Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Afu bado unaandika kihuni,napata hasira kweli
 
Wewe hukuchapwa zaidi ya fimbo 3??

Watunzi wa sheria wanajua hilo ila ni vile tu kuwafurahisha wamagharibi kua wanafata sheria.
 
Huna akili wewe.
Nyie ndio mnalea ujinga kwa watoto
Tupoteze muda kwa swala la malezi mabovu kwa mtoto wako. Kwanza hao walimu wangeongeza idadi zifike fimbo 100 kwa tako moja.
Ameenda kusoma au kuchati na kupiga picha walimu..
Ficha ujinga wako mkuu
Hakua na simu
 
Vipi, uliendelea na shule?
Yes. Nilipofika home maza alipoona hali yangu akanistopisha akafatilia uhamisho nikahama skuli. Nilikula raha home maana ilikuwa karibu na likizo so nikaunganisha ile kufungua nikafungulia shule mpya.
 
Huna akili wewe.
Nyie ndio mnalea ujinga kwa watoto
Tupoteze muda kwa swala la malezi mabovu kwa mtoto wako. Kwanza hao walimu wangeongeza idadi zifike fimbo 100 kwa tako moja.
Ameenda kusoma au kuchati na kupiga picha walimu..
Ficha ujinga wako mkuu
waalimu kama nye si huwa tunawang'oa meno mtaani na kipondo juu
 
Ah kwenda zako huko askari kanzu wewe!

Unajitia una uchungu na nchi kumbe hasira za mshahara duni.

Hauwajibiki kwa yeyote. Acha kiherehere.

Zaa wa kwako umpige mateke. Na ukimpiga tunakukamata kukuadabisha pia.
Yaani kanikera huyo mshenzi,
Ufukara wake anataka kumalizia hasira kwa Watoto!

Eeh azae wake awapige halafu ndio aone atafanywa nini.
 
Kwenda zako mbuzi asie na mkia

Una nini Cha kunifanya wewe?

We have our own court
Eti we have our own court,

Kumbe ni lichizi hili nikadhani lina akili japo kiduchu,

Kubwa jinga linakimbilia we have our own court kwa hiyo unajua kua ni kosa na mahakamani utapelekwa,

Jaribu kumuumiza Mtoto yoyote halafu uone hiyo 'our own court' itakavyofanya kazi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mh bora kwetu huko kwa wenzetu ulaya mtoto wa kike anavuliwa skirt na chupi anabaki makalio waz ndo anashushiwa viboko vya uhakakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…