Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Seminary gani isiyokuwa na fimbo..Mbona seminary hakuna viboko na watoto wana nidhamu ya hali ya juu, hivi viwaliku vya kidigitali ni wapuzi sana wanahisi mtoto hafundisiki bila viboko wewe umesikia wapi, shule bora ni zile zinazofundisha nidhamu kww approach mbalimbali, mwanngu yupo shule ambayo hawatumii viboko bali wana njia za kumkuza mtoto maadili, na mwanangu tangu aanze pale amekua anafaulu na adabu nidhamu za hali ya juu,
Wana ukakasi sana watu wanamna hii, sijui ni akili za wapi hizi eti mtoto achapwe mpaka avujie damu ndiyo furaha ya hawa watu wa hivi ni upuzi sana,Hizo sheria za shule zinakuruhusu kupiga wanafunzi marungu na kuwadhalilisha?
Hebu nenda ukawapasue Kichwa tuone kama utabaki salama.lazima wafunzwe adabu akiwa jeuri ni kumpasua kichwa..
Nadhani hili ndio la kuzungumziwa....na sio Mayai tu,,,, hata Nidhamu hawana kabisa......Nyie waalimu watoto wa siku hizi wapo kama mayai shauri zenu wapeni adhabu kwa kiasi
Mtoto akileta jeuri ajue kunajeuri zaidi yake.Hizo sheria za shule zinakuruhusu kupiga wanafunzi marungu na kuwadhalilisha?
Bakora muhimu.Kuna adhabu za kuwapa watoto na sio mabakora. Ndio maana tunaonekana manyani meusi yasiyo na akili.
Mpe jembe akalime/afyeke/asafishe vyoo vya shule/apige magoti aite mvua mpaka wenzake wakitoka darasani/apewe suspension/alazimishwe asome vitabu kadhaa na aviandikie muhtasar la sivyo anafukuzwa shule n.k nk. mpe adhabu za kumjenga na sio kudhalilisha utu wake.
Unataka ufike wapi wewe, umfikishe wapi mtoto uliemchapa na kumtengezea uoga, nani kasema mtoto anajifunza kwa kuchapwa zaidi ya kumtengezea uoga tu, takwimu zipo angalia shule nyingi zenye utaratibu wa kutotumia fimbo kuwafunza watoto ona zilivyo na ufaulu mkubwa, ona zinavyozalisha viongozi bora, huna akili wewe huwezi ukafurahia mtoto kupigwa na kuumizwa kwa kiasi hichi wewe sio mzima utakua na mental disorder, shule zenye kuwajenga watoto kinidhamu kwa njia nzuri zinaufaulu mkubwa sana, ni watoto wanagapi unakuta hataki kwenda shule akiogopa fimbo sasa mnataka watoto wakae nyumbani wasisome kisa viboko nyie kweli mazuzuS
Sheria, kanuni na taratibu za shule yoyote ile hapa Tz zinazuia mwanfunzi kuwa na simu kibaya zaidi simu anaitumia muda wa masomo. Mkuu acha kutetea ujinga basi.
mwalimu awe nakazi za kufundisha na kufatilia matumizi ya simu kwa mwanafunzi, tutafika kweli?
Sikubaliani na swala la mwanafunzi kutumia simu muda wa masomo..huyo mwanafunzi akiingia kwenye kumi zangu ataisoma namba.
Shule ni nidhamu bila nidhamu eti kila mwanafunzi ajiamulie aishi anavyoweza hatuwezi kufika.
Shule za mission hapa bongo wanatumia viboko? usinidanganye maana nimesoma huko naelewa nidhamu iliyopo huko, msikariri msiwe mnaongozwa na hisia za hovyoBakora muhimu.
Huko mambele wanakotuona manyani meusi wana high demage of social morals and values.
Bakora muhimu ila zisizidi kipimo inakuwa unyanyasaji
Sijui hata unaelewa ulichokiandika mwenyewe.Shule za mission hapa bongo wanatumia viboko usinidanganye maana nimesoma huko naelewa nidhamu iliyopo huko, msikariri msiwe mnaongozwa na hisia za hovyo
Lakini pia kuna Watoto wangapi ambao wanawahi shule kwa kuwa wanaogopa wakichelewa Watachapwa bakora,,,,Wanagapi hawapigi kelele darasani wakiogopa Bakora,,, Wangapi wanasoma kwa bidii wakiogopa kupigwa bakora endapo watafeli,,,,na wangapi uoga wa Bakora umewafanya wawe na Nidhamu.....???ni watoto wanagapi unakuta hataki kwenda shule akiogopa fimbo sasa mnataka watoto wakae nyumbani wasisome kisa viboko nyie kweli mazuzu
Hahahaa... wewe ni mwalimu mshenzi tu.Mtoto akileta jeuri ajue kunajeuri zaidi yake.
Hakuna mwl mwenye akili zake wakumfakamia mwanafunzi fimbo nyingi kama huyo mtoto hana kiburi, dharau na upumbavu.
Dawa ya hawa ni kuwagonga stiki mpaka anaenda kukandwa nyumbani.
Wakija wazazi wake nao wakileta upumbavu piga hata makofi.
Seminary gani isiyokuwa na fimbo..
Utakuwa na matatizo wewe
Kipindi nafundisha nipo TP, kunamwanafunzi alikuwa jeuri shuleni kisa baba yake ana pesa. Niliwai kumshughulikia mpaka kesho baba yake ananishukuru kumshape mwanae.. hii ni vile najiamini na kuamini kile nakifanya kwa mhusika mwenyewe. Na ninapo fanya hivyo nafanya peke yangu ili hiyo serikali au mzazi tukutane on peak.Hebu nenda ukawapasue Kichwa tuone kama utabaki salama.
Haha. Utanyooshwa.
We jifariji tu hapa.
Tuujenge huu mjadala kwa manufaa ya kuelewa sio kuweka ligi, swali ni hivi, hivi hakuna adhabu zingine pasipo bakora maana umesema bakora bakora ndiyo inawafanya wasipige kelele darasani, wasichelewe darasani nakataa kuwa adhabu lazima iwe hivyo tu,we kupiga mtoto wa mtu akufie utasma nini? Mfano wa adhabu kuna kufyeka nyasi za shule, kulima, kufyatua tofali, kufukuza, kufagia mabanda ya mifugo nk zipo adhabu nyingi ambazo ni salama na zinye onyo, fimbo zinatengeza kizazi dhaifu sana muwe na ufahamu juu ya hiloLakini pia kuna Watoto wangapi ambao wanawahi shule kwa kuwa wanaogopa wakichelewa Watachapwa bakora,,,,Wanagapi hawapigi kelele darasani wakiogopa Bakora,,, Wangapi wanasoma kwa bidii wakiogopa kupigwa bakora endapo watafeli,,,,na wangapi uoga wa Bakora umewafanya wawe na Nidhamu.....???
Mkuu hawa Watoto wetu wa kiswahili malezi yao bila Bakora ni kutengeneza kizazi cha hovyo sana.....
Usipowachapa Mzazi,,,, Basi Wakikua ULIMWENGU utawachapa....in a Hard Way
Kumbe wewe ni mwalimu ndiyo maana[emoji1787][emoji1787]Kipindi nafundisha nipo TP, kunamwanafunzi alikuwa jeuri shuleni kisa baba yake ana pesa. Niliwai kumshughulikia mpaka kesho baba yake ananishukuru kumshape mwanae.. hii ni vile najiamini na kuamini kile nakifanya kwa mhusika mwenyewe. Na ninapo fanya hivyo nafanya peke yangu ili hiyo serikali au mzazi tukutane on peak.
Kuna wanafunzi piga ua bila fimbo hawaendi ila wapo baadhi ni onyo na makalipio wengine ushauri tu wanabadilika na kukuelewa.
Kila mwanafunzi anapata kile anacho stahili. Naongea vitu nilivyowai kuvishudia.
Kuna malezi tofauti ya watoto kwenye familia ambayo huleta tabia mbaya au nzuri kwa watoto.
Shule lazima sheria na taratibu zifuatwe kuondoa matabaka hayo ya tabia.
Kwa imani yangu kabisa inapofika mwanafunzi anamiliki simu au kutumia simu darasni huyo hayupo makini nini matokeo yake kama sio kuwashawishi wenzie, kupiga picha, kurekodi, n.k
Fimbo ni mwalimu tosha...ngozi nyeusi bila fimbo hatufiki.
Ikishindikana fukuza shule akakae na wazazi wake
Akili mbovu hao wameshachanganyikiwa na mishahara duni.Tuujenge huu mjadala kwa manufaa ya kuelewa sio kuweka ligi, swali ni hivi, hivi hakuna adhabu zingine pasipo bakora maana umesema bakora bakora ndiyo inawafanya wasipige kelele darasani, wasichelewe darasani nakataa kuwa adhabu lazima iwe hivyo tu,we kupiga mtoto wa mtu akufie utasma nini? Mfano wa adhabu kuna kufyeka nyasi za shule, kulima, kufyatua tofali, kufukuza, kufagia mabanda ya mifugo nk zipo adhabu nyingi ambazo ni salama na zinye onyo, fimbo zinatengeza kizazi dhaifu sana muwe na ufahamu juu ya hilo
Fimbo ni miongoni mwa adhabu..Wewe ndiyo una matatizo ya akili unaongea kwa kuropoka kama toto jinga, huna unalolijua, mimi nimesoma seminary nakuelezea kitu ambacho nina uzoefu nacho, nakupa mfano tu kuna tukio lilifanywa na wanafunzi shuleni na tuliambiwa tutajane ili aliefanya uovu huo afukuzwe seminary ilicukua muda sana kutajana maana tunajua ukimtaja mwenzio shule hana, seminary nyingi wanafukuza sana hawataki kulea ujinga kwa kuwa wanakuza MAPADRI , umekosea unakwenda, sasa baada ya kushindwa kumtaja tukambiwa tusali rozari tumepiga magoti usiku mpaka asubuhi zoezi likwa gumu ilipofika saa nane usiku watu wakatajwa na kesho yake walifukuzwa bila hata kuchapwa fimbo moja, mtoto kakushindwa fukuza wewe hizo akili za kupiga ni za kikoloni na ni za kiovu sana na kumtengeza mtoto muoga na kuvunja ujasiri wake wakijaribu kuwa bora katika jamii na hatajiamini kamwe, huwezi kuelewa kwa kuwa huna knowledge kubwa