Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

hii shule ni ya roman catholic asilimia 80 ya watoto wanasoma hapa ni wakishua haswaaa naishi kama umbali wa mita 200 hivi ilipo shule hii na nasikia hata ridiwani msoga alisoma hapa na yeye alisumbua knoma ruka sana fence
Kibaha enzi hizo kuna mtoto wa KJ alikuwa anamiliki simu kaliii balaaa hata waalimu hawanaa.. anaenda club wanalewaaa wakirudi kelele kama zoteee..!! Aisee mtoto wa mkubwa kumhandle kama hajielewa ni balaaaaa...
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yani dyudyu ikawanogeaa wanachanganyikiwaa kabisaa akili huwa zinarukaaaa...
 
Kule facebook kwenye page ya askofu mwamakula niliwaambia watu wasijisumbue sana yule ni binti mkubwa huenda yupo kwa msela anapika na kupakuwa.....watu walinishukia kama mwewe
 
Walimu wanakazii sana kizazii hiki,shule ni nidhamu watoto wenyewe ndo Hawa....Mwalimu ukitaka wakae kwenye mstari wanakupa kesi ya kuwalaaa....utahahaaa.
 
Huyu inaonekana alishakuwa
Huyu inaonekana alishakuwa mhuni muda mrefu, angalia alivyonyoa nywele, kiduku, hiyo shule inaruhusuje huo mnyoo au mambo ya kubembeleza ada? Ila sazingine waziri mkuu uwe na subra, mambo haya yalikuwa siyo size yako, unaona sasa unaishia kuaibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…