Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Mit 23:13 SUV

Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.
Ili mtoto awe na nidhamu ,utii,utu na maadili inabidi wakati mwingine umtandike viboko maana hatokufa bali atajifunza na kujirudi.
Toka zamani viboko vimetumika na jamii zetu kumwonya mtu ambaye anataka kukengeuka na viitumika kumrudisha mtu kwenye mstari.
Sasa nashangaa watu mnakuja hapa na hoja za kwamba viboko vinatweza utu ,mara viboko vinaumiza nk ,hivi mnajua usumbufu walio nao hawa teenagers hapo shuleni?
Acheni kuwalaumu walimu kwa sababu hawa watoto ambao hamuwaonyi ndiyo wanakuwa wasumbufu shuleni kwa kuwaletea walimu viburi.
 
Fimbo ni miongoni mwa adhabu..
Kupiga magoti ni adhabu pia
Kufyeka, kuchimba shimo zote n.k ni adhabu.

Uzuri au ubaya wa adhabu unapimwa kwa kiwango cha adhabu iliyotolewa bila kujali aina ya adhabu. Hoja yako kwamba walifukuzwa hiyo nayo ni adhabu tena mbaya sana maana unamkatili mtoto masomo na haki yake ya msingi. Hapo ndiyo useme hiyo sio adhabu..mjinga wewe.

Kama ulisoma seminary na bado una akili za kijinga hivyo bado elimu yako haijakusaidia.

Kama biblia yenyewe huko seminanry mlikuwa mnaisoma imesema mtoto asikae mbali na fimbo.

Huna lolote
Wewe ni mwalimu kwahiyo kwenye hii motion upo bias siwezi jenga hoja na mtu alie bias, sikiliza nimesoma Bible knowledge wewe bibilia omba hata roho mtakatifu akusaidie kuilewa maandiko yaliyo kwenye bibilia tafsiri hazipo direct kwani wewe hilo andiko wewe ulielewaje kwa haraka haraka utawaza ni fimbo kweli ndiyo shida yako, mantiki ya neno hilo ni adhabu ila pia mtoto hapigwi fimbo 50 unataka kuua pia zipo adhabu zenye funzo kali na za kumjenga mtoto kwa haraka, kumfukuza mtoto arudi nyumbani nani amkuambia shule ipo moja? Nani kasema shule yako pekee ndiyo itamfaulisha mwanangu, hamuwezi mfukuzish kwa kuwa mnategemea mpate mishahara pitia ada yake, nimeelimaka sana pitia seminary sina ukakasi wa kikatili kama ulionao wewe, wewe ni mwalimu kwahiyo unajadili kuitetea kada yako
 
Ninajenga hoja kwa watoto watukutu ambao utakuta wameshindikana kiasi kwamba hata wazazi au walezi wameshawaktia tamaa.

Mtoto kama huyo suala la kusoma halimo akilini kabisa na anachotaka kukifanya ni kuifanya shuleni mahali pakuoneshea tabia zake mbaya.
Kundi hili lazima lishughurikiwe tu mkuu maana kuna walimu wanaweza kufanya kazi hii. Kulinda heshima na nidhamu ya shule. Huko seminary unakosema watoto wanafaulu vizuri kutokana na nidhamu yao waliyo nayo hii inatokana na kuogopa adhabu pindi wakikosea au nasema uongo? Huwezi kuwa na matokeo mazuri wakati huna nidhamu kwa wanafunzi hakuna kutu kama hicho mkuu.

Kuna baadhi ya wanafunzi hata kuchapwa na kupewa adhabu ni nadra sana kutokna tu na maadili aliyonayo.
 
Kupitia hii thread nimegundua baadhi ya mambo :
1: wazazi wengi wa kitanzania ni wapumbavu na wazembe. Wamewaachia walimu (ambao wanashinda na wanafunzi mda mchache) jukum/mzigo wa malezi ya watoto wao na wakitegemea wabadirike matokeo yake ni kuwaharibu na kuwafanya waishi maisha ya kuigiza
2: walimu wanahisi wanawawin wanafunzi kwa kuwapa adhabu ya maviboko mengi ila kumbe sio kweli. Wanafunzi wanabehave kwa kuigiza ila wanapotoka shule na kuanza kujitegemea wanaendeleza tabia zao kama kawaida maana umri wa kumjenga mtoto tabia ulipita wazazi wakiwa wanasema "jaman weweee" "akikua ataacha", "yan huyu ndivyo alivyo" nk. Kuna adhabu za kujenga zaid ya hizo za viboko vilivyo pitiliza.
 
Ninajenga hoja kwa watoto watukutu ambao utakuta wameshindikana kiasi kwamba hata wazazi au walezi wameshawaktia tamaa.

Mtoto kama huyo suala la kusoma halimo akilini kabisa na anachotaka kukifanya ni kuifanya shuleni mahali pakuoneshea tabia zake mbaya.
Kundi hili lazima lishughurikiwe tu mkuu maana kuna walimu wanaweza kufanya kazi hii. Kulinda heshima na nidhamu ya shule. Huko seminary unakosema watoto wanafaulu vizuri kutokana na nidhamu yao waliyo nayo hii inatokana na kuogopa adhabu pindi wakikosea au nasema uongo? Huwezi kuwa na matokeo mazuri wakati huna nidhamu kwa wanafunzi hakuna kutu kama hicho mkuu.

Kuna baadhi ya wanafunzi hata kuchapwa na kupewa adhabu ni nadra sana kutokna tu na maadili aliyonayo.

Mimi sijakataa adhabu ziwepo ila adhabu ya kupiga hapana aisehh unajua upigaji uchagizwa na hasira unaweza piga hovyo tu, tusikubali viboko kuwaadabisha watoto, kweli kuna watoto ni watukutu lakini msipige viboko 50 huu umefika kipomo cha ukatili sasa na sio adhabu,

Mimi enzi nipo shule adhabu nilizopewq ni kulima mzee yani mpaka mikono inaota sugu, kufyeka mzee, kufagia kufyatua tofali mzee kubebea mbolea kupeleka shambani so nikawa sitaki nikosee tena maana adhabu zilikua ni kali, ila zilinijenga kiakili,

Nikuulize sasa hivi unajua vimbo humfanya mtoto kuwa muoga yani unamuondolea mtoto kujiamini kwenye jamii, akilini anakua anawaza hofu na uoga
 
Ninajenga hoja kwa watoto watukutu ambao utakuta wameshindikana kiasi kwamba hata wazazi au walezi wameshawaktia tamaa.

Mtoto kama huyo suala la kusoma halimo akilini kabisa na anachotaka kukifanya ni kuifanya shuleni mahali pakuoneshea tabia zake mbaya.
Kundi hili lazima lishughurikiwe tu mkuu maana kuna walimu wanaweza kufanya kazi hii. Kulinda heshima na nidhamu ya shule. Huko seminary unakosema watoto wanafaulu vizuri kutokana na nidhamu yao waliyo nayo hii inatokana na kuogopa adhabu pindi wakikosea au nasema uongo? Huwezi kuwa na matokeo mazuri wakati huna nidhamu kwa wanafunzi hakuna kutu kama hicho mkuu.

Kuna baadhi ya wanafunzi hata kuchapwa na kupewa adhabu ni nadra sana kutokna tu na maadili aliyonayo.
Ata seminar napo ni yale yale watoto wanaigiza ila ukija kukutana nao baada ya kuhitimu ndio utashangaa. Hii inatokana na adhabu za kutia woga na sio kujenga. Na mwisho wa siku utagundua shule hasa za secondary haziplay role yeyote kumshape mtoto tabia kama wazazi mtakuwa hamkumshape toka akiwa mtoto mdogo.
 
Nikuulize sasa hivi unajua vimbo humfanya mtoto kuwa muoga yani unamuondolea mtoto kujiamini kwenye jamii, akilini anakua anawaza hofu na uoga
Usiseme sasa hv maana ata wakubwa wa sasa bado effects za viboko vilivyopitiliza wanazo ila hawajijui tu. Na Matokeo yake anashindwa ata kudai haki yake ye mwenyewe maana toka mwanzo hakujengewa kujiamin
 
Mfano wa adhabu kuna kufyeka nyasi za shule, kulima, kufyatua tofali, kufukuza, kufagia mabanda ya mifugo nk zipo adhabu nyingi ambazo ni salama na zinye onyo, fimbo zinatengeza kizazi dhaifu sana muwe na ufahamu juu ya hilo
Nakuelewa sana Mkuu,,, Hoja zako pia zijikite kwenye Uhalisia wa Mazingira,,, adhabu za kufanya kazi zinahusisha PUMZI,,,na hili kwa wenye matatizo ya Afya ni baya zaidi,,, Impact ya Bakora ni yale Maumivu mtu hupata....na ile ndio hufanya asirudie kufanya kosa tena.....

Vijijini huko hizo adhabu ulizosema sio adhabu,,,kwa sababu ni kazi watoto huzifanya majumbani kwao kila siku,,(kulima, kufagia, kufyeka,kufyatua tofali n.k),,,,so ukiwafanyisha kwao inakuwa sio adhabu....

Vijana wengi kusoma huwa ni kama adhabu kwao,,,,na ndio maana Mwalimu asipoingia kwenye kipindi wanafunzi wanafurahi,,,,,,sasa kitendo cha Mwanafunzi kufyeka masaa mawili ni anapoteza sana wakati ilihali angekula Bakora 5 tu akarudi darasani bado lengo litakuwa ni lile lile....

Nimechoka kuandika LAKINI Adhabu ya Bakora bado ni Sahihi sana kuliko hizo zingine kwa Wanafunzi,,,,,,Swala la kufa hata hizo adhabu zingine mtoto anaweza kufa pia kwasababu zinahusisha Nguvu,,Pumzi na zinataka mtoto awe na Afya njema kuzifanya,,,,,Yaleyale tu,,,,BUT BAKORA binafsi naona is the Best.
 
Hahaaa ww naona unalea watoto km wazungu ...hivi unawafata hao watu weusi kwa malezi huko si mtoto tu akianza hata ushoga huluusiwi kumchapa acheni kuiga kila kitu tuige vyenye tija ila adhabu kwa mtoto ni muhimu tena ya viboko
Ndugu yangu kutoka kanda ya ziwa mimi silei mtoto kizungu. Nalea mtoto kama wachina. Adhabu zangu zinamjenga. Kwanza mtoto wangu sio legelege.
Anacheza kickboxing yupo active vibaya kwenye mazoezi, anafanya yoga, anacheza chess. Upo mkuu? Mtoto ana nidhamu ya hali ya juu na sijawahi mtia bakora hata mara moja. Kwa umri mdogo ana skills ambazo hata mimi sina na sikubahatika kuzipata nikiwa na wazazi wangu.

Adhabu nazompatia zinamjenga. Bakora ni ushenzi. Sijasema mtoto asiadhibiwe ndugu. Ila ni aina gani za adhabu ndio tunaangazia.
 
Kaka dunia umebadilika sana. Mwanafunzi wa sasa hawezi kuishi kama ulivyoishi wewe. Pia subiri huyo mwanafunzi hali yake iwe tete zaidi ndiyo utajua kama fimbo 20 ni chache au nyingi. Sijui kwanini nyie walimu hamjifunzi kitu kutoka kwa walimu wenzenu walio wahi kuchapa wanafunzi na mwishowe wakaishia kuchapwa wao na mamlaka.
Zimebadilika lini hizo zama!?
Yani unataka kuleta umagharibi huku, nyie ndo mnaharibu watoto wenu kwa kutowachapa kosawasawa eti zama zimebadilika.

Viboko 20 wala sio vingi kiasi hicho mpaka mtoto aumie au azimie labda kama walikua wanamchapa bila utaratibu yaani wanachapa popote tu ila kama mboko 20 kwa kalio mbona zinakaa fresh kabisa.
 
Acha unafiki wewe ni mwalimu bwana wa uyo mwanafunzi
 
Huyu jamaa Ni teacher wa hapo jangwani, alikuwa mawindoni kwa huyo binti aliyekaangwa barakoa na inaonekana walikuwa na maelewano na yeye , istoshe kashachakata mbususu kimasihkara ndyo maana imempain Sana!
😃😃😃 Jamaa kaumia kuona denti wake kachezea 20 za makalio,,,
 
Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.

Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.

Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.

Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.

Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.

Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.

Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.

Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.

Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.

Tupaze sauti.
Umeandika kwa ushabiki sana yawezekana ulikuwa na kisa na uyo mwalimu au wewe ni mzazi unayetafuta huruma ya uhamisho
 
Zimebadilika lini hizo zama!?
Yani unataka kuleta umagharibi huku, nyie ndo mnaharibu watoto wenu kwa kutowachapa kosawasawa eti zama zimebadilika.

Viboko 20 wala sio vingi kiasi hicho mpaka mtoto aumie au azimie labda kama walikua wanamchapa bila utaratibu yaani wanachapa popote tu ila kama mboko 20 kwa kalio mbona zinakaa fresh kabisa.
Etii umagharibi. Kuna kitu gani unachotumia wewe hakijatokea magharibi? Utamaduni wa Mtanzania unasukumwa na utamaduni wa kimagharibi. Kila kitu unachotumia wewe kimetokea magharibi au kimegunduliwa magharibi halafu hapa unajifanya kupinga umagharibi. Pia mkuu kama unataka kufanikiwa unajifunza kutoka kwa mtu aliyefanikiwa siyo unajifunza kwa mtu aliyeshindwa. Utamaduni wa magharibi umeonekana kuwa na tija na kufanikiwa ingawa siyo utamaduni wote ni wa kuiga. Sasa kujifunza namna wa magharibi walivyo weza kustaaribika ni vibaya?
 
Back
Top Bottom