Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

Kibaha enzi hizo kuna mtoto wa KJ alikuwa anamiliki simu kaliii balaaa hata waalimu hawanaa.. anaenda club wanalewaaa wakirudi kelele kama zoteee..!! Aisee mtoto wa mkubwa kumhandle kama hajielewa ni balaaaaa...
Huyo mtoto sidhani kama anaweza kuwa Ridhiwani. Rizi ni humble na anajielewa mno

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Binti wa ckuhizi kwakua wanalindwa sn kisheria wanafanya ujinga mwingi sn tena sn..ingawa siwote. ..dogo anajua alichofanya huyo simtoto ingekua wakiume hapo story ingekua nyingine kabisa.

Wazazi fuatilieni vijana wenu mashuleni uzao wa sasa niwanyoka comedian wengi sn
 
Kwa hiyo Mwalimu Jimmy aombwe msamaha
Msamaha kwa lipi achunguzwe kwanza kama kweli alimuadhibu huyo mwanafunzi mwanamke kama kweli analazimisha ngono au la, sheria za nchi haziruhusu mwanafunzi mwanamke kuchapwa na mwalimu wa kiume, kama amekutwa kwa baba Jose maana yake haifuti tuhuma za mwalimu Jose kumnyanyasa na kumsababisha atoroke shule, by the way hivi shule ni GEREZA inakuwaje wanafunzi WANAFUNGWA kama wafungwa, kwa kweli elimu Afrika ni ngumu sana wanafunzi wanateseka halafu ajira hakuna ikiwepo salary ndogo ndiyo maana wakiajiriwa ni WIZI. UBADHIRIFU NA RUSHWA.
 
umenena kwa hekima mkuu Comedian wengi sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…