia na Damu inayozunguka 24/7 akiona Binti ( Mwanafunzi ) Mrembo ama asidindishe Mnara wake wa Babeli au asitake Kumbandua / Kumkaza.

Halafu kutokana na Maelezo hapa mbona kama vile naona huyu Mwalimu Mkuu wa Kike ana Bifu au Hasira fulani na Wana?
we jamaa unaongea pumba sana.alafu usikute hata familia ujawai kuwa nayo
 
Back
Top Bottom