Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Mwalimu acha unafiki na usaliti kwa wenzako.
 
Mtoa mada analalamikia adhabu ya mwanafunzi kuondolewa hostel na hivyo kulazimika kutokea nyumbani kama day scholar, suala la viboko ni kuchombeza na kuipa shida yake mashiko. Anachosahau ni kwamba walimu wameamua kuwalinda mabinti watiifu kwa kuwaondoa hostel vichwa maji.
 
Inavyoonekana hata hajachapwa otherwise mleta habari angeshaonyesha uthibitisho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nawapongeza walimu waliotoa hiyo adhabu, fimbo 20 ni chache mno, ndo maana nilikataa kwenda airwing kufundisha, maana na ngumi zingekuwepo

Nyie ndo mnatengeneza kizazi cha watoto wapumbavu na washenzi, watoto lelemama wasio wakakamavu, hizo ni chache mno

Mwanafunzi lazima ale mkong'oto wakisawasawa, hata akirudi anachechemea ni sawa, hakuna kufuga ujinga

Nasema mambo mengi yakipuuzi kama ya wale vijana wa ifm yalianzia huku kusema haki ya mtoto, haki ya nyokwe, ffs[emoji35][emoji35][emoji35]

NASEMA WALIMU TEMBEZENI BAKORA, PIGENI KISAWASAWA MPAKA MAKALIO YA HAO WANAFUNZI WASIO WATII YAVIMBE

Ni mimi mzazi: Mwalimu wa Tuisheni
 
Kati ya kufukuzwa (dismissal) na kuchapwa viboko 20 ni kipi chenye nafuu kwa mtoto?
 
Hao waalimu wachukuliwe hatuna kwa kutoa adhabu ndogo

Ilitakiwa adhabu iwe kubwa kuliko hiyo

Walimu wapewe nguvu labda itasaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili
Hao walimu n watuhumiwa sababu hawamkuta na hyo simu. Kwann waafrica uchunguzi wetu unafanyika kwa adhabu badala intelligence.
Adhabu n haki kwa mwanafunzi lakn awe na kosa kwel.
 
Hao walimu n watuhumiwa sababu hawamkuta na hyo simu. Kwann waafrica uchunguzi wetu unafanyika kwa adhabu badala intelligence.
Adhabu n haki kwa mwanafunzi lakn awe na kosa kwel.
 
Watoto wenu ndo wanakuja kuwa mapunga, nyambaf
 
Huo muda wa kumbembeleza hivyo utatoka wapi? Mwalimu ana kazi ngapi halafu abaki anachezewa akili na kitoto kidogo. Huijui adha ya kukadiriwa na mtoto.
 
Natamani niache kulinda mipaka ya nchi niingie kufundisha halafu uwalete hao wanao shuleni niwaonyeshe kazi nione utanifanyeje

Pumbaf sana

Mnalea ujinga mwishowe mnazalisha raia wapumbavu wasio watiifu kwa nchi kutwa kutupa shida.
 
Mkuu umenena vyema sana. Alafu ubaya zaidi kwa wanafunzi simu moja inaweza kutumika kuharibu mabinti zaidi ya mmja sababu huwa wanashare. Simu sio nzuri hasa kwa watoto wetu hawa wakiafrika wengi malimbukeni.
Na kinachotokea kila binti anatumia hiyo simu. Siku mmoja wa vidume akichati anapokea asiye mlengwa. Anashushiwa mistari na yeye analiwa pia.
Shule x ilipokamatwa simu iligundulika kidume kimoja kimewala wasichana 6 ambao wana share simu ya mmoja wao. Hii ni zaidi ya hatari.
 
Ni kweli hili jambo la walimu kutoa adhabu bila kuzingatia sheria ya adhabu wanayoitoa limekuwa janga kubwa kwenye shule na linajenga uhasama unaoweza kumfanya mwanafunzi akamchukia mwalimu mpaka kufa kwake!
Sheria ya viboko inatoa ukomo wa viboko 4 tu kwa kosa moja!
Aidha wanafunzi wa kike wanapaswa kuadhibiwa na walimu wa kike na adhabu yao kama ina ulazima wa kuchapwa vibako, basi watachapwa viboko hivyo na mwalimu wa kike mikononi na sio sehemu nyingine yoyote ile!
Zaidi ya yote Mwalimu yeyote haruhusiwi kuchapa mwanafunzi kiboko mpaka awe amepewa kibali cha idhini ya kutoa adhabu hiyo na kibali hiki huwa kinaandikwa idadi ya ukomo wa viboko ambavyo mwalimu husika atavitoa!
Kwa mantiki hii hawa walimu kama ni kweli wamefanya hiko kitendo wana kesi ya kujibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…