Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.

Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.

Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.

Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.

Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.

Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.

Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.

Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.

Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.

Tupaze sauti.
"NAWAPONGEZA WALIMU HAO WAPATIWE TUNU ZA ULEZI BORA"
>Taratibu za shule ni lazima zizingatiwe adhawaisi tutapata changudoa mpya.
 
Unafananisha wanafunzi wa International na hawa wa kayumba?Una safari ndefu sana kujikomboa kifikra.Pole sana bro
Acha kujishusha kiasi hicho. Wote ni watoto na wote wanakuwa sawa had pale wanapoanza shule ndipo tofauti zao ujengeka. Kuna mmoja anajengwa kujiamin, uthubutu na kuikabili dunia kiuhalisia na mwingne ujengewa nidhamu ya uoga, kutojiamini, chuki, kutojikubali kuwa nk
 
Ila nyie fimbo 20 ni nyingi wazee inategemea na unachochapiwa na anaechapa ufundi wake,hapo wiki nzima atasikilizia..😂
 
Tangu uhuru hili taifa limekuwa na watu wengi kama nyie mnaopiga watoto kama mifugo na halijfika popote.
Mimi hapa nina PhD na nina makovu ya maana ya fimbo nilizotandikwa shule ya Msingi,hakuna kesi yeyote iliyofunguliwa.Kama hutaki wa kwako apigwe mfundishe mwenyewe nyumbani.Simple
 
Mkuu umenena vyema sana. Alafu ubaya zaidi kwa wanafunzi simu moja inaweza kutumika kuharibu mabinti zaidi ya mmja sababu huwa wanashare. Simu sio nzuri hasa kwa watoto wetu hawa wakiafrika wengi malimbukeni.
Huo ulimbukeni upo ata kwa watoto wa ulaya. Shida inaanzia kwenye familia.
Wewe kama mzazi uliishawai kaa na watoto wako ukawapa elimu juu ya gadgets za mawasiliano (simu, computer, internet nk) ? Uliishawai wapa nafasi ya kutumia vifaa vya mawasiliano huku ukifatilia kwa ukaribu? Na jua utajibu "NO" bas ata ww na utu uzima wako ukiletewa kitu kipya ambacho ulikuwa unazuiliwa kukitumia mda kwa mda mrefu lazma utakuwa limbukeni.
 
Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.

Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.

Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.

Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.

Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.

Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.

Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.

Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.

Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.

Tupaze sauti.
Ulitaka apigwe kichwani ? Kwamba asipigwe kwenya makalio? Ila adhabu hii imezidi kiwango, fimbo tatu zilotosha sana
 
Nawapongeza sana Walimu kwa kuchukua hatua!
 
Hizo adhabu hazisaidii wachapwe tu , kuna umri mtoto akilekewa kama yai utavuna mateja na changuwadoa
Ebu jiulize swali dogo tu hiv machangudoa na wadangaji wa sasa hv walisoma shule zipi? Ama wote walisoma international schools?
Fimbo zilizopitiliza hazijawai kuwa solutions ya tabia mbovu maana hazijengi zaid ya kukomaza na kutengeneza chuki na woga tu baina ya mwalimu na mwanafunzi
 
we shida yako ni adhabu ama ni kuhamishwa bweni,madai yako sio ya msingi
 
Huna akili wewe.
Nyie ndio mnalea ujinga kwa watoto
Tupoteze muda kwa swala la malezi mabovu kwa mtoto wako. Kwanza hao walimu wangeongeza idadi zifike fimbo 100 kwa tako moja.
Ameenda kusoma au kuchati na kupiga picha walimu..
Ficha ujinga wako mkuu
Fikra za kizamani hizi.

Unajifanya una maadili kumbe unalawiti watoto wadogo.
 
Soma maelezo tena mkuu,,

Afrika ukatili umepitiliza,,huwa najaribu sana kuwatetea walimu especially kwenye ishu ya salary,,, however, kwa kitendo hichi cha kumpiga mwanafunzi wa kike, isitoshe matakoni!!!, hapana aise. mwanamke hapigwi matakoni, ni kumdhalilisha, wajifunze shule za kiislamu, zina maadili hawana upumbavu kama shule za upande wa pili.
Naunga hoja bakora mambo ya kishamba. Na zaidi unamchapaje makalioni mtoto wa kike? Hao waalimu shenzi kabisa.
 
Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.

Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.

Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.

Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.

Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.

Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.

Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.

Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.

Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.

Tupaze sauti.
Hao walimu walipata mafunzo yao CCP(Chuo cha Polisi)-Moshi au Chuo cha Ualimu?
 
Cc tulikuwa tunachapwa 50 na tunatoka fresh. Acheni ujinga bana

Ahh kwenda zako.

Mbona dada yenu mange kimavi aliwaambia muandamane kumpinga Magufuli hamkutokea kwa kuogopa virungu vya polisi?

Thubutu. Hebu jitokeze tuone unavyohimili virungu.
 
Inashangaza watetezi wa huo upuuzi kujificha kwenye kichaka cha maadili!. Joining instructions ya shule nyingi huwa inaeleza mwanafunzi akikutwa na simu adhabu ni kufukuzwa shule. Ajabu wasimamizi wa maadili wameshindwa simamia maadili yao ya kazi. Viboko 20 kwa mtoto wa kike tena makalioni?

Mbaya zaidi hajakutwa na kidhibiti bali kapigwa kwa "hearsay". Kweli afya ya akili ni janga kubwa na wahanga wengi ni walimu.
 
Back
Top Bottom