avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Nilikuwa navuta bhangi, mgomvi na siudhurii shule mara kwa mara, baada ya tukio hilo nilitubu na kuacha tabia hizo hadi sasa nina kazi nzuri na ni mtu wa mfano kwenye jamii. Wale waalimu sasa wamestaafu ni wazee kila mara nawatembelea na kuwashukuru kuwa walinirudisha kwenye ubinaadamu. Wenzangu waliacha shule, ni watu wazima ila wanaishi kitoto toto kisela na kihuni maisha ya ajabu kwa ajili ya mibange wengine wapo jelaKwahiyo wewe mpaka leo unaona ni sawa ulivyovuliwa nguo? Ama kweli uliathiriwa kisaikolojia vibaya sana kiasi unaona ilikua haki yako kufanyiwa uliyofanyiwa. Pole sana!