Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Seminary gani isiyokuwa na fimbo..Mbona seminary hakuna viboko na watoto wana nidhamu ya hali ya juu, hivi viwaliku vya kidigitali ni wapuzi sana wanahisi mtoto hafundisiki bila viboko wewe umesikia wapi, shule bora ni zile zinazofundisha nidhamu kww approach mbalimbali, mwanngu yupo shule ambayo hawatumii viboko bali wana njia za kumkuza mtoto maadili, na mwanangu tangu aanze pale amekua anafaulu na adabu nidhamu za hali ya juu,
Utakuwa na matatizo wewe