Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Kwahiyo wewe mpaka leo unaona ni sawa ulivyovuliwa nguo? Ama kweli uliathiriwa kisaikolojia vibaya sana kiasi unaona ilikua haki yako kufanyiwa uliyofanyiwa. Pole sana!
Nilikuwa navuta bhangi, mgomvi na siudhurii shule mara kwa mara, baada ya tukio hilo nilitubu na kuacha tabia hizo hadi sasa nina kazi nzuri na ni mtu wa mfano kwenye jamii. Wale waalimu sasa wamestaafu ni wazee kila mara nawatembelea na kuwashukuru kuwa walinirudisha kwenye ubinaadamu. Wenzangu waliacha shule, ni watu wazima ila wanaishi kitoto toto kisela na kihuni maisha ya ajabu kwa ajili ya mibange wengine wapo jela
 
Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.

Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.

Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.

Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.

Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.

Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.

Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.

Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.

Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.

Tupaze sauti.
Kama unatoto lako linasoma kalichukue ulileelee mwenyewe nyumbani kama yai, Toto unalipeleka shule, linaenda kuchezea Simu, mnatuharibia tarifa la kesho nyie, mna maneno mengi halafu Kazi hamfanyi,
 
Kama unatoto lako linasoma kalichukue ulileelee mwenyewe nyumbani kama yai, Toto unalipeleka shule, linaenda kuchezea Simu, mnatuharibia tarifa la kesho nyie, mna maneno mengi halafu Kazi hamfanyi,
We mwalimu enzi hizi unakataza watoto kuwa na simu?!. Wasiingie nazo darasani na kudisturb masomo lakini simu janja muhimu zama hizi. Sasa mialimu sita imekaa kufuatilia mwanafunzi kuwa na simu!!!
 
We

Mjinga nini yani we utajisikiaje mwanao anaumwa afu wanasema anajifanyisha afu apigwe ivyo tumia akili
Hakuna kitu kama hicho..
Kisaikolojia huyo mwanafunzi haumwi wala nini anachokitafuta nikuonewa huruma ili ugonjwa utumike kama sababu.

Sote tumepitia shule, shule ni taasisi inayotakiwa kufundisha maadili na nidhamu ilikujenga jamii inayokubalika.

Wewe mtoto wako analeta upumbavu shuleni wa kuja na SIMU. tena muda wa darasa huyo hafai hata kuwa shuleni.

Apigwe fimbo nyingi sana afukuzwe na shule kama mzazi wake anasapoti ujinga wa mwanae.
 
Aisee, kwa mujibu wa maelezo ya mtoa mada baada ya mwanafunzi kupigwa ndoakasema Simu niyanani na ipo wapi.

It means kabla ya kupigwa hakuwa tayari kusema Simu iliko.

Mwanafunzi huyo kuwa nasimu shuleni watakaolaumiwa ni walimu kwa usimamizi mbovu, walimu hao wakitoa adhabu ili kukomesha iyo tabia wanaonekana wamekosea.

Nikuulize Swali jepesi,
Umeshawashutumu walimu wamekosea sasa tuambie Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Ungemchapa fimbo mbili utegemee akwambie iliko simu?

Ungembembeleza akwambie

Ungemfukuza shule ili akawe malaya vizuri.

Ungefanya nn?
Ili kujiepusha na madha mengine yasiyo na msingi ningempeleka kwa mkuu wa shule ili kama nikufukuzwa afukuzwe au waitwe wazazi wake
 
Aisee, kwa mujibu wa maelezo ya mtoa mada baada ya mwanafunzi kupigwa ndoakasema Simu niyanani na ipo wapi.

It means kabla ya kupigwa hakuwa tayari kusema Simu iliko.

Mwanafunzi huyo kuwa nasimu shuleni watakaolaumiwa ni walimu kwa usimamizi mbovu, walimu hao wakitoa adhabu ili kukomesha iyo tabia wanaonekana wamekosea.

Nikuulize Swali jepesi,
Umeshawashutumu walimu wamekosea sasa tuambie Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Ungemchapa fimbo mbili utegemee akwambie iliko simu?

Ungembembeleza akwambie

Ungemfukuza shule ili akawe malaya vizuri.

Ungefanya nn?
We simu ya meanafunzi, kama haingii nayo darasani inakuhusu nini. Sisi advance karibu wote tulikuwa na simu.
 
We simu ya meanafunzi, kama haingii nayo darasani inakuhusu nini. Sisi advance karibu wote tulikuwa na simu.
Mwanafunzi kuwa na Simu shuleni ni sehemu ya taratibu za shule???

Kama ni kinyume na taratibu zilizopo, nikuulize wewe sasa ulitaka walimu wamuacha aendelee kutumia Simu ili badae wafukuzwe kazi kwa uangalizi mbovu?
 
Jibu swali, acha ubabaishaji.

Ndio maana walimu mnaonekana kama irrational psychopaths tu.

Hauwezi hata kueleza kwanini simu ni haramu, lakini unajua tu kupiga wanafunzi marungu.

Unapaswa kuwa na HEK'MA, sio unaenda enda tu kama zombi.
Ndiyo maana nasema wanafikiri kama nyumbu. Hawajiulizi shida ya simu ni nini? Miaka hii ni muhimu? Tufanyaje isiathiri masomo? Badala yake sita wote wanakusanyika kuchapa mtoto. Sisi boarding karibu wote tulikuwa na simu.
 
Fimbo 20 tu tupaze sauti, unajua mziki wa kuwalea watoto wa kike?
Piga fimbo hata mia
 
Mwanafunzi kuwa na Simu shuleni ni sehemu ya taratibu za shule???

Kama ni kinyume na taratibu zilizopo, nikuulize wewe sasa ulitaka walimu wamuacha aendelee kutumia Simu ili badae wafukuzwe kazi kwa uangalizi mbovu?
Nikuulize. Ni sawa kwa mwanafunzi kumiliki kompyuta/laptop?
 
Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.

Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.

Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.

Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.

Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.

Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.

Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.

Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.

Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.

Tupaze sauti.

Hivi hii tabia imetoka wapi maana pia kuna shule inahitwa Ngarenaro Sekondari tabia hii pia hipo, wanawachapa wanafunzi bila sabau za msingi. Imefikia wakati wanafunzi wanaogopa hata kwenda shuleni.
 
Binafsi naona Watoto wa Siku wanakosa sana maadili kwa sababu kama hizi(Excuses ni nyingi),,, Bakora 20 ni adhabu ya wastani kabisa,,,na kwa kosa la kuwa na Simu shuleni kisheria alitakiwa kufukuzwa kabisa....

BUT

Tatizo ninaloona hapo ni kwamba kama Mwanafunzi alikuwa MGONJWA,,,,,Walimu walitakiwa kujiridhisha na hilo kabla ya kumpa hio adhabu ndogo ya bakora..

LAKINI JE kila mwanafunzi mgonjwa akikosa nidhamu anatakiwa kupewa adhabu gani...???
 
Actually, fimbo zinaua.

Watoto wengi sana wamefia kwenye mikono ya waalimu kutokana na vipigo vya kikatili.

Mmojawapo ni SPERIUS ERADIUS aliyeuwawa na mwalimu RESPICIUS PATRICK MTAZANGIRA — shule ya msingi KIBETA, BUKOBA mwaka 2018.
Hayo huwa ni mapigano kati ya Mwalimu na Mwanafunzi ambayo hupelekea kuguswa sehemu mbaya, Kiuhalisia fimbo kama fimbo wacha magongo haiuwi labda upigwe za kichwa
 
Back
Top Bottom