Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Mbona seminary hakuna viboko na watoto wana nidhamu ya hali ya juu, hivi viwaliku vya kidigitali ni wapuzi sana wanahisi mtoto hafundisiki bila viboko wewe umesikia wapi, shule bora ni zile zinazofundisha nidhamu kww approach mbalimbali, mwanngu yupo shule ambayo hawatumii viboko bali wana njia za kumkuza mtoto maadili, na mwanangu tangu aanze pale amekua anafaulu na adabu nidhamu za hali ya juu,
Seminary gani isiyokuwa na fimbo..
Utakuwa na matatizo wewe
 
Nyie waalimu watoto wa siku hizi wapo kama mayai shauri zenu wapeni adhabu kwa kiasi
Nadhani hili ndio la kuzungumziwa....na sio Mayai tu,,,, hata Nidhamu hawana kabisa......

Na kupitia hii dhana ya Umayai imefanya Walimu waachane nao,,,,na kutengeneza kizazi cha ajabu kweli....
 
Hizo sheria za shule zinakuruhusu kupiga wanafunzi marungu na kuwadhalilisha?
Mtoto akileta jeuri ajue kunajeuri zaidi yake.
Hakuna mwl mwenye akili zake wakumfakamia mwanafunzi fimbo nyingi kama huyo mtoto hana kiburi, dharau na upumbavu.

Dawa ya hawa ni kuwagonga stiki mpaka anaenda kukandwa nyumbani.
Wakija wazazi wake nao wakileta upumbavu piga hata makofi.
 
ebu toeni adhabu mbadala wa bakora kwa wanafunzi pale wanapokosea, na si kulalmika tuu…..
 
Kuna adhabu za kuwapa watoto na sio mabakora. Ndio maana tunaonekana manyani meusi yasiyo na akili.
Mpe jembe akalime/afyeke/asafishe vyoo vya shule/apige magoti aite mvua mpaka wenzake wakitoka darasani/apewe suspension/alazimishwe asome vitabu kadhaa na aviandikie muhtasar la sivyo anafukuzwa shule n.k nk. mpe adhabu za kumjenga na sio kudhalilisha utu wake.
Bakora muhimu.

Huko mambele wanakotuona manyani meusi wana high demage of social morals and values.

Bakora muhimu ila zisizidi kipimo inakuwa unyanyasaji
 
S

Sheria, kanuni na taratibu za shule yoyote ile hapa Tz zinazuia mwanfunzi kuwa na simu kibaya zaidi simu anaitumia muda wa masomo. Mkuu acha kutetea ujinga basi.

mwalimu awe nakazi za kufundisha na kufatilia matumizi ya simu kwa mwanafunzi, tutafika kweli?

Sikubaliani na swala la mwanafunzi kutumia simu muda wa masomo..huyo mwanafunzi akiingia kwenye kumi zangu ataisoma namba.

Shule ni nidhamu bila nidhamu eti kila mwanafunzi ajiamulie aishi anavyoweza hatuwezi kufika.
Unataka ufike wapi wewe, umfikishe wapi mtoto uliemchapa na kumtengezea uoga, nani kasema mtoto anajifunza kwa kuchapwa zaidi ya kumtengezea uoga tu, takwimu zipo angalia shule nyingi zenye utaratibu wa kutotumia fimbo kuwafunza watoto ona zilivyo na ufaulu mkubwa, ona zinavyozalisha viongozi bora, huna akili wewe huwezi ukafurahia mtoto kupigwa na kuumizwa kwa kiasi hichi wewe sio mzima utakua na mental disorder, shule zenye kuwajenga watoto kinidhamu kwa njia nzuri zinaufaulu mkubwa sana, ni watoto wanagapi unakuta hataki kwenda shule akiogopa fimbo sasa mnataka watoto wakae nyumbani wasisome kisa viboko nyie kweli mazuzu
 
Bakora muhimu.

Huko mambele wanakotuona manyani meusi wana high demage of social morals and values.

Bakora muhimu ila zisizidi kipimo inakuwa unyanyasaji
Shule za mission hapa bongo wanatumia viboko? usinidanganye maana nimesoma huko naelewa nidhamu iliyopo huko, msikariri msiwe mnaongozwa na hisia za hovyo
 
Shule za mission hapa bongo wanatumia viboko usinidanganye maana nimesoma huko naelewa nidhamu iliyopo huko, msikariri msiwe mnaongozwa na hisia za hovyo
Sijui hata unaelewa ulichokiandika mwenyewe.

Hoja yako inasimamia wapi
 
ni watoto wanagapi unakuta hataki kwenda shule akiogopa fimbo sasa mnataka watoto wakae nyumbani wasisome kisa viboko nyie kweli mazuzu
Lakini pia kuna Watoto wangapi ambao wanawahi shule kwa kuwa wanaogopa wakichelewa Watachapwa bakora,,,,Wanagapi hawapigi kelele darasani wakiogopa Bakora,,, Wangapi wanasoma kwa bidii wakiogopa kupigwa bakora endapo watafeli,,,,na wangapi uoga wa Bakora umewafanya wawe na Nidhamu.....???

Mkuu hawa Watoto wetu wa kiswahili malezi yao bila Bakora ni kutengeneza kizazi cha hovyo sana.....

Usipowachapa Mzazi,,,, Basi Wakikua ULIMWENGU utawachapa....in a Hard Way
 
Mtoto akileta jeuri ajue kunajeuri zaidi yake.
Hakuna mwl mwenye akili zake wakumfakamia mwanafunzi fimbo nyingi kama huyo mtoto hana kiburi, dharau na upumbavu.

Dawa ya hawa ni kuwagonga stiki mpaka anaenda kukandwa nyumbani.
Wakija wazazi wake nao wakileta upumbavu piga hata makofi.
Hahahaa... wewe ni mwalimu mshenzi tu.
 
Seminary gani isiyokuwa na fimbo..
Utakuwa na matatizo wewe

Wewe ndiyo una matatizo ya akili unaongea kwa kuropoka, huna unalolijua, mimi nimesoma seminary nakuelezea kitu ambacho nina uzoefu nacho, nakupa mfano tu kuna tukio lilifanywa na wanafunzi shuleni na tuliambiwa tutajane ili aliefanya uovu huo afukuzwe seminary ilicukua muda sana kutajana maana tunajua ukimtaja mwenzio shule hana, seminary nyingi wanafukuza sana hawataki kulea ujinga kwa kuwa wanakuza MAPADRI , umekosea unakwenda, sasa baada ya kushindwa kumtaja tukambiwa tusali rozari tumepiga magoti usiku mpaka asubuhi zoezi likwa gumu ilipofika saa nane usiku watu wakatajwa na kesho yake walifukuzwa bila hata kuchapwa fimbo moja, mtoto kakushindwa fukuza wewe hizo akili za kupiga ni za kikoloni na ni za kiovu sana na kumtengeza mtoto muoga na kuvunja ujasiri wake wakijaribu kuwa bora katika jamii na hatajiamini kamwe, huwezi kuelewa kwa kuwa huna knowledge kubwa
 
Hebu nenda ukawapasue Kichwa tuone kama utabaki salama.

Haha. Utanyooshwa.

We jifariji tu hapa.
Kipindi nafundisha nipo TP, kunamwanafunzi alikuwa jeuri shuleni kisa baba yake ana pesa. Niliwai kumshughulikia mpaka kesho baba yake ananishukuru kumshape mwanae.. hii ni vile najiamini na kuamini kile nakifanya kwa mhusika mwenyewe. Na ninapo fanya hivyo nafanya peke yangu ili hiyo serikali au mzazi tukutane on peak.

Kuna wanafunzi piga ua bila fimbo hawaendi ila wapo baadhi ni onyo na makalipio wengine ushauri tu wanabadilika na kukuelewa.

Kila mwanafunzi anapata kile anacho stahili. Naongea vitu nilivyowai kuvishudia.

Kuna malezi tofauti ya watoto kwenye familia ambayo huleta tabia mbaya au nzuri kwa watoto.
Shule lazima sheria na taratibu zifuatwe kuondoa matabaka hayo ya tabia.

Kwa imani yangu kabisa inapofika mwanafunzi anamiliki simu au kutumia simu darasni huyo hayupo makini nini matokeo yake kama sio kuwashawishi wenzie, kupiga picha, kurekodi, n.k

Fimbo ni mwalimu tosha...ngozi nyeusi bila fimbo hatufiki.

Ikishindikana fukuza shule akakae na wazazi wake
 
Pale madrasa Yombo Dovya 2002 nilipigwa fimbo 30 kisa nilienda kumuona mtoto wa Pembe( msanii), fimbo 20 ni kawaida sana ila simu ya nini huko Bwenini? Anawasiliana na nani?
 
Lakini pia kuna Watoto wangapi ambao wanawahi shule kwa kuwa wanaogopa wakichelewa Watachapwa bakora,,,,Wanagapi hawapigi kelele darasani wakiogopa Bakora,,, Wangapi wanasoma kwa bidii wakiogopa kupigwa bakora endapo watafeli,,,,na wangapi uoga wa Bakora umewafanya wawe na Nidhamu.....???

Mkuu hawa Watoto wetu wa kiswahili malezi yao bila Bakora ni kutengeneza kizazi cha hovyo sana.....

Usipowachapa Mzazi,,,, Basi Wakikua ULIMWENGU utawachapa....in a Hard Way
Tuujenge huu mjadala kwa manufaa ya kuelewa sio kuweka ligi, swali ni hivi, hivi hakuna adhabu zingine pasipo bakora maana umesema bakora bakora ndiyo inawafanya wasipige kelele darasani, wasichelewe darasani nakataa kuwa adhabu lazima iwe hivyo tu,we kupiga mtoto wa mtu akufie utasma nini? Mfano wa adhabu kuna kufyeka nyasi za shule, kulima, kufyatua tofali, kufukuza, kufagia mabanda ya mifugo nk zipo adhabu nyingi ambazo ni salama na zinye onyo, fimbo zinatengeza kizazi dhaifu sana muwe na ufahamu juu ya hilo
 
Kipindi nafundisha nipo TP, kunamwanafunzi alikuwa jeuri shuleni kisa baba yake ana pesa. Niliwai kumshughulikia mpaka kesho baba yake ananishukuru kumshape mwanae.. hii ni vile najiamini na kuamini kile nakifanya kwa mhusika mwenyewe. Na ninapo fanya hivyo nafanya peke yangu ili hiyo serikali au mzazi tukutane on peak.

Kuna wanafunzi piga ua bila fimbo hawaendi ila wapo baadhi ni onyo na makalipio wengine ushauri tu wanabadilika na kukuelewa.

Kila mwanafunzi anapata kile anacho stahili. Naongea vitu nilivyowai kuvishudia.

Kuna malezi tofauti ya watoto kwenye familia ambayo huleta tabia mbaya au nzuri kwa watoto.
Shule lazima sheria na taratibu zifuatwe kuondoa matabaka hayo ya tabia.

Kwa imani yangu kabisa inapofika mwanafunzi anamiliki simu au kutumia simu darasni huyo hayupo makini nini matokeo yake kama sio kuwashawishi wenzie, kupiga picha, kurekodi, n.k

Fimbo ni mwalimu tosha...ngozi nyeusi bila fimbo hatufiki.

Ikishindikana fukuza shule akakae na wazazi wake
Kumbe wewe ni mwalimu ndiyo maana[emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye dunia ya Sasa viboko ni muhimu kwa watoto,sitaki kupepesa macho.Walimu ni watu mhimu sana kwa maisha ya badae kwa mtoto,ndiyo wanaokaa na watoto mda mwingi na wamesomea kujua mabadiliko ya watoto kitabia ili kumuonya kwa kumsaidia kwa maisha ya badae.
 
Tuujenge huu mjadala kwa manufaa ya kuelewa sio kuweka ligi, swali ni hivi, hivi hakuna adhabu zingine pasipo bakora maana umesema bakora bakora ndiyo inawafanya wasipige kelele darasani, wasichelewe darasani nakataa kuwa adhabu lazima iwe hivyo tu,we kupiga mtoto wa mtu akufie utasma nini? Mfano wa adhabu kuna kufyeka nyasi za shule, kulima, kufyatua tofali, kufukuza, kufagia mabanda ya mifugo nk zipo adhabu nyingi ambazo ni salama na zinye onyo, fimbo zinatengeza kizazi dhaifu sana muwe na ufahamu juu ya hilo
Akili mbovu hao wameshachanganyikiwa na mishahara duni.
 
Wewe ndiyo una matatizo ya akili unaongea kwa kuropoka kama toto jinga, huna unalolijua, mimi nimesoma seminary nakuelezea kitu ambacho nina uzoefu nacho, nakupa mfano tu kuna tukio lilifanywa na wanafunzi shuleni na tuliambiwa tutajane ili aliefanya uovu huo afukuzwe seminary ilicukua muda sana kutajana maana tunajua ukimtaja mwenzio shule hana, seminary nyingi wanafukuza sana hawataki kulea ujinga kwa kuwa wanakuza MAPADRI , umekosea unakwenda, sasa baada ya kushindwa kumtaja tukambiwa tusali rozari tumepiga magoti usiku mpaka asubuhi zoezi likwa gumu ilipofika saa nane usiku watu wakatajwa na kesho yake walifukuzwa bila hata kuchapwa fimbo moja, mtoto kakushindwa fukuza wewe hizo akili za kupiga ni za kikoloni na ni za kiovu sana na kumtengeza mtoto muoga na kuvunja ujasiri wake wakijaribu kuwa bora katika jamii na hatajiamini kamwe, huwezi kuelewa kwa kuwa huna knowledge kubwa
Fimbo ni miongoni mwa adhabu..
Kupiga magoti ni adhabu pia
Kufyeka, kuchimba shimo zote n.k ni adhabu.

Uzuri au ubaya wa adhabu unapimwa kwa kiwango cha adhabu iliyotolewa bila kujali aina ya adhabu. Hoja yako kwamba walifukuzwa hiyo nayo ni adhabu tena mbaya sana maana unamkatili mtoto masomo na haki yake ya msingi. Hapo ndiyo useme hiyo sio adhabu..mjinga wewe.

Kama ulisoma seminary na bado una akili za kijinga hivyo bado elimu yako haijakusaidia.

Kama biblia yenyewe huko seminanry mlikuwa mnaisoma imesema mtoto asikae mbali na fimbo.

Huna lolote
 
Back
Top Bottom