Nilikuwa navuta bhangi, mgomvi na siudhurii shule mara kwa mara, baada ya tukio hilo nilitubu na kuacha tabia hizo hadi sasa nina kazi nzuri na ni mtu wa mfano kwenye jamii. Wale waalimu sasa wamestaafu ni wazee kila mara nawatembelea na kuwashukuru kuwa walinirudisha kwenye ubinaadamu. Wenzangu waliacha shule, ni watu wazima ila wanaishi kitoto toto kisela na kihuni maisha ya ajabu kwa ajili ya mibange wengine wapo jelaKwahiyo wewe mpaka leo unaona ni sawa ulivyovuliwa nguo? Ama kweli uliathiriwa kisaikolojia vibaya sana kiasi unaona ilikua haki yako kufanyiwa uliyofanyiwa. Pole sana!
Maajabu sana.hahaha mwalimu hajui tofauti ya L na R
Tena haswaaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afu si ajabu mwalimu alionea gere simu ya mwanafunzi.
Yeye anamiliki techno huku mwanafunzi ana samsung galaxy.
Hapo lazima kichaa kimpande.
Kama unatoto lako linasoma kalichukue ulileelee mwenyewe nyumbani kama yai, Toto unalipeleka shule, linaenda kuchezea Simu, mnatuharibia tarifa la kesho nyie, mna maneno mengi halafu Kazi hamfanyi,Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.
Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.
Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.
Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.
Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.
Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.
Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.
Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.
Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.
Tupaze sauti.
Actually, fimbo zinaua.Usimnyime mtoto mapigo kwa maana fimbo haziuwi
Ndiyo maana tumepata taifa la watu waogawaoga. Wasioweza kujisimamia. Muda wote wanahisi kuna waalimu wapumbavu watawaadhibu vikali.Tena umevuliwa captula mbele ya staff wanakugombania kama mpira wa kona wenngine wanakusema , wengine viboko tena mbele ya mzazi wako
We mwalimu enzi hizi unakataza watoto kuwa na simu?!. Wasiingie nazo darasani na kudisturb masomo lakini simu janja muhimu zama hizi. Sasa mialimu sita imekaa kufuatilia mwanafunzi kuwa na simu!!!Kama unatoto lako linasoma kalichukue ulileelee mwenyewe nyumbani kama yai, Toto unalipeleka shule, linaenda kuchezea Simu, mnatuharibia tarifa la kesho nyie, mna maneno mengi halafu Kazi hamfanyi,
Wanaacha mambo ya msingi wanafuatilia upumbavu. Huku wakifikiri kwa aina moja kama nyumbu.Huo upumbafu wao walimu ndiyo unakufanya sahizi unaandika hapa upumbafu wako
Hakuna kitu kama hicho..We
Mjinga nini yani we utajisikiaje mwanao anaumwa afu wanasema anajifanyisha afu apigwe ivyo tumia akili
Ili kujiepusha na madha mengine yasiyo na msingi ningempeleka kwa mkuu wa shule ili kama nikufukuzwa afukuzwe au waitwe wazazi wakeAisee, kwa mujibu wa maelezo ya mtoa mada baada ya mwanafunzi kupigwa ndoakasema Simu niyanani na ipo wapi.
It means kabla ya kupigwa hakuwa tayari kusema Simu iliko.
Mwanafunzi huyo kuwa nasimu shuleni watakaolaumiwa ni walimu kwa usimamizi mbovu, walimu hao wakitoa adhabu ili kukomesha iyo tabia wanaonekana wamekosea.
Nikuulize Swali jepesi,
Umeshawashutumu walimu wamekosea sasa tuambie Ungekuwa wewe ungefanyaje?
Ungemchapa fimbo mbili utegemee akwambie iliko simu?
Ungembembeleza akwambie
Ungemfukuza shule ili akawe malaya vizuri.
Ungefanya nn?
We simu ya meanafunzi, kama haingii nayo darasani inakuhusu nini. Sisi advance karibu wote tulikuwa na simu.Aisee, kwa mujibu wa maelezo ya mtoa mada baada ya mwanafunzi kupigwa ndoakasema Simu niyanani na ipo wapi.
It means kabla ya kupigwa hakuwa tayari kusema Simu iliko.
Mwanafunzi huyo kuwa nasimu shuleni watakaolaumiwa ni walimu kwa usimamizi mbovu, walimu hao wakitoa adhabu ili kukomesha iyo tabia wanaonekana wamekosea.
Nikuulize Swali jepesi,
Umeshawashutumu walimu wamekosea sasa tuambie Ungekuwa wewe ungefanyaje?
Ungemchapa fimbo mbili utegemee akwambie iliko simu?
Ungembembeleza akwambie
Ungemfukuza shule ili akawe malaya vizuri.
Ungefanya nn?
Mwanafunzi kuwa na Simu shuleni ni sehemu ya taratibu za shule???We simu ya meanafunzi, kama haingii nayo darasani inakuhusu nini. Sisi advance karibu wote tulikuwa na simu.
Ndiyo maana nasema wanafikiri kama nyumbu. Hawajiulizi shida ya simu ni nini? Miaka hii ni muhimu? Tufanyaje isiathiri masomo? Badala yake sita wote wanakusanyika kuchapa mtoto. Sisi boarding karibu wote tulikuwa na simu.Jibu swali, acha ubabaishaji.
Ndio maana walimu mnaonekana kama irrational psychopaths tu.
Hauwezi hata kueleza kwanini simu ni haramu, lakini unajua tu kupiga wanafunzi marungu.
Unapaswa kuwa na HEK'MA, sio unaenda enda tu kama zombi.
Nikuulize. Ni sawa kwa mwanafunzi kumiliki kompyuta/laptop?Mwanafunzi kuwa na Simu shuleni ni sehemu ya taratibu za shule???
Kama ni kinyume na taratibu zilizopo, nikuulize wewe sasa ulitaka walimu wamuacha aendelee kutumia Simu ili badae wafukuzwe kazi kwa uangalizi mbovu?
Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.
Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.
Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.
Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.
Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.
Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.
Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.
Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.
Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.
Tupaze sauti.
Hayo huwa ni mapigano kati ya Mwalimu na Mwanafunzi ambayo hupelekea kuguswa sehemu mbaya, Kiuhalisia fimbo kama fimbo wacha magongo haiuwi labda upigwe za kichwaActually, fimbo zinaua.
Watoto wengi sana wamefia kwenye mikono ya waalimu kutokana na vipigo vya kikatili.
Mmojawapo ni SPERIUS ERADIUS aliyeuwawa na mwalimu RESPICIUS PATRICK MTAZANGIRA — shule ya msingi KIBETA, BUKOBA mwaka 2018.