Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Huna akili wewe.
Nyie ndio mnalea ujinga kwa watoto
Tupoteze muda kwa swala la malezi mabovu kwa mtoto wako. Kwanza hao walimu wangeongeza idadi zifike fimbo 100 kwa tako moja.
Ameenda kusoma au kuchati na kupiga picha walimu..
Ficha ujinga wako mkuu
Sasa ubaya wa simu karne hii ni nini?
 
Huna akili wewe.
Nyie ndio mnalea ujinga kwa watoto
Tupoteze muda kwa swala la malezi mabovu kwa mtoto wako. Kwanza hao walimu wangeongeza idadi zifike fimbo 100 kwa tako moja.
Ameenda kusoma au kuchati na kupiga picha walimu..
Ficha ujinga wako mkuu
Acha utopolo wako wa kiwango ya Lami.
Hii ni Karne nyingine lazima kuweko na mabadiliko. Na wizara husika ilivakie njuga!
Mbona mwanao mdogo miaka 2 analilia simu na unampa kucezea tena unamwekea na michezo. Mwanafunzi wa Sekondari kweli anakuwa Hana haki kushika simu.
Kama ni taratibu za shulee ziwekwe wakija na simu waziache mahali maalum wakitoka break wapendwa au wamakizapo siku.
Nini shida???!
 
Ni wivu tu wa hawa walimu uchwara.
 
Acha wapigwe tuu, mitoto siku hizi inajiona "machi noo"
 
Wakati fimbo ikitumika kama njia mojawapo kwenye malezi ya mtoto, hali ilikuwa poa
 
Corporal punishment is ONLY for those who are physically fit.
Kama huamini,basi subiri kubishana na vijana wa Sirro.
Halafu utashangaa kuhusu Wizara ya Elimu: utaona kweye gazet makala inawakataza wanafunzi kuwa na simu,halafu, katika gazeti hilo hilo,utaona makala kuwa Waziri Ndalichako amezindua mpango wa kuwafundisha wanafunzi na simu.
 
...Uzi Umeandika Kishabiki mno! Wewe umeajuaje yote hayo? Wewe ni Mwalimu?
 
Wewe ni bint uliyechapwa au mzazi/mlezi?,hebu tuanzie kwanza hapo
 


Ungekuwa na elimu ya kutosha usingetuhumu walimu kijinga hivi.
Ualimu ni kazi ngumu mno ndio maana wengi wanaikimbia na kwenda kwenye siasa.
 
adhabu yeyote unayoijua ambayo itamfanya mhusika akuigope na sio kumjenga kupitia hio adhabu,adhabu yeyote inayotokela kama kukomoa/kulipiza kisasa pasipo kuwa na kiasi
Leta mfano wa adhabu ya kujenga ambayo haifanyi unayemuadhibu aogope....??? Naomba mfano wa hio adhabu isiyofanya mtu aogope...
 
Leta mfano wa adhabu ya kujenga ambayo haifanyi unayemuadhibu aogope....??? Naomba mfano wa hio adhabu isiyofanya mtu aogope...
viboko vilivyopitiliza, kazi ngumu kupitiliza, kumchoma mtoto na kitu cha moto au kumkata [hii ipo sana majumbani] nk
 
Wewe ndiyo mzazi mwenye uchungu na manyanyaso ya watoto sio wengine , walimu wengi ni vijana hawajapata watoto so wanapiga tu watoto, halafu hao hao wanatongoza watoto wetu wanawalazimisha watembee nao
Hao Waalimu Makatili ni matokeo walivyofanyiwa Ukatili wakiwa Wanafunzi yaani sababu na wao walikua wakikosea wanachapwa baada ya kua waalimu wanaona kuchapa ni sahihi, na wanaosapoti adhabu za Fimbo wote background yao walilelewa kikatili kwa kupigwa na Wazazi wao na Walezi wao na Waalimu wao, Trauma inawatesa,

Adhabu zipo nyingi za kumpa Mtoto kama akikosea, anaambiwa aokote uchafu, Afyeke Majani, Asafishe Library au Laboratory, Dentetion lakini sio Fimbo,

Mimi sikuchapwa Fimbo Mtu aje amchape Mwanangu yaani Ada nilipe na bado wamuharibu kisaikolojia Mwanangu hehehehe mbona ataiona chungu taaluma yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…