Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Soma tena utakua umesoma kwa haraka harakaSijui hata unaelewa ulichokiandika mwenyewe.
Hoja yako inasimamia wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma tena utakua umesoma kwa haraka harakaSijui hata unaelewa ulichokiandika mwenyewe.
Hoja yako inasimamia wapi
Wewe ni mwalimu kwahiyo kwenye hii motion upo bias siwezi jenga hoja na mtu alie bias, sikiliza nimesoma Bible knowledge wewe bibilia omba hata roho mtakatifu akusaidie kuilewa maandiko yaliyo kwenye bibilia tafsiri hazipo direct kwani wewe hilo andiko wewe ulielewaje kwa haraka haraka utawaza ni fimbo kweli ndiyo shida yako, mantiki ya neno hilo ni adhabu ila pia mtoto hapigwi fimbo 50 unataka kuua pia zipo adhabu zenye funzo kali na za kumjenga mtoto kwa haraka, kumfukuza mtoto arudi nyumbani nani amkuambia shule ipo moja? Nani kasema shule yako pekee ndiyo itamfaulisha mwanangu, hamuwezi mfukuzish kwa kuwa mnategemea mpate mishahara pitia ada yake, nimeelimaka sana pitia seminary sina ukakasi wa kikatili kama ulionao wewe, wewe ni mwalimu kwahiyo unajadili kuitetea kada yakoFimbo ni miongoni mwa adhabu..
Kupiga magoti ni adhabu pia
Kufyeka, kuchimba shimo zote n.k ni adhabu.
Uzuri au ubaya wa adhabu unapimwa kwa kiwango cha adhabu iliyotolewa bila kujali aina ya adhabu. Hoja yako kwamba walifukuzwa hiyo nayo ni adhabu tena mbaya sana maana unamkatili mtoto masomo na haki yake ya msingi. Hapo ndiyo useme hiyo sio adhabu..mjinga wewe.
Kama ulisoma seminary na bado una akili za kijinga hivyo bado elimu yako haijakusaidia.
Kama biblia yenyewe huko seminanry mlikuwa mnaisoma imesema mtoto asikae mbali na fimbo.
Huna lolote

Ninajenga hoja kwa watoto watukutu ambao utakuta wameshindikana kiasi kwamba hata wazazi au walezi wameshawaktia tamaa.Wewe ni mwalimu kwahiyo kwenye hii motion upo bias siwezi jenga hoja na mtu alie bias, sikiliza nimesoma Bible knowledge wewe bibilia omba hata roho mtakatifu akusaidie kuilewa maandiko yaliyo kwenye bibilia tafsiri hazipo direct kwani wewe hilo andiko wewe ulielewaje kwa haraka haraka utawaza ni fimbo kweli ndiyo shida yako, mantiki ya neno hilo ni adhabu ila pia mtoto hapigwi fimbo 50 unataka kuua pia zipo adhabu zenye funzo kali na za kumjenga mtoto kwa haraka, kumfukuza mtoto arudi nyumbani nani amkuambia shule ipo moja? Nani kasema shule yako pekee ndiyo itamfaulisha mwanangu, hamuwezi mfukuzish kwa kuwa mnategemea mpate mishahara pitia ada yake, nimeelimaka sana pitia seminary sina ukakasi wa kikatili kama ulionao wewe, wewe ni mwalimu kwahiyo unajadili kuitetea kada yako
Ninajenga hoja kwa watoto watukutu ambao utakuta wameshindikana kiasi kwamba hata wazazi au walezi wameshawaktia tamaa.
Mtoto kama huyo suala la kusoma halimo akilini kabisa na anachotaka kukifanya ni kuifanya shuleni mahali pakuoneshea tabia zake mbaya.
Kundi hili lazima lishughurikiwe tu mkuu maana kuna walimu wanaweza kufanya kazi hii. Kulinda heshima na nidhamu ya shule. Huko seminary unakosema watoto wanafaulu vizuri kutokana na nidhamu yao waliyo nayo hii inatokana na kuogopa adhabu pindi wakikosea au nasema uongo? Huwezi kuwa na matokeo mazuri wakati huna nidhamu kwa wanafunzi hakuna kutu kama hicho mkuu.
Kuna baadhi ya wanafunzi hata kuchapwa na kupewa adhabu ni nadra sana kutokna tu na maadili aliyonayo.
Ata seminar napo ni yale yale watoto wanaigiza ila ukija kukutana nao baada ya kuhitimu ndio utashangaa. Hii inatokana na adhabu za kutia woga na sio kujenga. Na mwisho wa siku utagundua shule hasa za secondary haziplay role yeyote kumshape mtoto tabia kama wazazi mtakuwa hamkumshape toka akiwa mtoto mdogo.Ninajenga hoja kwa watoto watukutu ambao utakuta wameshindikana kiasi kwamba hata wazazi au walezi wameshawaktia tamaa.
Mtoto kama huyo suala la kusoma halimo akilini kabisa na anachotaka kukifanya ni kuifanya shuleni mahali pakuoneshea tabia zake mbaya.
Kundi hili lazima lishughurikiwe tu mkuu maana kuna walimu wanaweza kufanya kazi hii. Kulinda heshima na nidhamu ya shule. Huko seminary unakosema watoto wanafaulu vizuri kutokana na nidhamu yao waliyo nayo hii inatokana na kuogopa adhabu pindi wakikosea au nasema uongo? Huwezi kuwa na matokeo mazuri wakati huna nidhamu kwa wanafunzi hakuna kutu kama hicho mkuu.
Kuna baadhi ya wanafunzi hata kuchapwa na kupewa adhabu ni nadra sana kutokna tu na maadili aliyonayo.
Usiseme sasa hv maana ata wakubwa wa sasa bado effects za viboko vilivyopitiliza wanazo ila hawajijui tu. Na Matokeo yake anashindwa ata kudai haki yake ye mwenyewe maana toka mwanzo hakujengewa kujiaminNikuulize sasa hivi unajua vimbo humfanya mtoto kuwa muoga yani unamuondolea mtoto kujiamini kwenye jamii, akilini anakua anawaza hofu na uoga
Nakuelewa sana Mkuu,,, Hoja zako pia zijikite kwenye Uhalisia wa Mazingira,,, adhabu za kufanya kazi zinahusisha PUMZI,,,na hili kwa wenye matatizo ya Afya ni baya zaidi,,, Impact ya Bakora ni yale Maumivu mtu hupata....na ile ndio hufanya asirudie kufanya kosa tena.....Mfano wa adhabu kuna kufyeka nyasi za shule, kulima, kufyatua tofali, kufukuza, kufagia mabanda ya mifugo nk zipo adhabu nyingi ambazo ni salama na zinye onyo, fimbo zinatengeza kizazi dhaifu sana muwe na ufahamu juu ya hilo
Adhabu gani Duniani ambayo haitii UOGA,,,.???? zitaje hizo adhabu ambazo hazitii UOGA.....Hii inatokana na adhabu za kutia woga na sio kujenga.
Ndugu yangu kutoka kanda ya ziwa mimi silei mtoto kizungu. Nalea mtoto kama wachina. Adhabu zangu zinamjenga. Kwanza mtoto wangu sio legelege.Hahaaa ww naona unalea watoto km wazungu ...hivi unawafata hao watu weusi kwa malezi huko si mtoto tu akianza hata ushoga huluusiwi kumchapa acheni kuiga kila kitu tuige vyenye tija ila adhabu kwa mtoto ni muhimu tena ya viboko
Zimebadilika lini hizo zama!?Kaka dunia umebadilika sana. Mwanafunzi wa sasa hawezi kuishi kama ulivyoishi wewe. Pia subiri huyo mwanafunzi hali yake iwe tete zaidi ndiyo utajua kama fimbo 20 ni chache au nyingi. Sijui kwanini nyie walimu hamjifunzi kitu kutoka kwa walimu wenzenu walio wahi kuchapa wanafunzi na mwishowe wakaishia kuchapwa wao na mamlaka.
😃😃😃 Jamaa kaumia kuona denti wake kachezea 20 za makalio,,,Huyu jamaa Ni teacher wa hapo jangwani, alikuwa mawindoni kwa huyo binti aliyekaangwa barakoa na inaonekana walikuwa na maelewano na yeye , istoshe kashachakata mbususu kimasihkara ndyo maana imempain Sana!
Umeandika kwa ushabiki sana yawezekana ulikuwa na kisa na uyo mwalimu au wewe ni mzazi unayetafuta huruma ya uhamishoWalimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.
Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.
Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.
Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.
Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.
Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.
Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.
Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.
Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.
Tupaze sauti.
Vyovyote iwavyo,hivyo vyuo vinazakisha watu wa hovyo sana nchi hii.Hao walimu walipata mafunzo yao CCP(Chuo cha Polisi)-Moshi au Chuo cha Ualimu?
Etii umagharibi. Kuna kitu gani unachotumia wewe hakijatokea magharibi? Utamaduni wa Mtanzania unasukumwa na utamaduni wa kimagharibi. Kila kitu unachotumia wewe kimetokea magharibi au kimegunduliwa magharibi halafu hapa unajifanya kupinga umagharibi. Pia mkuu kama unataka kufanikiwa unajifunza kutoka kwa mtu aliyefanikiwa siyo unajifunza kwa mtu aliyeshindwa. Utamaduni wa magharibi umeonekana kuwa na tija na kufanikiwa ingawa siyo utamaduni wote ni wa kuiga. Sasa kujifunza namna wa magharibi walivyo weza kustaaribika ni vibaya?Zimebadilika lini hizo zama!?
Yani unataka kuleta umagharibi huku, nyie ndo mnaharibu watoto wenu kwa kutowachapa kosawasawa eti zama zimebadilika.
Viboko 20 wala sio vingi kiasi hicho mpaka mtoto aumie au azimie labda kama walikua wanamchapa bila utaratibu yaani wanachapa popote tu ila kama mboko 20 kwa kalio mbona zinakaa fresh kabisa.