Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Afu bado unaandika kihuni,napata hasira kweliNikiwa primary darasa la nne niliwahi chezea stick zaidi ya 40 kutoka kwa mwalimu mmoja hivi bonge anaitwa Sylvia. Kisa nilikuwa napiga safa sana (natoka home ila shule sifiki).
Siku hiyo nikaja kimbizwa na wanafunzi wenzangu ambao walikuwa ndio wenye mbio shuleni wakanidaka. Tulikuwa karibu na home kwa chaliangu tunaepiga nae safa yeye aliwahi kushika panga wakaogopa kumdaka mimi nikabebwa juu juu nikaenda kuchezea stick shazi.