Mkuu wacha nlale bhana...APIMWA MIMBA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema wamempima Esther Noah kipimo cha mimba Ili kujua hali yake na majibu yameonesha hana mimba.
Na kwa siku zijazo ikionyesha ana mimba watampa nafasi ya kwenda kujifungua na kurudi shule.
**************
Kuna mtu ameelewa hapa?
Mkuu wacha nlale bhana...
[emoji23][emoji28][emoji848]..
G9t..
Huyu mtoto aache ujinga
Nenda mbeyaWanipe mimi kazi ya kumhoji nije na full story yenye ukweli hapa
Ujinga ganiHuyu mtoto aache ujinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alikua yuko kwa mkwe wake uyo mama sema hamjajiongeza tu
Hujaelewa wapi.Kwamba binti kwa sasa hana mimba, ila akipata baadae ataruhusiwa akajifungue na kisha kurudi shule.!
Hujaelewa wapi.
Mimba inachukua muda kutunga.
Kama amefanya mapenzi jana usiku halafu leo apime mimba unadhani itaonekana?
Ni kama HIV tu. Unapima leo, ukionekana safi unashauriwa upime tena after 3 months.
Ndio. Kwa mujibu wa sera ya elimu ilotungwa mwaka 2021 (masharti ya World Bank wakati tunapatiwa msaada wa chanjo ya COVID 19)Uko sahihi, kwa hiyo mimba ikionekana hatua itakayochukuliwa ni kumruhusu tu akajifungue kisha arudi…. just like that?
dogo alimiss tu dudu watoto wa siku hizi wanaanza kutmbn katika umri mdogo sana yani