Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ubaya wa simu karne hii ni nini?Huna akili wewe.
Nyie ndio mnalea ujinga kwa watoto
Tupoteze muda kwa swala la malezi mabovu kwa mtoto wako. Kwanza hao walimu wangeongeza idadi zifike fimbo 100 kwa tako moja.
Ameenda kusoma au kuchati na kupiga picha walimu..
Ficha ujinga wako mkuu
Acha ujinga wewe,walimu hawawezi kuwa wapumbavu,aliyekuambia kada ya walimu ni wapumbavu nani?Walimu huwa ni wapumbavu sana. Huwa wana mob psychology
walimu wapumbavu wakakifundisha mpaka unajua kushika simu nakuandika?Walimu huwa ni wapumbavu sana. Huwa wana mob psychology
Halafu tunataka kuwa nchi yenye elimu ya kisasa!!Sasa ubaya wa simu karne hii ni nini?
Mambo ya ajabu sana.Yani mpaka leo bado simu ni kifaa haramu mashuleni. Wizara inatakiwa ijitafakari
Acha utopolo wako wa kiwango ya Lami.Huna akili wewe.
Nyie ndio mnalea ujinga kwa watoto
Tupoteze muda kwa swala la malezi mabovu kwa mtoto wako. Kwanza hao walimu wangeongeza idadi zifike fimbo 100 kwa tako moja.
Ameenda kusoma au kuchati na kupiga picha walimu..
Ficha ujinga wako mkuu
Ni wivu tu wa hawa walimu uchwara.Acha utopolo wako wa kiwango ya Lami.
Hii ni Karne nyingine lazima kuweko na mabadiliko. Na wizara husika ilivakie njuga!
Mbona mwanao mdogo miaka 2 analilia simu na unampa kucezea tena unamwekea na michezo. Mwanafunzi wa Sekondari kweli anakuwa Hana haki kushika simu.
Kama ni taratibu za shulee ziwekwe wakija na simu waziache mahali maalum wakitoka break wapendwa au wamakizapo siku.
Nini shida???!
🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaa..
Kwahiyo mzee una PhD?
Wakati fimbo ikitumika kama njia mojawapo kwenye malezi ya mtoto, hali ilikuwa poaWalimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.
Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.
Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.
Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.
Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.
Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.
Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.
Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.
Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.
Tupaze sauti.
Corporal punishment is ONLY for those who are physically fit.Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.
Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.
Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.
Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.
Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.
Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.
Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.
Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.
Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.
Tupaze sauti.
...Uzi Umeandika Kishabiki mno! Wewe umeajuaje yote hayo? Wewe ni Mwalimu?Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.
Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.
Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.
Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.
Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.
Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.
Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.
Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.
Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.
Tupaze sauti.
Wewe ni bint uliyechapwa au mzazi/mlezi?,hebu tuanzie kwanza hapoWalimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.
Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.
Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.
Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.
Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.
Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.
Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.
Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.
Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.
Tupaze sauti.
Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.
Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.
Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.
Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.
Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.
Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.
Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.
Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.
Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.
Tupaze sauti.
Leta mfano wa adhabu ya kujenga ambayo haifanyi unayemuadhibu aogope....??? Naomba mfano wa hio adhabu isiyofanya mtu aogope...adhabu yeyote unayoijua ambayo itamfanya mhusika akuigope na sio kumjenga kupitia hio adhabu,adhabu yeyote inayotokela kama kukomoa/kulipiza kisasa pasipo kuwa na kiasi
viboko vilivyopitiliza, kazi ngumu kupitiliza, kumchoma mtoto na kitu cha moto au kumkata [hii ipo sana majumbani] nkLeta mfano wa adhabu ya kujenga ambayo haifanyi unayemuadhibu aogope....??? Naomba mfano wa hio adhabu isiyofanya mtu aogope...
Hao Waalimu Makatili ni matokeo walivyofanyiwa Ukatili wakiwa Wanafunzi yaani sababu na wao walikua wakikosea wanachapwa baada ya kua waalimu wanaona kuchapa ni sahihi, na wanaosapoti adhabu za Fimbo wote background yao walilelewa kikatili kwa kupigwa na Wazazi wao na Walezi wao na Waalimu wao, Trauma inawatesa,Wewe ndiyo mzazi mwenye uchungu na manyanyaso ya watoto sio wengine , walimu wengi ni vijana hawajapata watoto so wanapiga tu watoto, halafu hao hao wanatongoza watoto wetu wanawalazimisha watembee nao